Alikuwa mwanachama mwanadamizi NCCR hadi mwaka 2000 akahamia TLP.nasema kwa hili ataumbuka sana bora anyamaze.Mheshimiwa Mwanakijiji vyama vina rekodi za wanachama wao.inapotokea Mtu anaficha sehemu ya CV yake lazima tumuogope kwani si mkweli.
kwa hili Mwanakijiji ukicheki na Lyatonga Mrema atakupa,najua kutofautisha kuwa kocha wa timu ya Taifa ni mbrazil hamfanyi awe mtanzania ,Kuku kuzaliwa kwenye ziziz la ng'ombe hamfanyi kuwa ng'ombe. Mbowe alihudhuria sherehe za rais JK kuapishwa sio CCM.
Kitila Tumekuwa nae Daruso alikuwa rais wetu tunamjua vizuri sana.
He Is Back....!
Hukugombea Uenyekiti wa mkoa wa Dsm? na ukaukosa?
swali la nyongeza at any time hukuwa mfuasi wa Mrema alipokuwa NCCR na ukahama nae kwenda TLP?
Nina ushahidi mkubwa sana wa jambo hili na unajua unasema uongo,kwani kuna kosa gani wewe kuwa NCCR? KITILA wewe ni public figure maisha yako huwezi kuyaficha hasa hapa JF kila siku watu wanaumbuka.
Nina ushahidi mkubwa sana wa jambo hili na unajua unasema uongo,kwani kuna kosa gani wewe kuwa NCCR? KITILA wewe ni public figure maisha yako huwezi kuyaficha hasa hapa JF kila siku watu wanaumbuka.
Mimi nakuruhusu, weka ushahidi wote hapa.
Mkuu weka ushahidi kukata mzizi wa fitina. Maneno tu watu watakubishia sana hapa.
Ndio haya nayapigania hapa.uwajibikaji na uwazi kwa vyama vyetu,haiwezekani mtu aliyechaguliwa na wanachama kwenye mkutano leo aitwe Mzigo mzito na Kitila Mkumbo.
Ni wewe uliyenihusia kuwa JF ina sheria zake, nimekupa hadi mwaka aliokwenda TLP unataka nini zaidi, nimekwambia alikuwa rais wetu Daruso mtu anapokuwa rais wako lazima umjue na umfutilie baada ya kumaliza chuo,jamaa ali SACRIFICE sana Udsm kwa hili tunampa tano zake.
Tatizo lake anapenda kuwa wenye vyama vinapokuwa juu akiona ovyo anahama.
Naomba niishie hapa labda akija bwana Kitila akitaka maelekezo zaidi nitarudi kumpa kumbukumbu.
Fikiria, ndio washachukua innji. Kisha wanaanza kutimuana ktk baraza la mawaziri!! ikulu hapatoshi!!!!!. Duh!!!!!!
Ni wewe uliyenihusia kuwa JF ina sheria zake, nimekupa hadi mwaka aliokwenda TLP unataka nini zaidi, nimekwambia alikuwa rais wetu Daruso mtu anapokuwa rais wako lazima umjue na umfutilie baada ya kumaliza chuo,jamaa ali SACRIFICE sana Udsm kwa hili tunampa tano zake.
Tatizo lake anapenda kuwa wenye vyama vinapokuwa juu akiona ovyo anahama.
Naomba niishie hapa labda akija bwana Kitila akitaka maelekezo zaidi nitarudi kumpa kumbukumbu.
wewe Masaka maji yakimwagika hayazoleki!hawa hawawezi kuchukua nchi.... sisi ccm hatuna cha kutimuana wala nini.
Kwanza hata Lowasa kuna habari kuwa alionewa na inabidi arudishwe kwenye U-PM tu.
kidumu chama cha mapinduzi.
wewe Masaka maji yakimwagika hayazoleki!
Nataka kujua jamani kwani haruhusiwi kugombea huo uenyekiti kama tatizo ndio hilo?maana hapa tutajua nani mwenye tatizo kati yake na mbowe.Kitila.
