Uchaguzi 2020 CHADEMA Kyela tunasubiri kwa hamu kumdhamini Lissu

Uchaguzi 2020 CHADEMA Kyela tunasubiri kwa hamu kumdhamini Lissu

Lumumba wanapishana kwenye kordo,Hawajui waje vipi, Zile ngonjera zao za kuwalambisha Chadema kila baya mwaka huu limepata mwarobaini.
 
Kyela ndio mwanzo wa nchi yetu kutokea Malawi na ndio mwisho wa Nchi hii ukitokea Dar es Salaam , unapotokea Malawi bendera ya kwanza ya chama cha siasa unayoiona unapovuka boda tu ni bendera ya Chadema , hii ndio bendera ya mwisho ya chama unayoweza kuiona pale boda kabla hujavuka kwenda Malawi .

Kwa wasifu huu mzito natoa wito kwa viongozi wa CHADEMA kanda ya Nyasa akiwemo Mchungaji Msigwa kuhakikisha kwamba ratiba ya "Mfufuka" Lissu inajumuisha jimbo la Kyela , kuna wadhamini wasio na idadi wanamsubiri .

Mungu ibariki Chadema
Nipo Sativa Kyela !! Tunamsubiri Sana
 
FB_IMG_1597733863117.jpg
 

Attachments

  • Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya @ChademaTzOfficia ( 360 X 640 ).mp4
    3.3 MB
Back
Top Bottom