CHADEMA: Matamanio ya IGP Sirro anayosema amejifunza Rwanda kuhusu Polisi kuingia Misikitini na Makanisani na kuandaa mitaala ni kinyume na Katiba

Safi sana chama la waty wenye akili.

Kile kinginr cha paralee steti kimejaza majambazi tu
 
Hii habari kama haikuletwa na mleta taarifa maalum wa chama, dada yetu na mwana JF mwenzetu Erythrocyte basi itakuwa ni batili (fake news)
 
Bado?!
 
Hivi unaakili kweli wewe? Umesahau kwamba Mbowe yupo mahabusu kwa kesi za kusingiziwa? Na umesahau kwamba Lissu alipigwa lisasi za kutosha na hakuna pelelezi wowote uliowahi kufanywa?
 
Hizi Press za CHADEMA tumeshazichoka sasa kwani wanataka kuwa kama Klabu ya Yanga vile.
 
Bonge la Pointi. Tusiwanyamanzie hawa magaidi. Rwanda si mahali pa kujifunzia jambo??
Aiiiseeeeee!

SIRRO alikwenda Rwanda kujifunza njia za kuwakandamiza wapinzani kama polisi wa huko walivyofanikiwa kuwafanyia wapinzani wa Rwanda?

Maana ya ziara ile kumbe ilikuwa ni nzito kiasi hiki!
 
Nenda wewe kawe mwenyekiti dada,mbona unatoa povu hadi kwenye mbususu.
 
Yaonekana mnapokutana kwenye wiki ya zamu ya kufagia na kumwagilia maua kule malaloni Burigi, huwa mnapata na 'walwa' mwingi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…