Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahaaaaaa. Ngoja nikae kimya.Pumbavu zako, kakojoe ulale...mlitaka kumwua Mungu akamfufua, now it is time For you to pay the price, pumbavu wauaji nyie!
Mungu alimfumfua vipi hajafa? Mteule huyu!Pumbavu zako, kakojoe ulale...mlitaka kumwua Mungu akamfufua, now it is time For you to pay the price, pumbavu wauaji nyie!
kwenye nafasi ya publicity wangemuondoa huyo jamaa anayeitwa Tumaini Makene na badala yake angewekwa Godlisten Malisa au hata Yericko Nyerere .
ama vipi jukumu lihamishiwe kwa John Mrema ambaye kwa kweli anajitahidi sana kuwa active, so si vibaya kumuongezea jukumu hili pia kwa wakati huu muhimu.
kwa kweli huyo Makene wao amepwaya sana kwa level ambayo chama kinahitajika ku operate at.
hata sisi tulioko CCM tumechoka sana chini ya awamu hii - so, tunamani sana chama serious cha upinzani kichukue dola ili nchi irudi kwenye misingi bila kuharibu focus ya maendeleo katika nyanja zote (macro & micro).
CC: CHADEMA John Mnyika Chadema Diaspora
sijui aisee!Hamna majina mengine hapo cdm, hayo uliyotaja ni yaleyale.
Makene yupo shallow sana.Naunga mkono hoja.
Chadema Media mmezubaa sana.
Haaaahaaaa mtani wangu upo?Mtaa wa ufipa? Au nyumbani kwa Joyce Mukya mkinywa Konyagi na kuvuta bangi?
Yesu wenu atapata ngapi?Mteule aliyeshinda mauti? Alikufa akafufuka? Hapati hata kura 50000 kwa hii kufuru uliyofanya.
Kwa kweli wanapaswa kujirekebisha...CHADEMA Media mmezubaa mno, hivi inakuwaje mnashindwa kufanya Livestreaming ya matukio ya Mgombea wetu hadi tunaanza kubambiabambia platforms zingine ambazo zinafanya censorship kubwa sana katika kureport matukio ya Kipenzi chetu, Mteule aliyeyashinda mauti Tundu Antiphas Lissu?
Yaani mnazubaa mno kiasi mnasubiri kurepost video clips za Azam au Mwananchi Digital ambazo ni biased and censored
Acheni upuuzi bana, ala!
Wale ni sikio la kufa,wafukuzwe kabisa walete talents mpya.Kwa kweli wanapaswa kujirekebisha...
Toka kifo cha Mohamed Mtoi Chadema Media ikafa rasmi huyo Tumaini Makene sijui kazi yake nini.kwenye nafasi ya publicity wangemuondoa huyo jamaa anayeitwa Tumaini Makene na badala yake angewekwa Godlisten Malisa au hata Yericko Nyerere .
ama vipi jukumu lihamishiwe kwa John Mrema ambaye kwa kweli anajitahidi sana kuwa active, so si vibaya kumuongezea jukumu hili pia kwa wakati huu muhimu.
kwa kweli huyo Makene wao amepwaya sana kwa level ambayo chama kinahitajika ku operate at.
hata sisi tulioko CCM tumechoka sana chini ya awamu hii - so, tunamani sana chama serious cha upinzani kichukue dola ili nchi irudi kwenye misingi bila kuharibu focus ya maendeleo katika nyanja zote (macro & micro).
CC: CHADEMA John Mnyika Chadema Diaspora
Makene, ndio maana yule mkewe alimkimbia na kumuachia msala wa nyumba walio kua wamepanga kule kawe [emoji16][emoji16][emoji16]Toka kifo cha Mohamed Mtoi Chadema Media ikafa rasmi huyo Tumaini Makene sijui kazi yake nini.
Mpuuzi sana yule jamaa
Yule jamaa yupo yupo tu kwenye kile kitengo kimepoa utafikiri siyo chama kikubwa.Makene, ndio maana yule mkewe alimkimbia na kumuachia msala wa nyumba walio kua wamepanga kule kawe [emoji16][emoji16][emoji16]
Kuna watu wako pale makao makuuu, kujaza nafasi tuuu. Cdm Ina vijana wengi smart sijui kwanini hapewi nafasi. ? .Yule jamaa yupo yupo tu kwenye kile kitengo kimepoa utafikiri siyo chama kikubwa.
Wakati Mohamed Mtoi yupo hai huyu jamaa alikuwa hagusi hata kwenye media sijui aliwekwa kufanya nini
Kuna vijana wako active sana kina Godlisten Malisa huyu Makene anafanya nini hapo ?
Makene anafanya kazi kama amateur sijui tatizo ni nini ?Kuna watu wako pale makao makuuu, kujaza nafasi tuuu. Cdm Ina vijana wengi smart sijui kwanini hapewi nafasi. ? .
Hadi act Ina ishinda cdm kwenye mambo ya social media. Fikiria hadi sasa chadema tv hawaja upload video ya nzima ya tukio la leo kule singida.
Kwamba hadi darmpya wamesha upload wao bado wame lala! !!
Sasa si waache kama hawalipwi. ?Hamna mtu wa kufanya kazi halafu mwisho wa mwezi aishie kuambiwa tu "tunakushukuru sana kamanda, ukombozi unakuja". Lipeni watu wafanye kazi ukombozi unaanzia mfukoni