Ziroseventytwo
JF-Expert Member
- Mar 27, 2011
- 8,581
- 15,618
Hamna kuondoa kesi. Covid19 ni moja ya agenda kwenye mazungumzo yaliyopelekea kuruhusiwa kwa mikutano ya hadhara. Mazungumzo bado yanaendelea.Ni muda muafaka sasa chadema nao waonyeshe uungwana kwa kuondoa ile kesi yao na akina Mdee na wenzake