CHADEMA Makambako waanza ujenzi wa ofisi ya Jimbo

Mbona makao makuu hakuna chochote angalau hata kiwanja tu? Afadhali hao wa makambako wameonyesha wako siriasi: nadhani itabidi tuhamishie head ofisi huko makambako ili kuficha aibu.
 
Haya ndiyo mambo ya kufanya; uongozi wa CHADEMA taifa wamekuwa ni myopic sana wanadhani kuwa ushindi unakuja kama mvua tu badala ya kutengeneza misingi ya ushindi kwanza.
 
Haya ndiyo mambo ya kufanya; uongozi wa CHADEMA taifa wamekuwa ni myopic sana wanadhani kuwa ushindi unakuja kama mvua tu badala ya kutengeza misingi ya ushindi kwanza.
japo chadema haikushindwa uchaguzi uliopita
 
Daaa kumtetea Magufuli inaitaji kazi ona mtu mzima anajitoa ufahamu
 
Kuna picha nyingi zinatembea mitandaoni zikionesha wafuasi wa CHADEMA huko Makambako wakijenga ofisi ya chama wilaya/jimbo
Hili jambo linafikirisha sana, katika kipindi ambapo chama hakina ruzuku ndio kinajenga.

Katika kipindi ambapo bei ya cement ipo juu wananchi ndio wamejitolea.

Katika kipindi ambapo wananchi mifuko imekauka (mbao, mahindi na chai havina soko) ndio Wanamakambako wamejitoa.

Hii inatuonyesha mtu kuwa kuna watu wapo tayari kulala njaa ili vyama vyao vya ukombozi (ACT Wazalendo, CDM na CHAUMMA) vifanye mafanikio.

Hili jambo ni onyo kwa watawala kuwa kuna nyakati si za kuwaibia watu na kuwaonea.

Wajifunze kwa makaburu ya SA yaliyokuwa yanamiliki hadi nuclear weapons lakini uonevu ulivyozidi watu walifunga ili kidogo kipatikanacho wapewe mashujaa wakupigania Uhuru waliokuwa Tanzania.

Asante ni

Mjumbe wa ushirikiano mwema ACT & CDM
 
Kapicha mkuu
 
Haya ndiyo mambo ya kufanya; uongozi wa CHADEMA taifa wamekuwa ni myopic sana wanadhani kuwa ushindi unakuja kama mvua tu badala ya kutengeza misingi ya ushindi kwanza.
Kama mnawekeza nguzu zenu zote kubomoa misingi ya wenzenu halafu mnawakebehi kwani mini hawajengi. Bila shaka mtakuwa na akili mbovu Sana.
 
mkuu halima mdee wa jf, nilikutahadharisha mapema juu ya kick zenu za kishamba kuwa zitabuma ukaninanga ati nimetumwa humu jf kuwajibu cdm,

Lakn sasa hivi nadhani unaona mwenyew mamb yana jipa,

Leo lissu kakanusha kuhutubia bunge la ulaya, sijui baada ya hapa mtatunga uongo gani maskini!!

Any way mnahama ufipa mje hapa makambako?? Au ufipa itabaki kuwa kama banda la kuku kama miaka yote mkuuπŸ˜πŸ˜πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hiki chama bado kipo ? Ngoja wenye dola wazame kwenye kapu la fitna
 
Daaa kumtetea Magufuli inaitaji kazi ona mtu mzima anajitoa ufahamu
Wewe unayemtetea Lissu vipi?! Unayetea mabeberu waje watutawale openly vipi?! Shame on you...watu wazima na akili zenu mnadhani mnajutambua?! Yaani bado tu mnaendelea kuwalamba miguu mabeberu Tena basi bila hata aibu...JPM ni mpambanaji for Tanzanians interest...siyo nyie wajunga na wapumbavu mnamuona eti ni dikteta...wakati wa kampeni mlikuwa mnata ba humu kuwa Lissu ndiyo Raise eti ni mkombozi sijui nabii na ujinga mwingine mwingi...tukawaambia huyo mpenda ushoga na kibaraka wa wazungu an imperialist stooge hawezi kufikia hata asilimia 20..tukawaambia kuwa hata viti vya ubunge chadema ikipata viti 10 mshukuru Mungu...Sasa yametimia tuliyoyasema ..huyo Lissu mhuni na kibaraka akasema ataingiza watu barabarani...si mjom a wake Wala shangazi yake au familia yake aliyeingia barabarani...Lissu amekuwa dejected...akakimbilia ubalozi sijui wa wapi and no body bothered..mhuni mwingine sijui Lema akakimbilia Kenya no body bothered...Sasa mikakati iliyopo ni kuchoma nyumba za wakurugenzi na viongozi wengine wa CCM na serikali...uzuri ni kwamba wahuni wote watakamatwa ...watanzania siyo wahinga they know what is right and wrong...ya kibiti yanajirudia...wote wataangaamizwa kwa kuwa watatajwa na jamii wanamoushi...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…