Wanaounda kamati kuu wamechaguliwa na Mbowe hili halina ubishi, ni Mbowe aliyewapa nafasi hizo Baregu na Ngaiza na wengine, ni sawa na kusema waziri Pinda,Ngereja na waziri Membe ambao wamepewa ulaji na JK waitwe na kuambiwa watoe maamuzi ya yaliyo na maslahi na JK au maslahi ya JK yanahatarishwa na mtu let say Sumaye, unafikiri jibu litakuwaje?
Chacha Wangwe.
Ni mbunge pekee katika Chadema aliyeshinda kwa ushindi mkubwa kwenye ubunge kwa wastani wa asilimia 65 hadi 70 hakuna mbunge yeyote wa upinzani Tanzania Bara aliyepata kura hizo, huko kote kapita kwa kishindo na kama angeenda kwenye Uenyekiti angechukua, kusema kuwa hana interpersonal skills ni kumkandamiza kwa vile wewe Kitila, Mnyika, Tundu Lissu, Zitto mko upande wa Mbowe ambao unaitwa upande wa wasomi, ndio maana mzee Halimoja amekuwa akitukanwa na upande huu kwa kujaribu kuwa na mawazo halisi, haiwezekani Wangwe akawa mzigo na mjinga wakati ameshinda kwa kishindo kikubwa jimboni kwake.
Kama mliuvumilia mzigo wake kwanini msisubiri hadi mwezi wa nane yaani mwezi mmoja tu wakati wa uchaguzi wa mkuu wa chama? kwa akili zangu ndogo inaonekana miezi saba aliyokaa madarakani kama makamu amejijenga kiasi mnaogopa kuwa akiingia kwenye mkutano mkuu kama makamu anaweza kuchukua uenyekiti.
Chadema kwa hili mmedhihirisha kuwa sio chama bali ni platform ambayo watu wanaitumia kufikia malengo yao,
kama vikao vya faragha wakufukuzwa ni Zitto Kabwe ambaye wote mnajua kuwa ana ukaribu mkubwa na JK kuliko Mbowe.
Wangwe amepunguzwa kasi au amefungwa spidi gavana na wenye chama chao.
Ntaka kujua jamani kwani harsiwi kugombea huo uenyekeiti kama tatizo ndio hilo?man hapa tutajua nani mwenye tatizo kati yake na mbowe.
Kumtimua mtu akishindwa kutekeleza majukumu aliyokabhiwa au aliyetumia vibaya madaraka aliyopewa ni jambo la kujivunia na ni lazima liwe linatendeka ili kujenga nidhamu. CCM inalinda hata watu wa aina hiyo hapo juu, na hilo ni tatizo kubwa sana kwa wananchi.hawa hawawezi kuchukua nchi.... sisi ccm hatuna cha kutimuana wala nini.
Kwanza hata Lowasa kuna habari kuwa alionewa na inabidi arudishwe kwenye U-PM tu.
kidumu chama cha mapinduzi.
mgagagigikoko kwa vile Kitila amekupa ruhusa kuweka ushahidi kuwa alikuwa mwanachama wa NCCR na TLP na kwa vile umesema kuwa kuku kuwa zizini hakumfanyi awe ng'ombe bila ya shaka una ushahidi mkubwa zaidi. Hivyo, naamini ushahidi pekee na ambao haupingiki ambao unaweza kusimama katika mahakama ya watu hapa ni ushahidi wa kadi.
Kwa vile umesema kuwa vyama vina rekodi, na kwa vile unajua mwaka ambao Kitila alijiunga na hivyo vyama vingine, nadhani itakuwa vizuri kutuonesha kuwa Bw. Kitila si msema kweli kwa kuweka hadharani namba ya kadi yake ambayo sisi wengine tunaweza kufuatilia NCCR na TLP ili kujua kama ilitolewa kwa mtu aitwaye Kitila Mkumbo.
Ni ushahidi huo tu utakaokubalika kuonesha kuwa Bw. Mkumbo aliwahi kuwa 'mwanachama wa vyama hivyo vingine na hivyo kuyatupilia mbali maneno yake kuwa alipohama CCM aliingia Chadema.
Ukiniuliza mimi the burden of proof is on you.
...at any time hukuwa mfuasi wa Mrema alipokuwa NCCR na ukahama nae kwenda TLP?
.