CHADEMA kuzindua Mikutano ya Hadhara Januari 21, 2023

Ni muda muafaka sasa chadema nao waonyeshe uungwana kwa kuondoa ile kesi yao na akina Mdee na wenzake
Hamna kuondoa kesi. Covid19 ni moja ya agenda kwenye mazungumzo yaliyopelekea kuruhusiwa kwa mikutano ya hadhara. Mazungumzo bado yanaendelea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…