CHADEMA Media nawaona kama mnapwaya mno

CHADEMA Media nawaona kama mnapwaya mno

CHADEMA Media mmezubaa mno, hivi inakuwaje mnashindwa kufanya Livestreaming ya matukio ya Mgombea wetu hadi tunaanza kubambiabambia platforms zingine ambazo zinafanya censorship kubwa sana katika kureport matukio ya Kipenzi chetu, Mteule aliyeyashinda mauti Tundu Antiphas Lissu?

Yaani mnazubaa mno kiasi mnasubiri kurepost video clips za Azam au Mwananchi Digital ambazo ni biased and censored

Acheni upuuzi bana, ala!
kwenye nafasi ya publicity wangemuondoa huyo jamaa anayeitwa Tumaini Makene na badala yake angewekwa Godlisten Malisa au hata Yericko Nyerere .
ama vipi jukumu lihamishiwe kwa John Mrema ambaye kwa kweli anajitahidi sana kuwa active, so si vibaya kumuongezea jukumu hili pia kwa wakati huu muhimu.
kwa kweli huyo Makene wao amepwaya sana kwa level ambayo chama kinahitajika ku operate at.

hata sisi tulioko CCM tumechoka sana chini ya awamu hii - so, tunamani sana chama serious cha upinzani kichukue dola ili nchi irudi kwenye misingi bila kuharibu focus ya maendeleo katika nyanja zote (macro & micro).

CC: CHADEMA John Mnyika Chadema Diaspora
 
Mbona kama umechanganyikiwa ndugu??? Kuna shida????
Hakuna shida we mvuta bangi. Namaanisha Spika Ayubu ana siri kubwa, maana wabunge wa chadema walikuwa wanaenda bungeni wamekunywa pombe kali na kuvuta bangi. Wengine waliooana wa jinsia moja. Tafakari ili uachane na upumbavu.
 
Hakuna shida we mvuta bangi. Namaanisha Spika Ayubu ana siri kubwa, maana wabunge wa walikuwa wanaenda bungeni wamekunywa pombe kali na kuvuta bangi. Wengine waliooana wa jinsia moja. Tafakari ili uachane na upumbavu.
Mie mvuta bangi tena?? Mbona unaongea kama umechanganyikiwa ??? Ni spana za Lissu nini?
 
CHADEMA Media mmezubaa mno, hivi inakuwaje mnashindwa kufanya Livestreaming ya matukio ya Mgombea wetu hadi tunaanza kubambiabambia platforms zingine ambazo zinafanya censorship kubwa sana katika kureport matukio ya Kipenzi chetu, Mteule aliyeyashinda mauti Tundu Antiphas Lissu?

Yaani mnazubaa mno kiasi mnasubiri kurepost video clips za Azam au Mwananchi Digital ambazo ni biased and censored

Acheni upuuzi bana, ala!
cc: Tumaini Makene
 
Mteule aliyeshinda mauti? Alikufa akafufuka? Hapati hata kura 50000 kwa hii kufuru uliyofanya.
Pumbavu zako, kakojoe ulale...mlitaka kumwua Mungu akamfufua, now it is time For you to pay the price, pumbavu wauaji nyie!
 
Back
Top Bottom