jmushi1
Platinum Member
- Nov 2, 2007
- 26,540
- 25,834
kuhani,
Mkuu Lugha Inakupiga Chenga?...
Soma Tena Maelezo Yangu Unambie Wapi Kunakohusiana Na Obama Na Rangi Yake!.. Hata Kama Obama Angekuwa Mweupe Bado Ningetumia Mfano Huo Huo...ni Wewe Uliyetafsiri Rangi Ya Obama Ktk Utendaji Kazi Wake, Tofauti Na Kutazama Watu Anaowawakilisha..mbinu Za Obama Zinatazama Watu Anaowawakilisha Sio Rangi Yake Yeye, Hivyo Tunapomzungumzia Obama Ni Ktk Kuangalia Malengo Yake Kwa Wananchi Sio Rangi Yake Yeye.
Sijasema Wangwe Ni Mkurya Wala Hoja Yangu Haihusiani Na Kabila Ya Wangwe Isipokuwa Wanachama Wa Chadema Na Wasiokuwa Wanachama Jinsi Wanavyolitazama Sakata Hili. Hawa Ni Watu W Toka Sehemu Tofauti, Vyama Tofauti Na Kadhalika..
Mfano Hoja Ya Pundit Inayouliza Kwa Nini Wabunge Wa Chama Hiki Walioteuliwa Wanatoka Mkoa Wa Kilimanjaro!.. Laweza Kuwa Swala Duni Kwa Mtazamo Wa Baadhi Yetu Lakini Ukweli Ni Kwamba Hili Ni Swali Zito Sana Kwa Baadhi Ya Wananchi Wengi..na Linahitaji Majibu Ya Kurudhisha Na Ni Muhimu Kwa Wahusika Kutazama Majibu Kwa Darubini Huru Ya Kifikra Laa Sivyo Majibu Yatakuwa Na Mgongano Mkubwa Zaidi.
Wewe Si Ulitoa Mfano Wa Uongozi Wa Kamati Ya Harusi?
Sasa Chama Ni Kamati ya Harusi?
Na Kama Ni Kweli Mbowe Kakifanya Chama Kama Kamati Ya Harusi..then Makosa Ni Yake.
Lakini..haina Maana Kuwa Wangwe Nae Ni Safi!
NB:Kama makosa hayo kweli kayafanya MBOWE..Basi anaweza kuyarekebisha.
Kwani nani hajui kuna watu hawawapendi wachagga hata iweje?
Nani hajui kuna mapandikizi all the time?
MBOWE LABDA ALIFANYA HIVYO KWA KUJIHAMI,ILI KUEPUKA MAPANDIKIZI AMBAYO BAADAYE HUGEUKA NA KULILIA UKABILA!
NIMEULIZA...WHAT WAS THE BUTIAMA DECLARATION?
KWANINI WANGWE ALIWASILIANA NA KABURU?
MBOWE NA YEYE AMETOKA JASHO KUKIJENGA CHADEMA...NA ANASTAHILI PONGEZI NA SI KUMGEUKA HIVYO!
WAKUU WAZEE WA CHADEMA TUMIENI HEKIMA NA MUWARUDISHE HAWA WATU PAMOJA!
WANGWE NA UACHE UNAFIKI!
WENZAKO WANAJENGA NCHI KWA VITENDO WE UNABAKI NA SIASA ZA DIVISIONS!
NI LAANA!
LAANA ILIYOPELEKEA SISI KUWA WATUMWA!