Gembe
JF-Expert Member
- Sep 25, 2007
- 2,483
- 167
see..Labda nikuulize wewe, aliyekula pesa za Watanzania ni Kikwete au Lowassa?
You dont answer my query you are keeping insiting on CCM..Thread imeandikwaje?anzisha nyingine
see..Labda nikuulize wewe, aliyekula pesa za Watanzania ni Kikwete au Lowassa?
Umeishiwa hoja nimekuambia kuna viongozi ambao pia ni wakristo,makamu mwenyekiti,katibu mwenezi,mtunza hadhina na organisation ya mambo ya nje!iweje useme ni cha waislamu?jamani utalinganisha na Chadema nafasi sita za wabunge wa kuteuliwa wanne wanatoka pure kaskazini,mmoja mme wake anatoka hukohuko!mmoja tu ndo anatoka kanda ya magharibi!kweli Chama kilishindwa kupata uwakilishi wa kanda zingine?wewe na hicho chama chenu cha kiislam mtaishia jela hivi karibuni kwa kuiiba mali ya watanzania.
Mmmmhhhhhhhhhhhhh!!!!!!!!!!! mambo yale yale ya CCM, ZANU, KANU na vyama vingine vya wajinga Afrika.
Aliyechaguliwa na wananchi kwenye mkutano mkuu wa chama, anasimamishwa na kamati ya wapambe.
Adhabu ya mwanasiasa inapatikana kwenye uchaguzi, haya mambo ya kusimamishana yananikumbusha vyama vya Wakomunisti na hivyo vyama vyetu vya Afrika vinavyojaza wapambe kwenye kamati kuu.
Nilikuwa nafikiri CHADEMA ni chama makini, kumbe na wao ni yale yale tu. Je vipi Wangwe hajaanguka kwa BP?
Mkuu MK, wengine tunajua ulikuwepo kwenye hiyo kamati yenu, tuambie kilichotokea na sio hizi craps za taarifa ya chama. Naona hapa naangalia picha ambayo nilishaiona mwanzoni, tofauti tu ni mchezaji kabadilika. Badala ya main actor kuwa CCM sasa nao CHADEMA mnacheza kamchezo kale kale. Aibu kweli kweli.
Ukiishiwa maneno,una copy na kupaste na kubadilisha kidogo,Mie siyo kilaza Mzee kama..
1.CCM siyo chama Cha kiislam labda unegesoma kina viongozi wengi waislam.
2.CCM haismamii PESA za Serikali bali ni Watendaji wa Serikali hufanya kazi hiyo.
3.Ni nani na nani ambaye ni kiongozi wa juu unataka CCM imtoe na uwe na uhakika na ushahidi ni FISADI?
Umeishiwa hoja nimekuambia kuna viongozi ambao pia ni wakristo,makamu mwenyekiti,katibu mwenezi,mtunza hadhina na organisation ya mambo ya nje!iweje useme ni cha waislamu?jamani utalinganisha na Chadema nafasi sita za wabunge wa kuteuliwa wanne wanatoka pure kaskazini,mmoja mme wake anatoka hukohuko!mmoja tu ndo anatoka kanda ya magharibi!kweli Chama kilishindwa kupata uwakilishi wa kanda zingine?
Haya makao makuu hadi madereva nao wachaga wa huko huko kaskazini!
WANGWE alitaka kuwasaidia ili chama chenu kionekane cha kitaifa nanyi mmemaliza!
Matokeo mtayaona 2010!
Gembe.
Baada ya Natural justice kuna kipengele cha Unreasonableness,Irrationality na proportionality. Hivyo vinaweza kutengua maamuzi ya wazee watano wa Chadema na kuonesha walikuwa na upande wao na angetumia vipengele hivyo kuwakataa kabla ya kikao angeshinda kisheria.
Mwk.
Umeshinda wewe na Kitila, nataka kukwambia kitu kimoja mchujo wa ccm uko mkali sana sasa watu wakishindwa huko wanakwenda vyama vingine(Transit) wanatengeneza majina kwa kutokana CCM ili baadae wakirudi wapate nafasi ya ubunge au uenyekiti wa mkoa, kuna watu ambao unaweza kusema ni wakweli kama Mnyika ambaye amekuwa sehemu moja kwa muda bila kutetereka, sio kuwa na mwanachama aliyeona kuwa 2005 chadema wamekuja na helkopta na yeye anachukua kadi.
1995 Alipoona Mrema anasukumwa kwenye gari na unaweza kuingia hotel (mgahawa) yeyote ya mchagga ukala chakula au akapewa soda bure ukisema mwana NCCR,mtu akachukua kadi.mtu wa namna hiyo hafuati sera au chama anafuata kitu,akisema 2010 CUF wana ndege atakwenda huko.
MWFK,
Ulichokifanya hapo kinakosekana sana hapa JF: kukumbuka mtu alichosema wiki iliyopita au jana au mwezi uliopita na kum hold accountable to it in the future.
Hio ndio poa hiyo, mtu akisema kitu cha kizushi, akabanwa, akakataa kukifuta, tusimpe tena credibility.
