CHADEMA kweli ni shwari au ni kauli za kisiasa tu ?

Mimi maoni yangu ni haya....

Hili ni jambo la kusikitisha!

Ila naomba maoni haya yangu yawe ni yangu na kila mtu awe na OPINION yake.

Kwanza nataka mjuwe kama mngesikiliza ushauri wangu CHADEMA haya yasingiwakuta.

Na ndio maana sitachukua side ila kutoa maoni.

Kwa upande wa MBOWE...

Kama kweli tuhuma anazotoa WANGWE kuhusu wafanyakazi wa makao makuu kila mtu hadi dereva kuwa mtu wa KILIMANJARO AMA MCHAGGA...Basi hapo mlichemsha sisiti kuwaambia.

Mmeshindwa kuzingatia the very first rule for democracy...DIVERSITY.

Hivyo hatua hiyo imempa nafasi WANGWE..Kwani kama mngekuwa mnajuwa historia ya TAIFA letu...Basi msingeweza kufanya hivyo.

WANGWE Pia na wewe una makosa....

Ulienda CHADEMA KWENDA KUKIGEUZA KISIWE CHA KIKABILA?

KAMA UNA KIPAJI HICHO...KWANINI HUKWENDA ccm KUKIBADILISHA KISIWE CHA MAFISADI?

Na kauli yako kusema eti mke wa SLAA NI ccm kwa hiyo anaweza pia akawa PANDIKIZI...AMA HATA KUTAKA KU IMPLY KUWA SLAA AWEZA KUWA PANDIKIZI.

Kusema mke wa SLAA PANDIKIZI!
SI KAMA KUSEMA SLAA PANDIKIZI?
WANGWE WEWE NDIYO PANDIKIZI!

Na pia badala ya kukijenga chama ili kuongeza wanachama wewe umekuja kuvuruga hata kile kidogo kilichopo!

Na pia kitendo chako cha mawasiliano na KABURU WALIDI LA HUKO KIGOMA...Kimenivunja IMANI KABISA!

KWANZA KAMA CHAMA KINGEKUWA NCHI..HUO NI UHAINI..Kwani KABURU NI MWASI!

Kama angesimama kidete basi hata huu ufisadi usingetokea!

Kumbuka ufisadi huu mbaya ulikuja mara baada ya MKAPA kumbwaga MREMA mara baada ya vurugu za namna hiyo hiyo za kina MSUMBUKAJI LAMWAI.

Viongozi wakuu wa CHADEMA NILIWAONYA.

LAKINI DHARAU ZENU ZIMEWAPONZA.

Kwa hapo ni maoni yangu.
Ila...Ningeomba tusikie na maoni ya ZITTO.
Halafu na SLAA.

Baada ya hapo...Then tunaweza ku conclude moja kwa moja ili kama kuna kabila la kumfuata WANGWE NA KUWAACHA KINA ZITTO, SLAA, TUNDU LISSU NA WENGINEO..BASI NA LIENDE!

NI HAYO KWA SASA.
__________________
 
Na ndugu yangu Hollo...Wewe ni John Cheyo.
Nenda kamwambie aje hapa atoe maoni yake kama hayatafanana na ya kwako.
Acha hizo za kuwagawa wapinzani wenzako!
 
nimekuuliza swali kutokana na kile ulichoandika hapa:

Tanzania njema katoa maoni yake kisha wewe unasema kuwa amekuja kumkashifu Wangwe huku ukisema kuwa yeye ni memba wa kamati kuu ya Chadema. Swali hilo hilo linakuja kwako, je wewe ni msemaji wa Wangwe au ni memba wa kamati kuu ya chama kipi? .... I guess ni ccm.

Nimesoma ukidai kuwa Kitila aliwahi kuwa mwanachama wa NCCR na TLP kitu ambacho umekosa ushahidi hapa. Je utaleta ushahidi ulioombwa na Kitila?

Soma maneno ya Tanzania njema tena na tena, ukishindwa vaa miwani itakusaidia.sijasema kuwa Tanzania Njema au Kitila wako kamati kuu ya Chadema najua ninachoongea.

Samahani sana mie siishi kwa kuGuess kama wewe, ushahidi gani unaotaka kuhusu Kitila, nimekupa kila kitu kama umeshindwa kujua ni uzito wa akili yako sio kosa langu, hasira hizi unazoleta kwangu na wengine tulioamua kumsemea Chacha Wangwe ni uthibitisho kuwa kuna kundi liliundwa kumuua kisiasa Wangwe,Mmeshamfukuza kwenye madaraka sasa hasira za nini? mission imefanikiwa usiwe na hasira ndugu, huu ni muda wa sherehe acha hasira.
 
