Uchaguzi 2020 CHADEMA kwaheri ya kuonana. Chama kitabaki Youtube, Twitter, Facebook na Instagram

Watu wengi wanaoshabikia ccm ukiwatazama vizuri akili zao sio nzuri na ni watu wavivu na walafi.
 
Watu wengi wanaoshabikia ccm ukiwatazama vizuri akili zao sio nzuri na ni watu wavivu na walafi.
Nini kosa la ccm mkuu
Taja makosa ya ccm kwanza
Ccm haina makosa bali wananchi wana makosa
 
Nini kosa la ccm mkuu
Taja makosa ya ccm kwanza
Ccm haina makosa bali wananchi wana makosa
Kwa kweli watanzania mtabaki nyuma sana kwa huu ujinga wa kuishabikia ccm, wengi ni mazezeta kabisa hawajui hata maana ya siasa za upinzani. Kumbuka ilibidi Nyerere awalazimishe watu kufanya siasa za upinzani hata baada ya watu 80% kutaka kuendelea na chama kimoja. Akili za watanzania wengi zipi nyuma sana, unaweza kuona kabisa maeneo yenye watu waliofunguka hata ccm haina nguvu huko. Ujinga ndio rutuba ya ccm.
 
Genge moja la makamishna wa uchaguzi chini ya NEC limeamua kujichukulia madaraka ya kuamua na kenge kama ww unaona ni sawa. Kumiliki smartphone haimaanishi na ww ni smart kichwani.
Raisi ateue wakuu wa wilaya, mikoa, tume ya uchaguzi, makamishna/wakurugenzi wa uchaguzi n.k. na bado wabunge na madiwani ambao wanatakiwa kuchaguliwa na wananchi wateuliwe na genge moja lililoteuliwa na raisi waamue ama kulipa fadhila au kutekeleza maagizo. This time sidhani kama game itaisha kirahisi kama mnavyodhania. Tutakutana mtaani
 

Unao wajibu wa kutaa mfumo huu wa kihuni, Tutawaachia watoto wetu nchi ya aina gani? Ukifurahia mambo haya nitakuwa na wasiwasi na kiwango chako cha uelewa. Nchi isiyokuwa na mifumo ya haki kwa watu wake haiwezi kupata maendeleo kamwe.
Inasikitisha sana kuona watu wanadhulumiwa haki zao na sisi wengine tunakenua meno, inashangaza sana.
 
Pingamizi inaishia kwa Kaijage ndio final hakuna appeal zaidi.
 
Saivi ni NEC 23 vs upinzani 0,

bado sasa CCM Vs upinzani.

Iringa tunajua ni jimbo la mkwelima wa JPM hamwez kumfanyia figisu mwanae atakula nn ukweni
 
Kwahiyo uchaguzi unaoandamwa na vigezo kama hivyo unaweza kuitwa Free and Fair election?
 
Mwenyekiti wako alituambia kuwa atahakikisha ifikapo 2020 atakua ameufuta upinzani Tanzania, ajabu mwaka 2020 ndio huu na bado mnategemea kutumia Polisi kunyang'anya wapinzani fomu ili muonekane mmepita bila kupingwa. Miaka minne mnafanya siasa wenyewe lakini bado hamjiamini.
 
Njooni huku
 
Hapo ndo CCM mlipofikia???? Yani kutegemea kushinda kwa njama ovu na ufedhuli????

Amini nakwambia. CCM mnaenda kuwa Chama pinzani mwaka huu. Yatakayowapata mwaka huu hamtoamini!!
Tayari mlishaumia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…