chadema wana safari ndefu sana kufanikiwa, maana wamekusanya watu wachafu na wema kwahiyo kufanikiwa sio leo.Lema ni team Mbowe, matendo yake na matamshi yake yanatia wasiwasi .
Kamponza Pambalu aje kwenye mkutano wake wa Arusha kuwa Tanzania ni salama, na serikali imemhakikishia usalama wake kama yeye aliyohakikishiwa aliporudi kutoka Canada.
Chadema isipokuwa makini na kuchukua hatua mapema, anakwenda kuirubuni Kamati Kuu na wajumbe wa Baraza Kuu baadaye iwe rahisi kukiteka chama kwa pesa za Abdul.
Chadema ni sikio la kufa.
Mamluki wenye njaa ni wengi sana ni rahisi kufika bei.chadema wana safari ndefu sana kufanikiwa, maana wamekusanya watu wachafu na wema kwahiyo kufanikiwa sio leo.
Kesi ya Lissu ilishamuliwa wala hilo lisikupe shida kulisuburia zingatia kauli ya ROSTAM kuhusu mahakama za Tanganyika,...Ajabu ni kwamba hao hao watu wa kamati kuu ndio wanataka kupitia njia za panya watumike kuua chama chao siku wakisema sio kweli wajue mikakati yao na ushahidi watu wanao wanawaangalia tu kwa macho...Hata Mange àmémlalamikia kwa matàmshi yake. Ngoja tuone kauli ya Heche. Huyo nitamfuata!
Nina wasiwasi na wimbi la ushindi wa kesi ambazo serikali inashitakiwa au ambazo somehow ni government backed...kutuaminisha/ kutuandaa kisaikolojia kuwa mahakama iko huru, then wakilipua " BOMU" la Lisu kushindwa, tusilalamike maana tumeshaandaliwa kuwa sasa mahakama inatenda haki.
Nitarudi kwenye thread hii 6.11.2026.
Ambaye sasa kwa kutapatapa anawatafuta kuwatumia watu kama Lema!..adui ni Ccm.
Ambaye sasa kwa kutapatapa anawatafuta kuwatumia watu kama Lema!
Walimnyakua Mbowe, kwa hiyo sasa wanaona fursa kwa Lema aliyebaki huko CHADEMA; na yeye kaonyesha bila ya kificho kwamba yupo tayari kutumika!
Lema akiondoka chadema watafanikiwa?Ambaye sasa kwa kutapatapa anawatafuta kuwatumia watu kama Lema!
Walimnyakua Mbowe, kwa hiyo sasa wanaona fursa kwa Lema aliyebaki huko CHADEMA; na yeye kaonyesha bila ya kificho kwamba yupo tayari kutumika!
Lema akiondoka chadema watafanikiwa?
Kwa hiyo yeye hana uwezo wa kusikia,kuona na kuchambua mambo ili kujua jema na baya?Usilete umbea wa dada enu huku
Ujinga mwingine unatia kinyaa. Mara Chadema ni sikio la kufa mara Chadema mfukuzeni Lema ataharibu chama. Mtu mzima lakini akili za kindezi sana. Muda wote uko na Lema kama mmeoLema ni team Mbowe, matendo yake na matamshi yake yanatia wasiwasi .
Kamponza Pambalu aje kwenye mkutano wake wa Arusha kuwa Tanzania ni salama, na serikali imemhakikishia usalama wake kama yeye aliyohakikishiwa aliporudi kutoka Canada.
Chadema isipokuwa makini na kuchukua hatua mapema, anakwenda kuirubuni Kamati Kuu na wajumbe wa Baraza Kuu baadaye iwe rahisi kukiteka chama kwa pesa za Abdul.
Chadema ni sikio la kufa.
Good observation. Hawa jamaa ni wangese.Hata Mange àmémlalamikia kwa matàmshi yake. Ngoja tuone kauli ya Heche. Huyo nitamfuata!
Nina wasiwasi na wimbi la ushindi wa kesi ambazo serikali inashitakiwa au ambazo somehow ni government backed...kutuaminisha/ kutuandaa kisaikolojia kuwa mahakama iko huru, then wakilipua " BOMU" la Lisu kushindwa, tusilalamike maana tumeshaandaliwa kuwa sasa mahakama inatenda haki.
Nitarudi kwenye thread hii 6.11.2026.
hawawawezi ccm ndio maana wanapambana wenyewe kwa wenyewe, badala ya kumtafuta twaha wanamuandama lema, hapo maria juzi kawashangaa kile kituo cha haki THRD sijui kwa kusema twaha amepotea badala ya kutekwa, maria na mange wanamission zao na chadema wanamission zao ndio maana wanatofautiana wakidhani wapo pamoja kumbe wako tofauti. wanaharakati kila mmoja anaongea la kwake wengine walisema jana twaha yupo tarakea moshi anapelekwa dar na wengine wanasema bado yupo kenya ilimradi kila mtu mjuaji...swali zuri sana.
..na ndio maana mimi nasisitiza wapeleke moto zaidi kwa Ccm kuliko kugombana wao kwa wao ndani ya Chadema.
Ujue MboweLema ni team Mbowe, matendo yake na matamshi yake yanatia wasiwasi .
Kamponza Pambalu aje kwenye mkutano wake wa Arusha kuwa Tanzania ni salama, na serikali imemhakikishia usalama wake kama yeye aliyohakikishiwa aliporudi kutoka Canada.
Chadema isipokuwa makini na kuchukua hatua mapema, anakwenda kuirubuni Kamati Kuu na wajumbe wa Baraza Kuu baadaye iwe rahisi kukiteka chama kwa pesa za Abdul.
Chadema ni sikio la kufa.
Anataka akiweke chama mfukoni!Lema akiondoka chadema watafanikiwa?
Uzuri Chadema wako bize na mambo yao ila wewe ndiye unateseka huko njechadema wana safari ndefu sana kufanikiwa, maana wamekusanya watu wachafu na wema kwahiyo kufanikiwa sio leo.
mambo yao kumtaja samia kila saa?Uzuri Chadema wako bize na mambo yao ila wewe ndiye unateseka huko nje
watajuana wenyeweUjue Mbowe
Anataka akiweke chama mfukoni!
Ujue Mbowe
Anataka akiweke chama mfukoni!
Hata wangekuwa wanamtaja Juma, bado ni mambo yao, wewe ndiye unahangaika na mambo yasiyokuhusu. Tafuta kazi ya kuku keep bize achana na uchawa unakuwa kitukomambo yao kumtaja samia kila saa?
twaha aliwaambia watu wakachome nyumba za ccm na ofisi za ccm wako bize na mambo ya ccm kutwa kucha ndio maana kila siku mko pale pale hamna la maana, nchi inasonga mbeleHata wangekuwa wanamtaja Juma, bado ni mambo yao, wewe ndiye unahangaika na mambo yasiyokuhusu. Tafuta kazi ya kuku keep bize achana na uchawa unakuwa kituko
Tuko pale pale na Nchi inasonga, sasa wewe unaumia nini badala ya kufanya yako. Pathetictwaha aliwaambia watu wakachome nyumba za ccm na ofisi za ccm wako bize na mambo ya ccm kutwa kucha ndio maana kila siku mko pale pale hamna la maana, nchi inasonga mbele