Hivi chacha na Hiza wa CUF wanatofauti?, au ni Elimu lakini position zao katika upinzani si zinafanana, wanatumiwa!??
 
kama Wewe Unaona Kuwa Huu Ni Ukweli Na Ni Lazima Uuseme Basi Nakuachia Ukumbi Kwenye Issue Ya Ukabila Na Kukupa Kombe Kubwa La Ushindi. Ukisoma Hii Thread Utagundua Makanusho Mengi Sana Kwenye Hili Toka Kwa Watu Kibao Hapa.

Katika Hili, Endelea Tu Na Rants Mkulu Yangu Macho Na Masikio Na Huruma Kidogo Juu Yako. Ninajua Kuna Mengi Sana Wana Ccm Mnaweza Kuargue Na Chadema Kuhusu Sera. Sidhani Kama La Ukabila (ambalo Si Kweli) Ni Moja Of Them.

Kuna Mtu Alianzisha Thread Hapa Kuwa Ccm Ni Chama Cha Kiislam Na Kusema Kuwa 75% Ya Viongozi Wake Ni Waislam (na Hoja Hiyo Ikapingwa Maana Haina Nguvu). ukienda Huko Yatakushinda Mkuu.
Wewe Wasema!
 
Na ndugu yangu Hollo...Wewe ni John Cheyo.
Nenda kamwambie aje hapa atoe maoni yake kama hayatafanana na ya kwako.
Acha hizo za kuwagawa wapinzani wenzako!

Hollo ni Chenge.
 
Soma maneno ya Tanzania njema tena na tena, ukishindwa vaa miwani itakusaidia.sijasema kuwa Tanzania Njema au Kitila wako kamati kuu ya Chadema najua ninachoongea.

Samahani sana mie siishi kwa kuGuess kama wewe, ushahidi gani unaotaka kuhusu Kitila, nimekupa kila kitu kama umeshindwa kujua ni uzito wa akili yako sio kosa langu, hasira hizi unazoleta kwangu na wengine tulioamua kumsemea Chacha Wangwe ni uthibitisho kuwa kuna kundi liliundwa kumuua kisiasa Wangwe,Mmeshamfukuza kwenye madaraka sasa hasira za nini? mission imefanikiwa usiwe na hasira ndugu, huu ni muda wa sherehe acha hasira.

Baada ya hapa, imeonekana kuwa huna uthibitisho kuwa Kitila aliwahi kuwa NCCR au TLP. Kwa kuleta uzushi na udaku hapa huku ukimwita mmojawapo wa members makini hapa JF - Kitila kuwa ni mwongo, maandishi yako mwenyewe yamekuonesha kuwa wewe ni muongo na Kitila kasema ukweli.
 
Kama wewe unaona kuwa huu ni ukweli na ni lazima uuseme basi nakuachia ukumbi kwenye issue ya ukabila na kukupa kombe kubwa la ushindi. Ukisoma hii thread utagundua makanusho mengi sana kwenye hili toka kwa watu kibao hapa.

Katika hili, endelea tu na rants mkulu yangu macho na masikio na huruma kidogo juu yako. Ninajua kuna mengi sana wana ccm mnaweza kuargue na chadema kuhusu sera. Sidhani kama la ukabila (ambalo si kweli) ni moja of them.

Kuna mtu alianzisha thread hapa kuwa ccm ni chama cha kiislam na kusema kuwa 75% ya viongozi wake ni waislam (na hoja hiyo ikapingwa maana haina nguvu). Ukienda huko yatakushinda mkuu.

MWK,

Mimi ndiye nilianzisha hiyo thread kuwa ccm ni chama cha kiislam na ingawa hiyo thread ilihamishwa toka jukwaa la siasa, bado nasema kuwa ccm ni chama cha kiislam kwa kuwa viongozi wake wote wa juu asilimia 75 yao ni waislam
 
Na ndugu yangu Hollo...Wewe ni John Cheyo.
Nenda kamwambie aje hapa atoe maoni yake kama hayatafanana na ya kwako.
Acha hizo za kuwagawa wapinzani wenzako!
Mimi siyo cheyo kabisa na wala haitatokea niwe yeye!
Mimi sio mpinzani mimi ni MUAFRICA MTANZANIA!ambaye ni Mwana CCM!Wapinzani wanajimaliza wenyewe tu!wewe mfanya biashara anakuwa mwenyekiti wa chama si maajabu haya?
 
