Sijaja kutafuta credibility,Ukweli nimeuweka na nimesema muulizeni Zitto shahidi kwa hili la Kitila kubadili vyama kama anabadili shati au koti,Kati yenu hakuna anayemjua vizuri Kitila kuliko Zitto, hamkumuelewa Makamu wenu mbunge Wangwe itakuwa na mimi? Historia inakuja kumpa haki yake Wangwe.
Kama mlimpa Wangwe vyeo vyote hadi mwenyekiti hamkujua wala kusumbua akili zenu kujua ni mtu wa namna gani,mnakuja kujua leo.mmeshindwa kumjua chacha Wangwe mtamjua Kitila? inaonekana huko Chadema ni eneo la chaka watu wanajificha, inabidi muwe na VETTING OFFICER, au itakuwa mnalia na mapandikizi kila siku, wajanja hawaumwi na nyoka mara mbili kwenye shimo moja.
KITILA anaona aibu gani kusema hana utulivu kwenye vyama?