Mtu wa Pwani
Platinum Member
- Dec 26, 2006
- 4,192
- 681
- Thread starter
- #441
mie nnakupata umesema baada ya saa moja kuanzia sasa au vipi maaana lucky dube kachacha hapa kama wangwe mwenyewe
mzee si unajua tena fani..!!?
Kwa private Life ukienda huko Mbowe ni mchafu zaidi naomba huko tusiende,
kiongozi wa Conservative ya UK bwana David Cameroon alikiri kuwa alikuwa mvuta bangi mkubwa na amekiwezesha chama chake kushinda uchaguzi wa serikali za mitaa hivi karibuni, Labour Party kwa miaka 30 hawajahi kupoteza nafasi za uchaguzi kama huu wa hivi karibuni chini ya David Camerron, na kwa mara ya kwanza Conservative wamepata nafasi ya umeya wa jiji la London, hata Obama alikuwa anafuta bangi alipokuwa kijana.
Mbowe alikuwa mwanachama wa Wapuki uliza wanaojua watakwambia maana yake. kwa maneno tuamini kuwa Wangwe kaondolewa kwa ajili ya private life yake? jee hamkuliona wakati mnampa uanachama, ubunge na umakamu wa mwenyekiti?
Mkuu kitila,Vilevile nilipoamua kujiunga na CHADEMA nilitangaza (June 2005) mbele ya umati wa wanataaluma na wananchi wengine waliokuwa kwenye kongamano Nkrumah Hall, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam. Waliokuwepo kwenye kongamano pale Nkrumah watakwambia.