Hongera na chama chenu cha kiislam Hollo. Ha ha ha ha
 
Baada ya hapa, imeonekana kuwa huna uthibitisho kuwa Kitila aliwahi kuwa NCCR au TLP. Kwa kuleta uzushi na udaku hapa huku ukimwita mmojawapo wa members makini hapa JF - Kitila kuwa ni mwongo, maandishi yako mwenyewe yamekuonesha kuwa wewe ni muongo na Kitila kasema ukweli.
Kwanini unamhukumu mtu bila ya kumpa nafsai ajitete,Inawezekana ana Vithibitisho vya Kitila kuwa NCCR kwani kama alishawahi kuw aNCCCR ni dhambi kw asas kuwa CHADEMA ambavyo uonavyo wewe ni chama kitakatifu
 
MWK,

Mimi ndiye nilianzisha hiyo thread kuwa ccm ni chama cha kiislam na ingawa hiyo thread ilihamishwa toka jukwaa la siasa, bado nasema kuwa ccm ni chama cha kiislam kwa kuwa viongozi wake wote wa juu asilimia 75 yao ni waislam
Huo si ukweli!Makamu mwenyekiti ni mkristo,katibu mwenezi ni mkristo,mweka hazina ni mkristo,mambo ya nchi za nje ni mkristo!
 
Kwanini unamhukumu mtu bila ya kumpa nafsai ajitete,Inawezekana ana Vithibitisho vya Kitila kuwa NCCR kwani kama alishawahi kuw aNCCCR ni dhambi kw asas kuwa CHADEMA ambavyo uonavyo wewe ni chama kitakatifu

Soma hii thread kuanzia page ya 20 uone Kitila akimpa nafasi ya kuthibitisha madai yake na uangalie majibu ya Mgagagikoko. Kitila amekataa kuwa hajawahi kuwa NCCR wala TLP na amempa huyu nafasi kuthibitisha otherwise lakini yeye analeta story tu. You can make your own call kwenye hili.
 
Huo si ukweli!Makamu mwenyekiti ni mkristo,katibu mwenezi ni mkristo,mweka hazina ni mkristo,mambo ya nchi za nje ni mkristo!

Viongozi wa juu wa ccm:

Kikwete - M/kiti - muislam
Karume - M M/kiti - muislam
Makamba - Katibu - Muislam
......... - M/Mkiti - mkristo

Angalia NEC na CC ya ccm, asilimia 75 ni waislam. Nitakuwekea majina muda si mrefu.
 
Baada ya hapa, imeonekana kuwa huna uthibitisho kuwa Kitila aliwahi kuwa NCCR au TLP. Kwa kuleta uzushi na udaku hapa huku ukimwita mmojawapo wa members makini hapa JF - Kitila kuwa ni mwongo, maandishi yako mwenyewe yamekuonesha kuwa wewe ni muongo na Kitila kasema ukweli.

Jana nilieleza kuwa Wangwe asingeweza kupata haki yake mbele ya wale wajumbe watano Ngaiza,Baregu,Ndesamburo, Makani na Mtei na akipeleka kw suala hilo mahakamani kwenye kipengele cha Judicial Review anatashinda kesi kuwa walimuondoa walikuwa na maslahi au ukaribuni na Mbowe hiyo ni point kubwa.

Wewe kumsema kuwa mimi muongo na Kitila ni kweli sio sahihi, angekuja mtu ambaye ni Independent angesema kuwa mimi muongo ingeleta nguvu,lakini inajulikana wazi kuwa pesa za makao makuu ya Chadema zinatumiwa vibaya kuwanufaisha kina Mnyika na group lao kuliko kutumika majimboni, Hilo group yuko Kitila na timu yao kwa michango yako humu, wewe ni sehemu ya timu hiyo,mtu ambaye uko kwenye mission moja utaacha kusema kuwa ni mkweli?

Unajua ukienda mahakamani ushahidi wa mke wako, au ndugu yangu hautakiwi sababu utakuwa wa upendeleo, ukiomba kazi huwezi kusema kuwa ndugu yako au rafiki yao ndio refarii wako, hawezi kutoa maelezo ya ukweli.
Kitila hawezi kuwa mkweli kwa kauli yako wewe mwenzake kwenye mission ya kumtoa Wangwe.
WAKATABAHU!!!
 
