Uchaguzi 2020 CHADEMA kwaheri ya kuonana. Chama kitabaki Youtube, Twitter, Facebook na Instagram

Kweli mbinu za kisasa hakikisha Mungu anabariki hizo mbinu kama tu zilikuwa halali otherwise my dear soon utakubaliana na Mungu maana maombi ya mwenye haki husikika haraka sana
 
Tayari mlishaumia
 
Mkuu usipanic andika kwa herufi ndogo tu Watanzania Ni waelewa Sana watakuelewa.
 
Mleta maada unashangilia ujinga kama huu,utakuwa na mapungufu ya akili
 
Kwa matokeo haya ya Kawe ubunge zimepigwa kura 230,000 na urais kura 330,000 kweli CCM mbele kwa mbele
 
Hapo ndo CCM mlipofikia???? Yani kutegemea kushinda kwa njama ovu na ufedhuli????

Amini nakwambia. CCM mnaenda kuwa Chama pinzani mwaka huu. Yatakayowapata mwaka huu hamtoamini!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Vipi mkuu! Nlikuonya uache kunshabikia Amsterdam hukusikia! Ona sasa aibu inayokupata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…