CHADEMA Makambako waanza ujenzi wa ofisi ya Jimbo

CHADEMA Makambako waanza ujenzi wa ofisi ya Jimbo

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
143,138
Reaction score
288,731
Hii ndio Taarifa mpya inayozunguka huko Makambako, hii ni baada ya shughuli za kilichoitwa Uchaguzi mkuu kumalizika, ambapo wanachama na viongozi wa CHADEMA wa Jimbo hilo wameanza rasmi kuimarisha chama chao.

Subpost 4 - KAZI YA UJENZI WA CHAMA INAENDELEA. Hongereni Makamanda- MAKAMBAKO K ( 640 X 640 ).jpg
Subpost 2 - KAZI YA UJENZI WA CHAMA INAENDELEA. Hongereni Makamanda- MAKAMBAKO K ( 640 X 640 ).jpg

 
Akili imewarudi baada kuanguka uchaguzi! Safi sana, na makao makuu nako waanze ujenzi wa ofisi. Mpaka tufike 2025 wananchali watawakubali kiaina.
 
Wanakumbuka shuka kukiwa kumekucha haya ofisi ya makao makuu ya Chadema mtajenga lini?
Sio kukumbuka shuka,ila ni kuwakumbusha kuwa bado kunakazi ya kufanya kufikia lengo lenu la kutaka au kujaribu kunyamazisha mawazo mbadala yenye tija, licha ya juhudi zenu zote na mbeleko zote saidizi katika mawazo yenu machafu.
 
Hayo ndo mambo mnabidi muyafanye sasa ! Sio kukaa nyuma ya keyboard kila siku kulalama na kuizodoa serikali!. Kubalini kwamba Upinzani hasa Cdm bado haujajijenga kitaasisi! Imarisheni chama sasa!.Na bila kusahau Kujenga Ofisi kuu ya chama!.Sio kama kibanda cha pale Ufipa!.
 
Chadema haikushindwa uchaguzi wa 2020
Chadema ilishindwa fair and square...maigizo mengine yote tuache...kwamba eti yalikuwepo mabegi ya kura zilizokuwa zimepigwa na kusambazwa kwenye baadhi ya vituo ni uongo mkubwa..kulikuwepo na waangalizi wa uchaguzi kwenye vituo vingi Redet na makundi mengine kadhaa na hakuna aliyesema kulikuwepo na mabegi ya kura...Mimi kwenye vituo changu sikuona begi la kura...yaani ni akina Mdee na wanachadema wengine ndio eti walioona kinachoitwa mabegi ya kura..
Chadema haikushindwa uchaguzi wa 2020
 
Back
Top Bottom