Inajulikana wazi kuwa pesa za makao makuu ya Chadema zinatumiwa vibaya kuwanufaisha kina Mnyika na group lao kuliko kutumika majimboni, Hilo group yuko Kitila na timu yao kwa michango yako humu, wewe ni sehemu ya timu hiyo,mtu ambaye uko kwenye mission moja utaacha kusema kuwa ni mkweli?

Sasa wewe unaanza kujiabisha, unakuwa kama vile umesomea huo uzushi. Hilo la kuthibitisha kwamba mimi nilikuwa mwanachama wa NCCR limekushinda, sasa umeamua kuzusha lingine kwamba kuna kundi hapa linalipwa na chadema kutoa maoni yao? You will soon go into my ignore list!
 
Jana nilieleza kuwa Wangwe asingeweza kupata haki yake mbele ya wale wajumbe watano Ngaiza,Baregu,Ndesamburo, Makani na Mtei na akipeleka kw suala hilo mahakamani kwenye kipengele cha Judicial Review anatashinda kesi kuwa walimuondoa walikuwa na maslahi au ukaribuni na Mbowe hiyo ni point kubwa.

Wewe kumsema kuwa mimi muongo na Kitila ni kweli sio sahihi, angekuja mtu ambaye ni Independent angesema kuwa mimi muongo ingeleta nguvu,lakini inajulikana wazi kuwa pesa za makao makuu ya Chadema zinatumiwa vibaya kuwanufaisha kina Mnyika na group lao kuliko kutumika majimboni, Hilo group yuko Kitila na timu yao kwa michango yako humu, wewe ni sehemu ya timu hiyo,mtu ambaye uko kwenye mission moja utaacha kusema kuwa ni mkweli?

Unajua ukienda mahakamani ushahidi wa mke wako, au ndugu yangu hautakiwi sababu utakuwa wa upendeleo, ukiomba kazi huwezi kusema kuwa ndugu yako au rafiki yao ndio refarii wako, hawezi kutoa maelezo ya ukweli.
Kitila hawezi kuwa mkweli kwa kauli yako wewe mwenzake kwenye mission ya kumtoa Wangwe.
WAKATABAHU!!!

Wewe umesema kuwa Kitila amewahi kuwa mwana NCCR na mwana TLP na ukasema pia kuna ushahidi. Kitila amekanusha hiyo habari na akakuomba ulete ushahidi.

Wewe umwemwita Kitila muongo kwa kukataa kuwa aliwahi kuwa mwanachama wa hivyo vyama na Kitila bado anakuomba ulete ushahidi hapa. Katika hili, kwa vile bado hujaleta ushahidi ambao umeahidi, kati yako na Kitila, wewe ndio muongo hadi hapo utakapoleta ushahidi ili Kitila aonekane muongo.

Hayo mengine yote uliyosema sio ushahidi wa madai yako na wala hayausiani na unachodai hapa kuhusu kitila na NCCR na TLP
 
Jana nilieleza kuwa Wangwe asingeweza kupata haki yake mbele ya wale wajumbe watano Ngaiza,Baregu,Ndesamburo, Makani na Mtei na akipeleka kw suala hilo mahakamani kwenye kipengele cha Judicial Review anatashinda kesi kuwa walimuondoa walikuwa na maslahi au ukaribuni na Mbowe hiyo ni point kubwa.

Wewe kumsema kuwa mimi muongo na Kitila ni kweli sio sahihi, angekuja mtu ambaye ni Independent angesema kuwa mimi muongo ingeleta nguvu,lakini inajulikana wazi kuwa pesa za makao makuu ya Chadema zinatumiwa vibaya kuwanufaisha kina Mnyika na group lao kuliko kutumika majimboni, Hilo group yuko Kitila na timu yao kwa michango yako humu, wewe ni sehemu ya timu hiyo,mtu ambaye uko kwenye mission moja utaacha kusema kuwa ni mkweli?

Unajua ukienda mahakamani ushahidi wa mke wako, au ndugu yangu hautakiwi sababu utakuwa wa upendeleo, ukiomba kazi huwezi kusema kuwa ndugu yako au rafiki yao ndio refarii wako, hawezi kutoa maelezo ya ukweli.
Kitila hawezi kuwa mkweli kwa kauli yako wewe mwenzake kwenye mission ya kumtoa Wangwe.
WAKATABAHU
!!!

Ukisikia pumba first grade ndizo hizi.
 
Back
Top Bottom