Uchaguzi 2020 CHADEMA kwaheri ya kuonana. Chama kitabaki Youtube, Twitter, Facebook na Instagram

Uchaguzi 2020 CHADEMA kwaheri ya kuonana. Chama kitabaki Youtube, Twitter, Facebook na Instagram

Wanabodi,Mambo ya "SHIKWAMBI" .Ahaaa aaaaa unaweza kucheka lakini huu ndio uhalisia tutashinda kwa mbinu

Kabla ya mpira kuanza na filimbi kupigwa ili mpira uanze katikati ya uwanja tayari chadema wameweka mpira kwapani na kukimbia nje ya uwanja ,Refa ameshatangaza matokeo ccm 18 na Chadema sifuri au zero

Shikwambi =Shinda kwa mbinu.Mpaka sasa Chadema walishapigwa majimbo kumi na nane kwa sifuri .Ccm 18 na Chadema 0

Tulitahadharisha hapa mara nyingi sisi kama ccm kuwa chadema mtashindwa vibaya mwaka huu hata kuliko uchaguzi wa serikali za mitaa

Serikali ya mitaa ilitumika mbinu ya kawaida sana ya KATA= Katisha tamaa.Mlikata tamaa na kujaza fomu hovyo hivyo tukawapiga kwenye kata na vijiji kwa asilimia zaidi ya tisini

Wafia Chadema hapa mtandaoni walitushambulia sana lakini kilichowapata jana kabla ya filimbi kuu ni mshindo mkuu ,Sasa tukutane october

October mnapigwa Shikwambi yenyewe mtabaki Youtube,tweeter,Instagram na whatsapp mkilia lia na kusubiri mabeberu wawasaidie

Tuliwaambia wapiga kura ni wakulima huko vijijini hawajui tweter,Facebook au instagram ,Huko vijijini ni shamba na jembe tu

Majimbo ya Arusha mjini,Mbeya mjini tulishawapiga vibaya kabla ya octoba tunasubiri kutangazwa tu

Iringa mjini tunawaachia jimbo kidogo mpate hewa huko,

Chadema mnajua nani anapiga kura?
Chadema mnajua nani anahesabu kura?

Chadema kutoka nguvu ya uma mpaka udhaifu wa uma

Chadema kutoka people's power mpaka ..................

Shikwambi oyee,

Shikwambi oyee

Tumewapiga kwenye mitaa ,ccm mbele kwa mbele,Tumewapiga majimbo 18 ccm mbele kwa mbele ,

Na sasa tutawapiga majimbo yote isipokuwa majimbo 2 tu ,ccm mbele kwa mbele

Mambo mengi tunayoshauri hapa ccm inayashughulikia sana,Tulishauri warudishe Bbc swahili mambo safi,Tulishauri waonyeshe story za upinzani jana kwenye mchakato wa Tume Tbc imefanya hivyo

Tutashinda kwa mbinu za kisasa zaidi october ,Unatekenywa lakini unalia ndio mbinu zenyewe hizo
Kweli mbinu za kisasa hakikisha Mungu anabariki hizo mbinu kama tu zilikuwa halali otherwise my dear soon utakubaliana na Mungu maana maombi ya mwenye haki husikika haraka sana
 
Kwa kweli watanzania mtabaki nyuma sana kwa huu ujinga wa kuishabikia ccm, wengi ni mazezeta kabisa hawajui hata maana ya siasa za upinzani. Kumbuka ilibidi Nyerere awalazimishe watu kufanya siasa za upinzani hata baada ya watu 80% kutaka kuendelea na chama kimoja. Akili za watanzania wengi zipi nyuma sana, unaweza kuona kabisa maeneo yenye watu waliofunguka hata ccm haina nguvu huko. Ujinga ndio rutuba ya ccm.
Tayari mlishaumia
 
MWENYEKITI WAKO ALITUAMBIA KUWA ATAHAKIKISHA KUWA IFIKAPO 2020 ATAKUWA AMEUFUTA UPINZANI TANZANIA, AJABU MWAKA 2020 NDIO HUU NA BADO MNATEGEMEA KUTUMIA POLISI KUNYANG'ANYA WAPINZANI FOMU ILI MUONEKANE MMEPITA BILA KUPINGWA. MIAKA MINNE MNAFANYA SIASA WENYEWE LAKINI BADO HAMJIAMINI
Mkuu usipanic andika kwa herufi ndogo tu Watanzania Ni waelewa Sana watakuelewa.
 
Kwa matokeo haya ya Kawe ubunge zimepigwa kura 230,000 na urais kura 330,000 kweli CCM mbele kwa mbele
 
Hapo ndo CCM mlipofikia???? Yani kutegemea kushinda kwa njama ovu na ufedhuli????

Amini nakwambia. CCM mnaenda kuwa Chama pinzani mwaka huu. Yatakayowapata mwaka huu hamtoamini!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Vipi mkuu! Nlikuonya uache kunshabikia Amsterdam hukusikia! Ona sasa aibu inayokupata
 
Back
Top Bottom