Chaldmhola
Member
- Feb 4, 2010
- 33
- 1
Hivi majukumu ya Makamu wa Rais ni yapi? Kuhudhuria mikutano kwa niaba ya Raisi? Hivi nafasi ya Makamu wa Rais ikifutwa kutakuwepo na mapungufu yoyote katika uongozi wa nchi?
Kwa wakati tulio nao sio wa kuwa na Makamu wa Rais wa darasa la Saba bana, nia ya Slaa ilikuwa ni kumtafuta mbumbumbu ili aweze kumwendesha atakavyo na afanye mambo atakavyo yeye, huu ndio nasema ni ubinafsi
Tangia kampeni kuanza za uchaguzi mkuu, Ndg. Slaa alikuwa peke yake kwenye kampeni bila ya kusaidiwa na Mgombea mwenza, tofauti na vyama vingine, je huu sio ubinafsi?. Na habari za uhakika zilizozopo ni kuwa Mgombea mwenza wa Slaa alikuwa na elimu ya darasa la 7 tu, ili hali yeye mwenyewe alikuwa anahubiri elimu ya awali iwe ni form six. Hivi alichokuwa anakisema ndicho alichokuwa anakimaanisha kweli ? inakuwaje utuletee mgombea mwenza wa darasa la 7 ili hali wewe wahubiri elimu ya awali ni form six ?. Huu ni upotoshaji dhahiri ambao CDM waliufanya kwa wananchi, na yaonyesha Slaa alichokuwa anakisema sicho ambacho angetenda endapo angepata urais. Bora Mungu alituepushia mbali mtu huyu !
Kweli wewe kufikiria kwako kuna kikomo. Viongozi hao wa karne ya 18 ndio wataka kulinganisha na wa karne hii ya 21 ? uongozi kama wa kina Mkwawa na wengineo sio wa muda huu. Haiwezekani mtu wa darasa la saba aje awe makamu wa Rais wa nchi. Hapa Slaa alitafuta mtu wa kumburuza ili aweze kufanya mambo yake atakavyo endapo angekuwa Rais. Bora Mungu alituepushia mtu huyu !!!
Viongozi wote wa kitaifa sidhani kama kuna mtu ana elimu ya darasa la saba. Mie sisemei nafasi za ubunge, nasemea Rais, M/Rais na Waziri Mkuu. Huyu wa Slaa hapana aisee, mlikuwa na lenu jambo na bahati nzuri watanzania waliwagundua mapema wakamwaga aisee:whoo::whoo::whoo::whoo:
Siyo ana Pass tu, JK hawajawhi kuitumia degree yake tangu alipomaliza UDSM, alipomaliza tu akaanza kugawa kadi za TANU till now!
Unaelewa maana ya kukua kwa uchumi? na zipi indicator za uchumi unaokuwa au uliokuwa? Nchi hii itaendelea pale wewe sijui ThinkTwice na wengine kama wewe, watakapofumbuliwa macho na kuona uozo unaofanywa na serikali (CCM).
Nadhani kuna umuhimu wa kuongeza somo la kufikiria watu wafundishwe kuanzia shule za awali kwani watanzania wengi hatuwezi kufikiri.
Well well!!
ThinkTwice if you were to edit your profile would have suggested you have a "ThinkIndefinite" coz twice thinking isnt enough for you yet!
Without playing down the importance of education but academic qualification have never been determining factor on one's Leadership abilities. And if we were to consider academic qualifications its obvious our president JK would have been left wanting coz we had a Professor and a Phd holder wa darasani (sio maji marefu wa CCM).
At a broader picture lets look at what our VP is ought to do in his capacity. Kufungua warsha, ku-grace sikukuu za kidini, kufungua mradi kwa kifupi mtaani VP anaitwa Mzee wa Mikasi. Ni bahati mbaya Maalim Seif naye kawa mzee wa mikasi. He is not at any given point subjected to tough decisions that may be seen to be on the President or PM. In short VP analala usingizi mnono kuliko hata Ngeleja juu ya Tanesco. So take this rubbish off this noble forum.
WanJF wamekupa ushauri wa busara hapo juu yet seem not to awake from your deep slumber. Great Thinkers talk great things, they dont celebrate (kama mazuzu) someone who crosses the Atlantic just for the photo with the US president and cup of tea at US White House.
And suppose we were do consider the qualifications you are yearning for, what notable value has the following scholars brought to this land:-
Chenge, Hosea, Kapuya, Msola, Masha, Pesambili, Makanga to mention just a few.
I would rather have a class seven VP (with integrity) who will identify him/herself with the common wananchi than the so called educated leaders that have left the masses wallowing in abject poverty perpetually propagated by the same.
One son of the soil told you of the Katiba requirement as far as VP post is concerned, its just "Kusoma na kuandika" and if you are seeing CDM erred in this respect then join the Movement of demanding a new constitution that will entail what it takes to be a VP and other key posts.
Again stop belittling our heroes Mkwawa, Mirambo and the like coz they made a far bigger impact JK cant afford to attain in his remaining 5yrs.
Nilidhani kampeni za uchaguzi zilishamalizika, au?No way aisee, kuwa na VP standard Seven, watu wengi hawakumpa kura Slaa baada ya kuona hiyo dharau, hayo ni matusi. Leo hii watanzania tuongozwe na VP wa darasa la 7, SHAME ON YOU !
