Uchaguzi 2020 CHADEMA kwa sera hii, mtakomba kura zote za wafanyakazi wa nchi hii, na haya ndio maneno tunayotaka kuyasikia yatayomuangusha Magufuli na CCM yake

Uchaguzi 2020 CHADEMA kwa sera hii, mtakomba kura zote za wafanyakazi wa nchi hii, na haya ndio maneno tunayotaka kuyasikia yatayomuangusha Magufuli na CCM yake

Hapana so kweli,Ulaya na Amerika ajira ndio tatizo kwa sababu ya kukua sana kwa teknolojia,hivyo kazi za kufanywa na binadamu zinafanywa na machine na maroboti zaidi,lakini sio hapa Afrika,hususani Tanzania.
Hapa Afrika Ni mipango mibaya tu ya Sera.
Ajira zinaweza kutengenezwa.
Ulaya kabla ya hzo technologia haikuweza kuajiri watu wote
 
Lkn watoto wote wa wazito huko serikalini wanafanya kazi sekta nyeti tena kwa vimemo tu lkn tatizo la ajira linakuja kua kwa watoto wa maskini tu, wao tu ndio wakajiajiri kwa kutumia vitambulisho vya wamachinga hahahah.

Ajabu sana
Upo sawa ndo maana serikal inafanya kaz kuondoa hyo tabia ya vimemo
 
Mkiambiwa kasoro zenu mnasema ni hali ya Dunia nzima, mkiambiwa mazuri ya wemzenu mnasema siyo lazima kuiga ya wengine. Mko vuguvugu mpaka mnastahili kutapikwa.
Hiyo ndo misingi ya mwanadam hata wewe upo vuguvugu cha msingi penda nchi yako kwa maendleo ya vizazi vijavyo
 
Mkuu Ankara ya Mshahara kama unayo ilani ya CHADEMA iweke hapa basi! Ni jukumu letu wadau pia kuisoma na kuielewa ili tuanze kuihubiri majumbani kwetu na kule kote tunakopita!
Hapana sina mkuu,hizi nimeziona twitter kwa makamanda wa CHADEMA.
 
alipata kura mil 3 unusu tu dhidi ya kura mil 10 alizopata mgombea wa UKAWA , haya Lowassa aliyajua na alitamka hadharani lakini baadaye akaufyata , bali usitegemee ujinga kama huo kutoka kwa Lissu , akidhulumiwa kibwege ni lazima pachimbike , hilo halina mjadala
Kwa hio hili lichama chakavu lipo madarakani ki haramu?!
 
Sijui ni kwanini Mimi ninaamini kwenye matumizi ya nguvu kuiondoa ccm kuliko hizi sera zenu? Hivi Kati yenu nani anaamini 2015 Magu alishinda uchaguzi? Chadema hawajaanza kuwa na sera nzuri leo, elimu bure pia ilikuwa sera ya chadema
Kwa mara ya kwanza nimeona bandiko linalosema ukweli ninao uamini, kwa box la kura CCM haiwezi kuondoka madarakani kamwe. Bila kutumia njia mbadala huu ni uongo mtupu.
 
View attachment 1530307

Ushauri wangu:CHADEMA waandae na wasambaze kwa wingi vipeperushi vyenye sera hizi kuanzia kwenye madaladala,mabasi ya mikoani,sokoni,kwenye mabaa, na sehemu nyingine zozote zile zenye mikusanyiko ya watu wakati wa kampeni ukifika.

Msisahau pia swala la kupunguza PAYE pamoja na swala la kupunguza kama sio kufuta kabisa makato ya Bodi ya Mikopo.

Mkiondoa au kupunguza mashangingi serikalini,kufuta mbio za mwenge, na hata kupunguza au kuondoa kabisa sitting allowance za wabunge na mambo mengine, mnaweza pata fedha za kusomesha watoto wa masikini wa nchi bila kuwabagua kwa madaraja au kutokana na uwezo mzuri wa kifamilia kwa wale wanaotoka katika famila zinazojiweza/zenye unafuu wa kipato.

Sera nyingine ni kama hizi:

View attachment 1530347

View attachment 1530349

CCM must go!!
Hiki ndo Chama Makini sasa.
Nimependa hapo wanaposema kwa kushirikiana na sekta binafsi. Huu ndo uwe msisitizo sasa. Ujamaa umetuchelewesha sana na kufanya akili za wananchi wengi kuwa stagnant.

Duniani kote, sehemu zote zilizopata maendeleo ya kweli, ni kutokana a sekta binafsi kuchukua sehemu kubwa katika maendeleo ya nchi. Sekta binafsi zinakuza ushindani hivyo kupelekea ubora wa huduma, sekta binafsi zinakuza ajira kutokana na kuajiri watu wengi, sekta binafsi zinakuza ubora wa huduma kutokana na creativity.


Hongereni sana Chadema , huu ndo mwelekeo mpya Tanzania tunataka twende kwa maendeleo ya uhakika wa watu na vitu!
 
alipata kura mil 3 unusu tu dhidi ya kura mil 10 alizopata mgombea wa UKAWA , haya Lowassa aliyajua na alitamka hadharani lakini baadaye akaufyata , bali usitegemee ujinga kama huo kutoka kwa Lissu , akidhulumiwa kibwege ni lazima pachimbike , hilo halina mjadala
Mkuu kama kapigwa risasi na bado hapajachimbika unadhani akiibiwa ndopaachimbika?
 
Ushindi wa Magu mwaka huu ni zaidi ya mafuriko! Hatupeleki wasanii wa kuigiza ikulu! Tunapeleka wenye uthubutu na utimamu wa akili! Mungu azidi mbariki, kumuongoza na kumtunza rais wetu mpendwa My. Dr. JJ P Magufuli! Mungu ibariki zaidi Tz!
Unatia huruma sana. Huyo Magu wenu atashindia wapi???
 
Back
Top Bottom