CHADEMA kweli ni baba wa Demokrasia nchini, ingekuwa CCM, lema angeshatekwa na kupotea

Footstep

JF-Expert Member
Joined
Oct 27, 2026
Posts
383
Reaction score
594
CCM wajifunze hoja hujibiwa Kwa hoja si kutekana,

Imagine Lema asema: Nikitaka kumuona Mbowe ntaenda kumuona na hakuna "Mpumbavu" wa kunizuia. Picha hiyo hiyo igeuze, angekuwa kule CCM ingekuwa Nini.

Sasa, Lema amesema yake nasi tumemjibu vilivyo Hadi amejificha Kwa aibu.

Ingekuwa CCM, Saa hii Kuna watu wangeshavaa mask ili kwenda kumteka
 
CCM wajifunze hoja hujibiwa Kwa hoja si kutokana,

Lema amesema yake nasi tumemjibu vilivyo Hadi amejifich Kwa aibu.

ingewa ccm lema angewa amepigwa miti tayari kama yale mapigwa miti ya ccm tlatlah,mwashamba na mavi mengine ya aina hiyo.
 
CCM wajifunze hoja hujibiwa Kwa hoja si kutokana,

Lema amesema yake nasi tumemjibu vilivyo Hadi amejifich Kwa aibu.

Ingekuwa CCM, Saa hii Kuna watu wangeshavaa mask ili kwenda kumteka
Hoja kwa hoja na mnatala afukwezwe nyie jamaa vip mbona mnajitekenya na kucheka... CHADEMA na CCM tofauti ni dolo siku wakiishika CHADEMA hali ni mbayq
 
Kufukuzwa Kwa kufuata utaratibu ni kawaida,

Shida ni CCM ukikosoa ,wanakuandikia Hadi barua ya kujiuzuru wakati hata hujaridhia,

Na ukicheza wanakuteka na kukupoteza.

Ujinga tu
 
Mwaipopo: Nchi za kiarabu ukiandamana unauwawa, hauwezi Kuta watu wakiandamana Saudi Arabia.

Sasa sijui nani kumwambia hii ni nchi ya kiislamu!
 
Ritz yanayoendelea CDM,yanakiimarisha zaidi kuliko kukibomoa.

Kule hakuna mtu anatekwa, Mbowe Hadi anasema Hakuna "Mpumbavu" yoyote wa kunizuia.

Kule CCM saizi angekuwa garage akivunjwa mifupa bila ganzi
 
CCM wajifunze hoja hujibiwa Kwa hoja si kutokana,

Lema amesema yake nasi tumemjibu vilivyo Hadi amejifich Kwa aibu.

Ingekuwa CCM, Saa hii Kuna watu wangeshavaa mask ili kwenda kumteka
Huyu CCM imeshampoteza,haonekani tena
 
Attachments

  • 6405238-eae1ceee959bf6fd97d9fb2eab102cc4.mp4
    9.2 MB
Ccm ni chama cha siasa kinachomiliki majeshi yote,

Sasa kwenye kutoa hoja kisiasa majeshi ya nn!

Mngeacha ujinga
CCM haimiliki majeshi ila chadema wanamiliki kikundi cha watekaji
 
Attachments

  • IMG_20261016_194843_685.jpg
    IMG_20261016_194843_685.jpg
    11.4 KB · Views: 2
CCM wajifunze hoja hujibiwa Kwa hoja si kutekana,

Imagine Lema asema: Nikitaka kumuona Mbowe ntaenda kumuona na hakuna "Mpumbavu" wa kunizuia. Picha hiyo hiyo igeuze, angekuwa kule CCM ingekuwa Nini.

Sasa, Lema amesema yake nasi tumemjibu vilivyo Hadi amejificha Kwa aibu.

Ingekuwa CCM, Saa hii Kuna watu wangeshavaa mask ili kwenda kumteka
Waliokuwa na uwezo wa kujibu hoja kwa nguvu ya hoja walisha wakorofisha zamani wakaamua kukaa pembeni !
 
Back
Top Bottom