Gwallo
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 3,408
- 4,392
Ahsante sana mkuu kwa ufafanuzi, sina shaka kabisa na maelezo yako mkuu.Hili suala limekwisha vuka kwenye ngazi ya familia mkuu wangu , hakuna haja ya kutaka wahusike ndugu tu , hii ni namba ya Chama hata kama unaona imesajiliwa kwa jina la mtu