HOJA CHADEMA, mfukuzeni Lema mapema. Anakwenda kukimaliza chama

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Lema ni team Mbowe, matendo yake na matamshi yake yanatia wasiwasi .

Kamponza Pambalu aje kwenye mkutano wake wa Arusha kuwa Tanzania ni salama, na serikali imemhakikishia usalama wake kama yeye aliyohakikishiwa aliporudi kutoka Canada.

Chadema isipokuwa makini na kuchukua hatua mapema, anakwenda kuirubuni Kamati Kuu na wajumbe wa Baraza Kuu baadaye iwe rahisi kukiteka chama kwa pesa za Abdul.

Chadema ni sikio la kufa.
Sina imani naye kabisa
 
Chadema isipokuwa makini mtaimaliza kwa kuwachonganisha. Naona mission inafanikiwa. Dada wa marekani yeye harakati anazipigia facebook ila yuko busy kuwakandia walioko ground. Anadhani kuwa ground mchezo.
Enzi za JK wakati watu hawapotei hovyo alikuja hapa akawekwa ndani alipopata nafasi aliondoka speed.
Chadema kuweni makini na hawa wanaharakati wa mtandaoni, kwa sasa ni liability wengi wamewehuka kila anayepishana nao kauli ni msaliti
 
Lema ni team Mbowe, matendo yake na matamshi yake yanatia wasiwasi .

Kamponza Pambalu aje kwenye mkutano wake wa Arusha kuwa Tanzania ni salama, na serikali imemhakikishia usalama wake kama yeye aliyohakikishiwa aliporudi kutoka Canada.

Chadema isipokuwa makini na kuchukua hatua mapema, anakwenda kuirubuni Kamati Kuu na wajumbe wa Baraza Kuu baadaye iwe rahisi kukiteka chama kwa pesa za Abdul.

Chadema ni sikio la kufa.
Hah

Hana ubavu huo kama nia yake ni iyo , hichi chama kina roho saba kama paka, siko tiyari muhukumu ila kama ndivyo atakufa na atakiacha, Mbowe pia msimuone amekaa kimiya sio mjinga, Zito Kabwe na nguvu aliokua nayo na Genge lake walishindwa, awe Lema? Dr Slaa japo amerudi chini ya Jpm alishindwa,
Sasa chama kipo mikononi wa aliekua diwani , Mbunge na mwenyekiti vijana mh Heche , anakijua vizuri chama ichi , Lema ni nani hata kama tuhuma zako zinaweza kuwa kweli ?

Chadema ya sasa mpaka mie naogopa ,imejaa kwenye nyoyo za wananchi so mtu mmoja hawezi kisumbua ichi chama
 
Back
Top Bottom