Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kutoka mkoa wa Mara wamejitokeza hadharani na kueleza msimamo wao kuwa kwenye mchakato wa kinyang'anyiro cha kutafuta viongozi wa Kitaifa wa chama hicho wao wanaenda na Tundu Lissu kwa nafasi ya Mwenyekiti na John Heche kwa nafasi ya Makamu Mwenyekiti Tanzania Bara
View attachment 3194181
Pia, Soma:
• Tundu Lissu atangaza nia ya kugombea nafasi ya uenyekiti CHADEMA
• BAWACHA Mbeya wamuunga mkono Lissu
Kama ni mpira ball possession team mbowe imezidiwa na team lissu, rafu zinachezwa ile mbaya. Mpira una matokeo ya kikatili team mbowe inaweza kushinda hata kwa mbinu chafu
Inafika wakati mpaka namuonea huruma ndugu yako Mbowe anavyodhalilika. Alishindwa kusoma upepo na kutanguliza hekma.Kushinda uchaguzi ni hatua ya kwanza. Kazi ni kusimama na waliochaguliwa wakati wakipitia magumu. Na yatakuwa mengi tu.
Amandla...
Uchaguzi ulisha isha ,mliochukua vibunda upande ule rudisha mapema sana ,msije sema hatukuwambiaChama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kutoka mkoa wa Mara wamejitokeza hadharani na kueleza msimamo wao kuwa kwenye mchakato wa kinyang'anyiro cha kutafuta viongozi wa Kitaifa wa chama hicho wao wanaenda na Tundu Lissu kwa nafasi ya Mwenyekiti na John Heche kwa nafasi ya Makamu Mwenyekiti Tanzania Bara
View attachment 3194181
Pia, Soma:
• Tundu Lissu atangaza nia ya kugombea nafasi ya uenyekiti CHADEMA
• BAWACHA Mbeya wamuunga mkono Lissu
Kabla ya kumuonea huruma Mbowe, jionee huruma wewe mwenyewe. Unachoshindwa kuelewa ni kuwa hata kama atashindwa, atakuwa ameonyesha ukomavu wa demokrasia ndani ya chama chake. Ataweza sasa kukaa na kuendelea na biashara zake bila stress za kuongoza chama cha upinzani. Maisha yake yatakuwa mazuri tu. Hauna haja ya kumuonea huruma.Inafika wakati mpaka namuonea huruma ndugu yako Mbowe anavyodhalilika. Alishindwa kusoma upepo na kutanguliza hekma.
Huu siyo Uchaguzi wa serikaliMbowe atashinda because serikali inamwitaji
Huu siyo Uchaguzi wa serikali