CHADEMA kweli ni baba wa Demokrasia nchini, ingekuwa CCM, lema angeshatekwa na kupotea

Kwani Mbowe ni Nani katika nchi hii zaidi ya kukumbukwa jinsi alivyofurushwa huko chadema na Lissu?
Lema kaona chadema ni wapumbavu ndo maana kasema hakuna mpumbavu wa kumzuia.
 
Hakuna kibwengo hapo CHADEMA, mwenye uwezo wa kumfukuza Lema na Mbowe, kwenye uchaguzi wa mwenyekiti, Mbowe alipata karibu nusu ya kura zote, alishindwa kwa kura chache sana, kwa hiyo nusu ya wajumbe wa chadema wanamuunga mkono Mbowe, na huu upuuzi wa CHADEMA ya Heche kuongozwa na wanaharakati unaoendelea sasa hivi.Mbowe anazidi kujizolea ushawishi ndani ya CHADEMA.
 
Too early to comment. Subira huvuta heri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…