Chadema hii ya Lisu kusikilizwa na kanisa lolote sio rahisiMpaka watubu laana ya kumsingizia Magufuli
Kwanza viongozi wao wakuu akiwemo Lidu hawana tabia ya kuchangia harambee za makanisa tofauti na ile ilikuwa team Mbowe
Pili.hii timu Lisu Viongozi wa CCM wakichangia harambee za makanisa na misikitim ikiwemo Katoliki, KKKT,Bakwata nk Lisu na team yake wamekuwa msitari wa mbele kuwananga hao.viongozi wa dini kuwa wamelamba asali za CCM wamehongwa hela za mama Abdul na mwanae Abdul
Chadema aibu hawana unatukana mtu.halafu kesho unaenda kusema akusaidie
Kifupi kanisa katoliki lina mapadre na maaskofu wanasheria wabobezi ya mahakama wasiyaguse ns yaliyoko kwenye vyombo.vya sheria wasiyaguse
