CHADEMA kweli ni shwari au ni kauli za kisiasa tu ?

Hivi majukumu ya Makamu wa Rais ni yapi? Kuhudhuria mikutano kwa niaba ya Raisi? Hivi nafasi ya Makamu wa Rais ikifutwa kutakuwepo na mapungufu yoyote katika uongozi wa nchi?
 
Kwa wakati tulio nao sio wa kuwa na Makamu wa Rais wa darasa la Saba bana, nia ya Slaa ilikuwa ni kumtafuta mbumbumbu ili aweze kumwendesha atakavyo na afanye mambo atakavyo yeye, huu ndio nasema ni ubinafsi

Hivi makamu wa Raisi waliopo wana kazi gani zaidi ya Mazingira. Hiki ni cheo cha kuonyesha tu muungano wala hakina kazi yoyote hapa.
Vipi Bilal wa sasa ni Dr . lakini anakazi gani zaidi ya mazingira. Kumbuka hata rais akidanji bado huyu makamu hawezi kuwa rais atashika tu wakati tunasubiri kuchagua Raisi. Vyeo vya makamu wa Rais iwe wale wapya wa Zanzibar au Wa muungano hawana kazi yoyote ni kwa ajili ya kutuliza issue za muungano na UCUF and UCCM tu. I don't see the argument here

Crap!
 


Wa wapi wewe? watu wanajadili mambo ya kitaifa we bado unarudi kwenye kampeni, akili yako iko nyuma sana. na siku zote kama hujui kitu fanya utafiti au uliza rejea mdahalo wa Dk Slaa pale Moven pick alilifafanunua vizuri sana hili jambo la elimu ya mgombea mwenza na ni kwa nini waliamua kumsimamisha, jaribu ku review katiba ya nchi utaona ni sifa zipi zinazotakiwa kwa mtu kugombea uongozi....
Toa U CCM na U CUF wako unachafua hali ya hewa humu ndani
 
I'm so sorry kwa mtu kama THINK TWICE...!!!! Hivi nikuulize THINK TWICE......Mheshimiwa Kawawa Alikuwa waziri mkuu= Mtundendaji mkuu wa Serikali...Unajua elimu yake wewe...Mbona alifanya kazi vizuri tu.....Alafu usilete hoja za Kijinga kama hizi....wee
 

Huhitaji kuwa darasa la saba ili uburuzwe. Bunge letu limejaa wasomi wenye shahada mpaka la uzamili lakini linaburuzwa kila siku kufunika mijadala ya ufisadi unaoathiri maisha ya kila mmoja wetu hapa Tanzania. Unataka kuniambia kuwa Spika Sitta, Dr. Mwakyembe na wengineo walikuwa darasa la saba kuruhusu mjadala wa Richmond kufungwa kiaina na sasa Tanzania inatakiwa kuwalipa haohao Richmond (kwa jina la Dowans) mabilioni ya pesa?

Hivi marehemu Abeid Amaan Karume alikuwa na elimu gani wakati anaapishwa kuwa rais wa Zanzibar? ninachojua mpaka sasa Zanzibar wanamkumbuka kwa miradi ya kimaendeleo ambayo aliianzisha na haijawahi kukamilishwa. Think twice my friend before you post anything.
 

Mabishano yako inaonekana akili yako haipo sawa, unaropoka kama mwehu!
 
Unaonekana huna la kuchangia.Kama elimu ni uongozi basi mafisadi wasingekuwepo maana wale wote wana division one tena wamesoma vyuo vizuri.Please,no research,no data then no right to speak.
 
Well well!!
ThinkTwice if you were to edit your profile would have suggested you have a "ThinkIndefinite" coz twice thinking isnt enough for you yet!

Without playing down the importance of education but academic qualification have never been determining factor on one's Leadership abilities. And if we were to consider academic qualifications its obvious our president JK would have been left wanting coz we had a Professor and a Phd holder wa darasani (sio maji marefu wa CCM).

