Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,138
- 288,731
Maisha bora kwa kila mtanzania mtajenga lini?Wanakumbuka shuka kukiwa kumekucha haya ofisi ya makao makuu ya Chadema mtajenga lini?
Sasa kama mlidanganyana kwamba kuwanyima ruzuku ndiyo dawa yao mmebugi vibaya mno!Wanakumbuka shuka kukiwa kumekucha haya ofisi ya makao makuu ya Chadema mtajenga lini?
Chadema ishakufaHii ndio Taarifa mpya inayozunguka huko Makambako , hii ni baada ya shughuli za kilichoitwa Uchaguzi mkuu kumalizika , ambapo wanachama na viongozi wa Chadema wa Jimbo hilo wameanza rasmi kuimarisha chama chao .
View attachment 1626354View attachment 1626355
View attachment 1626356
Baada ya hapo utatafunwa na wewe mpaka ujifungue tenaRuzuku mumezila zote makao maki mnahamasisha huko Kwingine wajenge nyie makao makuu zenu mlizotafuna zote bila kunawa
Chadema haikushindwa uchaguzi wa 2020Akili imewarudi baada kuanguka uchaguzi! Safi sana, na makao makuu nako waanze ujenzi wa ofisi.. Mpaka tufike 2025 wananchali watawakubali kiaina.
Uongo haujawahi kubadili maisha ya mtuRuzuku mumezila zote makao maki mnahamasisha huko Kwingine wajenge nyie makao makuu zenu mlizotafuna zote bila kunawa
Sio kukumbuka shuka,ila ni kuwakumbusha kuwa bado kunakazi ya kufanya kufikia lengo lenu la kutaka au kujaribu kunyamazisha mawazo mbadala yenye tija, licha ya juhudi zenu zote na mbeleko zote saidizi katika mawazo yenu machafu.Wanakumbuka shuka kukiwa kumekucha haya ofisi ya makao makuu ya Chadema mtajenga lini?
Chadema ilishindwa fair and square...maigizo mengine yote tuache...kwamba eti yalikuwepo mabegi ya kura zilizokuwa zimepigwa na kusambazwa kwenye baadhi ya vituo ni uongo mkubwa..kulikuwepo na waangalizi wa uchaguzi kwenye vituo vingi Redet na makundi mengine kadhaa na hakuna aliyesema kulikuwepo na mabegi ya kura...Mimi kwenye vituo changu sikuona begi la kura...yaani ni akina Mdee na wanachadema wengine ndio eti walioona kinachoitwa mabegi ya kura..Chadema haikushindwa uchaguzi wa 2020
Chadema haikushindwa uchaguzi wa 2020