ingewa ccm lema angewa amepigwa miti tayari kama yale mapigwa miti ya ccm tlatlah,mwashamba na mavi mengine ya aina hiyo.CCM wajifunze hoja hujibiwa Kwa hoja si kutokana,
Lema amesema yake nasi tumemjibu vilivyo Hadi amejifich Kwa aibu.
Ingekuwa CCM, Saa hii Kuna watu wangeshavaa mask ili kwenda kumteka
Hoja kwa hoja na mnatala afukwezwe nyie jamaa vip mbona mnajitekenya na kucheka... CHADEMA na CCM tofauti ni dolo siku wakiishika CHADEMA hali ni mbayqCCM wajifunze hoja hujibiwa Kwa hoja si kutokana,
Lema amesema yake nasi tumemjibu vilivyo Hadi amejifich Kwa aibu.
Ingekuwa CCM, Saa hii Kuna watu wangeshavaa mask ili kwenda kumteka
Lugha yako ina ukakasi,ingawa ndo ukweli wenyeweingewa ccm lema angewa amepigwa miti tayari kama yale mapigwa miti ya ccm tlatlah,mwashamba na mavi mengine ya aina hiyo.
Kufukuzwa Kwa kufuata utaratibu ni kawaida,Hoja kwa hoja na mnatala afukwezwe nyie jamaa vip mbona mnajitekenya na kucheka... CHADEMA na CCM tofauti ni dolo siku wakiishika CHADEMA hali ni mbayq
Eti kwanini mnateka watu wenye akili mnaacha machawa?Chadema ni kikundi cha wahuni
Huyu CCM imeshampoteza,haonekani tenaCCM wajifunze hoja hujibiwa Kwa hoja si kutokana,
Lema amesema yake nasi tumemjibu vilivyo Hadi amejifich Kwa aibu.
Ingekuwa CCM, Saa hii Kuna watu wangeshavaa mask ili kwenda kumteka
Hawa machawa wa CCM wapate somo kuwa demokrasia iliyo CHADEMA inawaimarisha zaidi kuliko kuwabomoa Lucas Mwashambwa, TlaatlaahHuyu CCM imeshampoteza,haonekani tena
Waulize watekaji wenzako huko CHADEMAEti kwanini mnateka watu wenye akili mnaacha machawa?
Badala ya kuteka hoja, mnateka mtu na kumuua,
Are you mad?
Ccm ni chama cha siasa kinachomiliki majeshi yote,Waulize watekaji wenzako huko CHADEMA
CCM haimiliki majeshi ila chadema wanamiliki kikundi cha watekajiCcm ni chama cha siasa kinachomiliki majeshi yote,
Sasa kwenye kutoa hoja kisiasa majeshi ya nn!
Mngeacha ujinga
Chama cha Demokrasia na Maendeleo.wazi kama cha mbuzi
Waliokuwa na uwezo wa kujibu hoja kwa nguvu ya hoja walisha wakorofisha zamani wakaamua kukaa pembeni !CCM wajifunze hoja hujibiwa Kwa hoja si kutekana,
Imagine Lema asema: Nikitaka kumuona Mbowe ntaenda kumuona na hakuna "Mpumbavu" wa kunizuia. Picha hiyo hiyo igeuze, angekuwa kule CCM ingekuwa Nini.
Sasa, Lema amesema yake nasi tumemjibu vilivyo Hadi amejificha Kwa aibu.
Ingekuwa CCM, Saa hii Kuna watu wangeshavaa mask ili kwenda kumteka