King Kong III
Platinum Member
- Oct 15, 2010
- 64,227
- 98,761
Kutekana ni upuuzi ,hoja hujibiwa kwa hoja.
Kwani Mbowe ni Nani katika nchi hii zaidi ya kukumbukwa jinsi alivyofurushwa huko chadema na Lissu?CCM wajifunze hoja hujibiwa Kwa hoja si kutekana,
Imagine Lema asema: Nikitaka kumuona Mbowe ntaenda kumuona na hakuna "Mpumbavu" wa kunizuia. Picha hiyo hiyo igeuze, angekuwa kule CCM ingekuwa Nini.
Sasa, Lema amesema yake nasi tumemjibu vilivyo Hadi amejificha Kwa aibu.
Ingekuwa CCM, Saa hii Kuna watu wangeshavaa mask ili kwenda kumteka
Cccm ni genge la magaidiChadema ni kikundi cha wahuni
Chadema ni kikundi cha wahaini...subirini kunyongwaCccm ni genge la magaidi
Too early to comment. Subira huvuta heri.CCM wajifunze hoja hujibiwa Kwa hoja si kutekana,
Imagine Lema asema: Nikitaka kumuona Mbowe ntaenda kumuona na hakuna "Mpumbavu" wa kunizuia. Picha hiyo hiyo igeuze, angekuwa kule CCM ingekuwa Nini.
Sasa, Lema amesema yake nasi tumemjibu vilivyo Hadi amejificha Kwa aibu.
Ingekuwa CCM, Saa hii Kuna watu wangeshavaa mask ili kwenda kumteka
Kwamba CCM itafanya comeback?Too early to comment. Subira huvuta heri.