We hata hukuwepo kwenye hiyo discussion wakati akirusha zile unsubstantiated scuttlebutt kwa Kitila. Lakini ulipokuja ukatulia, ukasoma yote ya nyuma kupata sense ya mtiririko wa hoja na credibity ya mtu.
Ukakuta hakuna, ukamuuliza akajiuma uma, ukamwita anavyo stahili: hana credibility.
Good job there.
Na kwanini isiwe kitila anasema Uongo na huyu mhe. anasema Ukweli?au unataka akubali ili yaishekwa vile bado unatoa maneno mengi tu bila ushahidi, basi nimekubaliana na usemi wangu mwenyewe kuwa wewe unasema uongo na Kitila anasema ukweli
Na kwanini isiwe kitila anasema Uongo na huyu mhe. anasema Ukweli?au unataka akubali ili yaishe
Why did you choose him at the first Place?au hamkumjua ni mtu wa namna gani?
Kaanzia wilayani,akaja mkoani then Taifa..sas ahivi hafai kwa sababu zipi?
Pundit tell us the Reality and not what is not real
Asilimia ngapi ya wabunge wa kuteuliwa Chadema wanatoka kaskazini?Msikilizeni WANGWE nasio sababu mwenyekiti hampendi basi watu wote wanamsuport Mbowe!Mimi namfahamu mke mmoja tu wa RAISI MAMA salma kikwete!hayo ya mdogo ni udaku wako!haya mambo sijui ya mume na mke wa viongozi wa chadema, je umejiuliza kuwa mke mdogo wa Kikwete ni dada ya nani huko ccm?
Hakuna tofauti ya viongozi wa chadema na wa ccm. Kama chadema ni chama cha wachaga kwa vile baadhi ya viongozi ni wachaga basi na ccm ni chama cha kiislam kwa vile asilimia 75 ya viongozi wake ni waislam- Kituo kikubwa.
Asilimia ngapi ya wabunge wa kuteuliwa Chadema wanatoka kaskazini?Msikilizeni WANGWE nasio sababu mwenyekiti hampendi basi watu wote wanamsuport Mbowe!Mimi namfahamu mke mmoja tu wa RAISI MAMA salma kikwete!hayo ya mdogo ni udaku wako!
kwa vile bado unatoa maneno mengi tu bila ushahidi, basi nimekubaliana na usemi wangu mwenyewe kuwa wewe unasema uongo na Kitila anasema ukweli
First off, you are asking me as if I am CHADEMA.If you can at all read the piece above you will see the impartial objectivity devoted on the subject.This same staunch and impartial objectivity is maintaned not only in intra-CHADEMA issues, but also inter party issues and international issues.
So where did you get the notion that I am CHADEMA? or are you one of those with a myopic vision here that "if you are not with us you must be with them"?
I am neither with you or them, hapendwi mtu wala chama, ni hoja tu hapa!
The thing is there is no question, the attempt to frame a question was flatfooted by the fallacious attempt to separate "politics" from that which it is.
Mkumbo ni mwanachadema mwenye uzoefu wa vyama vyote kuanzia tawala hadi vya upinzani atakuwa na experience kubwa ya siasa.
Nimesema mkweli ni wewe na Kitila soma post yangu iliyopita,ushahidi nikupe wewe kama nani? Hakimu ambaye una upande wako tayari,maandishi yangu yatawafungua macho watu wengi.kwanza ni fahari kwa Mkumbo ni mwanachadema mwenye uzoefu wa vyama vyote kuanzia tawala hadi vya upinzani atakuwa na experience kubwa ya siasa.
Huo muda wa kufuatilia sina!CHADEMA WATALIPA PRICE ya kumfukuza WANGWE umakamu mwenyekiti!kwa kuwaambia maneno ya ukweli!Ama kweli ukweli unauma!kuhusu MBOWE na Wangwe nenda KLHNEWS utamsikia WANGWE AKISEMA KWA NINI KAFUKuZWA UMAKAMU WA CHADEMA!Umeyaleta mambo ya familia za viongozi ukidhani kuwa ccm ni safi. Fuatilia ujue kuwa mwenyekiti wako wa ccm - Kikwete ameoa dada ya mmoja wa watu maarufu sana ndani ya ccm. Kama huu ni udaku basi kwa standard yako, kile unachosema kuhusu Mbowe na chadema ni udaku.
Ondoa kwanza udini ccm kabla ya kutunga uongo kuwa kuna ukabila chadema.
Nimesema mkweli ni wewe na Kitila soma post yangu iliyopita,ushahidi nikupe wewe kama nani? Hakimu ambaye una upande wako tayari,maandishi yangu yatawafungua macho watu wengi.kwanza ni fahari kwa Mkumbo ni mwanachadema mwenye uzoefu wa vyama vyote kuanzia tawala hadi vya upinzani atakuwa na experience kubwa ya siasa.
Huo muda wa kufuatilia sina!CHADEMA WATALIPA PRICE ya kumfukuza WANGWE umakamu mwenyekiti!kwa kuwaambia maneno ya ukweli!Ama kweli ukweli unauma!kuhusu MBOWE na Wangwe nenda KLHNEWS utamsikia WANGWE AKISEMA KWA NINI KAFUKuZWA UMAKAMU WA CHADEMA!