I'm so sorry kwa mtu kama THINK TWICE...!!!! Hivi nikuulize THINK TWICE......Mheshimiwa Kawawa Alikuwa waziri mkuu= Mtundendaji mkuu wa Serikali...Unajua elimu yake wewe...Mbona alifanya kazi vizuri tu.....Alafu usilete hoja za Kijinga kama hizi....wee
Hivi makamu wa Raisi waliopo wana kazi gani zaidi ya Mazingira. Hiki ni cheo cha kuonyesha tu muungano wala hakina kazi yoyote hapa.
Vipi Bilal wa sasa ni Dr . lakini anakazi gani zaidi ya mazingira. Kumbuka hata rais akidanji bado huyu makamu hawezi kuwa rais atashika tu wakati tunasubiri kuchagua Raisi. Vyeo vya makamu wa Rais iwe wale wapya wa Zanzibar au Wa muungano hawana kazi yoyote ni kwa ajili ya kutuliza issue za muungano na UCUF and UCCM tu. I don't see the argument here
Crap!
Hivi alikuwa awe Makamu wa Slaa au makamu wa rais?
Naona Slaa amewefanya mbaya sana mwaka huu, hamtamsahau kamwe.
Zungumzia mfumoko wa bei tunaweza kukuelewa siyo huu ujinga wako....
ThinkTwice you need to think twice using those reproaching words which they are not only hurting someone but they do exposing and excommunicating you from great thinkers
Why then bring a topic that you have an answer?, Ok, IF you dont agree with someone why dont you post a convincing points that may gravitate someone in your side
Kindly, do no use those words like 'kufikiria kwako kuna kikomo tu' those are bad words take note, egoism in forums is dangerous
Back to the topic!
1. Tell me who taught Mkwawa to tax those traders who passed in his territory?
2. Tell me why German decided to take his skull to German?
3. Tell me why did he killed himself because of his love/stands to his land?
4. Tell me how Mirambo and Mputa defend their land?
5. Why some whites deliberatley cheated some chief? am in your side
6. How many chiefs in this Tanzania they thought for future generations,
7.Why those old people/chief taught their young generation to face the real life?
8. Where is our culture today? is not this educated people made us to loose our identity?
9. Who made those dubious deal of IPTL, Richmond, AND dOWANS who engaged in EPA? are not these decuated people?
10. Dear tell me, who made us begging donors to top up our budget? while we have all resources in our hand!
12. There so many examples that proves our forefathers were doing better interms of leadership than we are doing today
etc, etc
You will find out those leaders you have mentioned they lived in 18th century they were far better that what we are doing now THOUGH even at that time you could find those who were doing excatly the same asa many leaders today. Thus, Point of education and leadership is nullfied at this juncture.
Just a piece of advice that is peacefully:: NEVER EVER MENTION THAT WE ARE LIVING IN 21st CENTURY WRITE THIS DOWN, and if someone asked you tell that Waberoya in JF told me THAT '' IS UNDENIABLE FACTS AND INCONTROVERTIBLY OBSERVED THAT WE AFRICAN (you and me) WE ARE NOT LIVING IN 21ST CENTURY WE ARE FAR MILLION MILES AWAY FROM THAT CENTURY" the century that we are dreaming in our mind and confess in our mouth-we are not living in it!! -daydream just because you can watch supersport, youtube, having 64 bit computers and driving used cars!!, There is no way the way african are living could be 21st century which I have heard is century of science and technology!!! roughly we are in 14th century we are going backwards!
They call themselves first worlds! we are third or fifth world why in century we are together?? they are saying and pleasing you and put this song in our leaders so that we can dance the tune of accepting and enjoying outdated things!! dump their ready made things, they dump education, they dump everything even their 'used' underwears!!
This is JF at least you have grown up dont crame things EVERYONE CAN BE A GOOD LEADER REGARDLESS OF THEIR EDUCATION LEVEL!
lastly: Again tell your neighbour you dont have EDUCATION wewe!!! this colonial education is doing nothing in our daily lives and it does nothing to add value of human in this planet-ask professors!!! go watch them what their are doing!, perhaps you can only know to post those bad words like 'kufikia kikomo cha kufikiri kwako''
Tangia kampeni kuanza za uchaguzi mkuu, Ndg. Slaa alikuwa peke yake kwenye kampeni bila ya kusaidiwa na Mgombea mwenza, tofauti na vyama vingine, je huu sio ubinafsi?. Na habari za uhakika zilizozopo ni kuwa Mgombea mwenza wa Slaa alikuwa na elimu ya darasa la 7 tu, ili hali yeye mwenyewe alikuwa anahubiri elimu ya awali iwe ni form six. Hivi alichokuwa anakisema ndicho alichokuwa anakimaanisha kweli ? inakuwaje utuletee mgombea mwenza wa darasa la 7 ili hali wewe wahubiri elimu ya awali ni form six ?. Huu ni upotoshaji dhahiri ambao CDM waliufanya kwa wananchi, na yaonyesha Slaa alichokuwa anakisema sicho ambacho angetenda endapo angepata urais. Bora Mungu alituepushia mbali mtu huyu !
Acha uwongo. Inflation rate inavuka 12%Inflation rate ipo 4.2%, haya wewe leta ya kwako
Elimu ni ya msingi sana hata useme namna gani , VP kuwa darasa la 7 ingekuwa ni aibu ya dunia aiseee, NO NO NO WAY !!!