CHADEMA Media nawaona kama mnapwaya mno

Makene ametuna tuu pale makao mkuu. [emoji16][emoji16][emoji16]
 
HUU NI WAKATI NALO FUMBO LA MUNGU LAJIDHIHIRISHA KWETU
Yakobo : Mlango 3
14 Lakini, mkiwa na wivu wenye uchungu na ugomvi mioyoni mwenu, msijisifu, wala msiseme uongo juu ya kweli.

Yeremia : Mlango 23
38 Lakini mkisema, Mzigo wa BWANA, basi, BWANA asema hivi, Kwa sababu mwasema neno hili, ?Mzigo wa BWANA?; nami nimemtuma mtu kwenu kusema, Msiseme, ?Mzigo wa BWANA?;

Isaya : Mlango 8
12 Msiseme, Ni fitina, katika habari za mambo yote ambayo watu hawa watasema, Ni fitina; msihofu kwa hofu yao, wala msiogope.
 
Hamna majina mengine hapo cdm, hayo uliyotaja ni yaleyale.
 
Kwa kweli wanapaswa kujirekebisha...
 
Toka kifo cha Mohamed Mtoi Chadema Media ikafa rasmi huyo Tumaini Makene sijui kazi yake nini.

Mpuuzi sana yule jamaa
 
Toka kifo cha Mohamed Mtoi Chadema Media ikafa rasmi huyo Tumaini Makene sijui kazi yake nini.

Mpuuzi sana yule jamaa
Makene, ndio maana yule mkewe alimkimbia na kumuachia msala wa nyumba walio kua wamepanga kule kawe [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Makene, ndio maana yule mkewe alimkimbia na kumuachia msala wa nyumba walio kua wamepanga kule kawe [emoji16][emoji16][emoji16]
Yule jamaa yupo yupo tu kwenye kile kitengo kimepoa utafikiri siyo chama kikubwa.

Wakati Mohamed Mtoi yupo hai huyu jamaa alikuwa hagusi hata kwenye media sijui aliwekwa kufanya nini

Kuna vijana wako active sana kina Godlisten Malisa huyu Makene anafanya nini hapo ?
 
Kuna watu wako pale makao makuuu, kujaza nafasi tuuu. Cdm Ina vijana wengi smart sijui kwanini hapewi nafasi. ? .

Hadi act Ina ishinda cdm kwenye mambo ya social media. Fikiria hadi sasa chadema tv hawaja upload video ya nzima ya tukio la leo kule singida.

Kwamba hadi darmpya wamesha upload wao bado wame lala! !!
 
Hamna mtu wa kufanya kazi halafu mwisho wa mwezi aishie kuambiwa tu "tunakushukuru sana kamanda, ukombozi unakuja". Lipeni watu wafanye kazi ukombozi unaanzia mfukoni
 
Makene anafanya kazi kama amateur sijui tatizo ni nini ?
 
Hamna mtu wa kufanya kazi halafu mwisho wa mwezi aishie kuambiwa tu "tunakushukuru sana kamanda, ukombozi unakuja". Lipeni watu wafanye kazi ukombozi unaanzia mfukoni
Sasa si waache kama hawalipwi. ?
 
Walipeni watu wapige mzigo. Katibu tu wa chadema jiji la dar hapati hata mia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…