At a broader picture lets look at what our VP is ought to do in his capacity. Kufungua warsha, ku-grace sikukuu za kidini, kufungua mradi kwa kifupi mtaani VP anaitwa Mzee wa Mikasi. Ni bahati mbaya Maalim Seif naye kawa mzee wa mikasi. He is not at any given point subjected to tough decisions that may be seen to be on the President or PM. In short VP analala usingizi mnono kuliko hata Ngeleja juu ya Tanesco. So take this rubbish off this noble forum.

WanJF wamekupa ushauri wa busara hapo juu yet seem not to awake from your deep slumber. Great Thinkers talk great things, they dont celebrate (kama mazuzu) someone who crosses the Atlantic just for the photo with the US president and cup of tea at US White House.

And suppose we were do consider the qualifications you are yearning for, what notable value has the following scholars brought to this land:-
Chenge, Hosea, Kapuya, Msola, Masha, Pesambili, Makanga to mention just a few.
I would rather have a class seven VP (with integrity) who will identify him/herself with the common wananchi than the so called educated leaders that have left the masses wallowing in abject poverty perpetually propagated by the same.

One son of the soil told you of the Katiba requirement as far as VP post is concerned, its just "Kusoma na kuandika" and if you are seeing CDM erred in this respect then join the Movement of demanding a new constitution that will entail what it takes to be a VP and other key posts.

Again stop belittling our heroes Mkwawa, Mirambo and the like coz they made a far bigger impact JK cant afford to attain in his remaining 5yrs.
 

Duh na uzee wako wote huo hujui indicators za kukua kwa uchumi? Hizi ni baadhi tu:
  • Kukua kwa pato la Taifa - National income
  • Kukua kwa uhuru wa kisiasa na watu kutoa maoni yao
  • Kukua kwa umri wa kuishi wa mtanzania. Kwani huwezi kuishi umri mrefu bila ya kupata lishe bora.
Sasa nakupa assignment, tafuta data ya vigezo hivyo kuanzia 2005 mpaka sasa halafu utajua
 

No way aisee, kuwa na VP standard Seven, watu wengi hawakumpa kura Slaa baada ya kuona hiyo dharau, hayo ni matusi. Leo hii watanzania tuongozwe na VP wa darasa la 7, SHAME ON YOU !
 
No way aisee, kuwa na VP standard Seven, watu wengi hawakumpa kura Slaa baada ya kuona hiyo dharau, hayo ni matusi. Leo hii watanzania tuongozwe na VP wa darasa la 7, SHAME ON YOU !
Nilidhani kampeni za uchaguzi zilishamalizika, au?
 

Hii JF sio sehemu ya kutishana wala nini, tutasema ukweli pale ambapo hapakuwa sahihi. Hii JF sio tawi la Chadema kama wengine wanavyotaka kuchukulia. Na hili tutalikemea kwa njia nzote. Mie huwa nasema JF IMEPOTEZA MWELEKEO, MITANDAO KAMA FACE BOOK LEO HII WAKO MBALI MNO KWENYE KU-COMMENT KWA HOJA TENA.
 

Ndio maana mkawafanya watanzania wajinga kuwaletea darasa la 7, SHAME ON YOU !!
 
Hivi alikuwa awe Makamu wa Slaa au makamu wa rais?
Naona Slaa amewefanya mbaya sana mwaka huu, hamtamsahau kamwe.

Ha ha haaaaa, mtu aliyeshindwa uchaguzi na tena ameshindwa kwa kishindo atusumbue sie. Nchi inaenda si unaona kuna tatizo lolote, serikali imeisha undwa na tunaendelea , upo hapo mzee.
 

Elimu ni ya msingi sana hata useme namna gani , VP kuwa darasa la 7 ingekuwa ni aibu ya dunia aiseee, NO NO NO WAY !!!
 

Rashid Kawawa alikuwa na Elimu ya darasa la ngapi?
 
Elimu ni ya msingi sana hata useme namna gani , VP kuwa darasa la 7 ingekuwa ni aibu ya dunia aiseee, NO NO NO WAY !!!

Nimejaribu kukusaidia kukuonyesha watu huwa wanajenga vipi hoja umebaki darasa la saba no, darasa la saba no!

sijajua nikusaidieje maana sioni hoja katika maandiko yako!

Tchao!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…