Uchaguzi 2020 CHADEMA kwaheri ya kuonana. Chama kitabaki Youtube, Twitter, Facebook na Instagram

Inaelekea umeanza 2015 kufuatilia mambo ya uchaguzi. Iko hivi kwa hayo majimbo 22 mlikofanya figisu failure in CCM, kwa sababu CHADEMA imezidi kupunguza gap la kupita bila kupingwa mwaka 2005 kulikuwa na takriban majimbo 70 hayajuwa na upinzani, 2010 zaidi ya majimbo 50, 2015 zaidi ya 30. Mwaka huu 22 unajifunza nini? Unaweza kutabiri 2025?
 
Hawa watu wabishi sana
Wenyewe wanakwambia kigogo wa twiter na kale ka beberu kao ka amsterdam wataikomesha ccm
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Hawa jamaa bure kabisa
 
Nachochea watanzania tuanze kuchoma moto nyumba za wasimamizi wa uchaguzi hapo heshima ndo itaanza kupatikana
 
Hapo ndo CCM mlipofikia???? Yani kutegemea kushinda kwa njama ovu na ufedhuli????

Amini nakwambia. CCM mnaenda kuwa Chama pinzani mwaka huu. Yatakayowapata mwaka huu hamtoamini!!
Mkuu chadema haikuweka wagombea nchi nzima, haya hata kule walikoweka nduo huko tayari 22 mmeahapigwa.

Upinzani wa CCM utatokana na nini?

Huyo Lissu wenu ataunda selikali ipi iliyoparaganyika namna hiyo? Maana Zanzibar CHADEMA hawapati jimbo hata moja.

Hivi hata hiyo system itakuwa ya kijinga namna gani kugawa nchi vipande vipande hivyo?
 
Mahakama hizi hizi mnazozitukana kila siku?
 
Sawasawa!! Endelea kujipa moyo. Unadhani nchi yote hawana akili kuacha nchi iwekewe vikwazo na wananchi waumie kwa ajili ya upuuzi wa nyie wachache CCM??? Hapana. The world is watching and ready to decide
Kwa hiyo Amsterdam ataiwekea nchi vikwazo sababu CHADEMA imeshindwa?
 
Basi endelea kusubiri hadi 2030 chadema mkikomaa ndio hakutakuwa na mtu kupita bila kupingwa
 
Mimi naona CCM Kuna watu wanamuharibia Magufuli kwa makusudi aonekane ni mtu katili, maana haiingii akilini waziri wake mkuu aonyeshwe kwenye TV amepita bila kupigwa huku akishangilia bila kuangalia wananchi wanataka apigiwe Kura, Sasa hapo watu watatumia hasira kumnyima Kura za Raisi wakiamini kwamba CCM ni makatili wanalazimisha kutumia mabavu hivyo Bora wawe fair ili kutengeneza jina zuri kwenye kampeni.
 
Hapo ndo CCM mlipofikia???? Yani kutegemea kushinda kwa njama ovu na ufedhuli????

Amini nakwambia. CCM mnaenda kuwa Chama pinzani mwaka huu. Yatakayowapata mwaka huu hamtoamini!!
Nendeni mkadeki barabara tu kwa sasa mtakua chama cha kwenye social media tu
 
Pole sana
 
Nachochea watanzania tuanze kuchoma moto nyumba za wasimamizi wa uchaguzi hapo heshima ndo itaanza kupatikana
MJULISHENI AMSTERDAM KUWA JAHAZI LA LISSU LINAMALIZIKIA KUZAMA, MPAKA WIKI IJAYO HALI YA CHADEMA ITAKUWA MBAYA SANA
 
GUSSIE usisahau kwamba katika KATA chadema wengi kweli walikata tamaa jumlisha na kutokuwa na uhakika kwamba Lissu atapitishwa na chama kugbea na wengi hawakuboresha taarifa zao kwenye daftari la kudumu la mpiga kura so wengi hawana sifa za kupiga kura sababu nyingine itakayowapa ushindi ccm majimbo mbalimbali.
 
Oohooooo yetu macho

Yaani 18 kwa sifuri kabla hata ya filimbi ya kuanza mpira
 
Chadema wamebaki na nguvu Twitter Chadema wamekuwa kama Kiba wanaomchukia Diamond ndo wafwasi wa kiba so wanaochukia JPM si (CCM kama chama) ndo wafwasi wa Chadema coz hawana option nyingine zaidi ya kuishabikia Chadema kumbuka shabiki anabadilika kutokana na treand but mwanachama ni royal kwa chama.

Leo inashangaza chama kinachotaka kutawala nchi ..chama chenye zaidi ya miaka 25 wanaruhusu mgombea wa CCM kupita bila ya kupingwa tena kwa utoto kabisa eti wamechelewa kurudisha form sijui jitu alijaweka picha sijui limejaza vibaya form yani wanafanya utoto kabisa sijui aliyewadanganya chadema kuwa wanaweza kuchukua inchi kwa majimbo ya Arusha mjini ,kawe,iringa,mbeya,Moshi na Urais? coz ndo sehemu walipowekeza nguvu huko wameshindwa kujua hata wakipata urais hawataweza kuunda serikali kwa wabunge 35 au 50 wakt TZ kuna majimbo zaidi ya 240. hawa jamaa hawapo serious naona ni technique ya kula ela za wafadhili na mashirika ya kimataifa
 
Chedema ni hatari wanamshinda Gwajima kwenye mitandao ,kila siku wanaweka vipicha vya kulinganisha ,vichekesho tu .Itoshe kusema CCM itatawala vizazi hadi vizazi
 

Jana mmehakiki fomu za chadema kuanzia saa 6 mpaka saa moja usiku lakini hamkukuta kosa lolote.

Vyombo vya habari vyote mmetoa maelekezo wasitoe taarifa za Chadema.

Miaka mi5 mmezuia wasifanye siasa.

Na wewe unakuja na UTOPOLO wako ,hivi kichwa kizima kweli?
 
CCM hawataki ushindani wa haki na wazi wanalazimisha kitupelekea wabunge wasio chaguo la wananchi Bungeni kwenda kugonga meza kusema ndiyooo ndiyooo kupitisha Sheria mbovu mbovu mikataba ya hovyo hovyo kwa wingi wao Bungeni
 
Mtukufu kachukua pesa za viwanda kaenda kujenga chato Airport kienyeji pasipo idhini ya bunge na sasa anatumia pesa alizovuna 10% kwenye miradi yote mikubwa kudidimiza demokrasia kuwahujumu wapinzani CCM ni ile ile Ukoo wa panya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…