Chadema hii ya Lisu kusikilizwa na kanisa lolote sio rahisiMpaka watubu laana ya kumsingizia Magufuli
Hawa ambao wakiitwa Ikulu wakafuturushwa wanakugeuka?!Bakwata
Kama wangeenda bakwata bado ungesema kwanini sio kkt agt au efathaCcm nao wapeleke ripoti yao ila najaribu kuwaza hapa kwanini ni katoliki na sio, K.K.T, AGT, AICT, EFATHA, BAKWATA, TGA, FPCT N.K kulikoni huko catholic?
johnthebaptist mkuu kama unaumwa useme tujichange uoate matibabu. Sisi ni waungwana hatuna uvyamavyama.Kanisa Moja,Takatifu na la Mitume.
Ole wake ATAKAYEENDA kupiga kura mwaka huu ,mawe yanamhusu.wamefanya vizuri sana kujisalimisha kwa Mungu na kwa kanisa,
bilashaka yoyote wataambiwa kutokutii mamlaka za dunia zilizotoka kwa Mungu ni dhambi,
na kwahiyo no reform no elections ni sin, null and void mbele ya kanisa na mbele za Mungu. 🐒
dah shetani aende kanisani we jamaa!Ccm nao wapeleke ripoti yao ila najaribu kuwaza hapa kwanini ni katoliki na sio, K.K.T, AGT, AICT, EFATHA, BAKWATA, TGA, FPCT N.K kulikoni huko catholic?
Huko aliko babako naye anajisifu kasomesha!Chadema hii ya Lisu kusikilizwa na kanisa lolote sio rahisi
Kwanza viongozi wao wakuu akiwemo Lidu hawana tabia ya kuchangia harambee za makanisa tofauti na ile ilikuwa team Mbowe
Pili.hii timu Lisu Viongozi wa CCM wakichangia harambee za makanisa na misikitim ikiwemo Katoliki, KKKT,Bakwata nk Lisu na team yake wamekuwa msitari wa mbele kuwananga hao.viongozi wa dini kuwa wamelamba asali za CCM wamehongwa hela za mama Abdul na mwanae Abdul
Chadema aibu hawana unatukana mtu.halafu kesho unaenda kusema akusaidie
Kifupi kanisa katoliki lina mapadre na maaskofu wanasheria wabobezi ya mahakama wasiyaguse ns yaliyoko kwenye vyombo.vya sheria wasiyaguse
kumbe mawe gentleman?Ole wake ATAKAYEENDA kupiga kura mwaka huu ,mawe yanamhusu.
Hawa ambao wakiitwa Ikulu wakafuturushwa wanakugeuka?!