HOJA CHADEMA, mfukuzeni Lema mapema. Anakwenda kukimaliza chama

HOJA CHADEMA, mfukuzeni Lema mapema. Anakwenda kukimaliza chama

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Tuko pale pale na Nchi inasonga, sasa wewe unaumia nini badala ya kufanya yako. Pathetic
nimeacha kufanya yangu? kunamtz kaacha kufanya yake? wewe hufanyi yako? nchi haisimami kwa maneno ya wasio na kazi
 
nimeacha kufanya yangu? kunamtz kaacha kufanya yake? wewe hufanyi yako? nchi haisimami kwa maneno ya wasio na kazi
Nani kasema anataka Nchi isimame? Kwani inakwenda wapi mpaka isimame?
 
Nani kasema anataka Nchi isimame? Kwani inakwenda wapi mpaka isimame?
mnavyolalamika watanzania kupenda kushabikia mpira wa simba na yanga, huyo heche kazaliwa kaikuta simba na yanga, watanzania wanavyoenda kumsikiliza pm mnaumia, watanzania wasipokuja kwenye maujinga yenu mnawalaumu, nchi haisimami inakwenda mbele
 
Nchi inakwenda mbele, sawa huko mbele wapi? Usiongee kwa kukarir script zenu za kichawa. Hicho kichwa usikifanye mzigo kwa shingo, kitumie kufanya kazi yake.
 
Binafsi nadhani kumuuliza Lema ndani ya Chadema sio suluhu sahihi kwa sababu informants wanaolipwa ndani ya Chadema ni zaidi ya Mmoja.Hii CCM ya sasa inaishi kwa kutumia njia mbalimbali za Surveillance,hao informants wanaolipwa ndani ya Chadema,Makanisa,Misikiti,Vyuo na hata Majirani tunaoishi nao.Muhumi ni kwa Chadema kutengeneza structure ambazo zitakuwa very resilient zidi ya mapandikizi,Kingine ni kuja na njia bunifu za kuweza kuweka vimitego rahisi vya kuwagundua hao mapandikizi..
Mawasiliano,Baria Pepe,simu na baadhi ya social media platform si salama,zinakuwa tapped.Postal Mail zinasomwa,hizi ni nyakati za kuwa sharp na kuja na njia Mbadala.Chadema na Sisi sote lazima tunadilike,Vyuoni,Makazini,Nyumba za Ibada na Mashuleni.Mfano wa structure nzuri ni KKT,japo Askofu Mkuu ni Pandikizi structure yao inamnyima Askofu Mkuu kuharibu KKT yote,Karagwe wako safi,Chadema lazima ifanya adjustment ili kuweza kupambana na haya mapandikizi.
Financial Independence,Chadema lazima ijipange,watu wake ambao ni waaminifu wajitahidi kuwalipa hata mishahara kidogo,CCM inafanikiwa kununua watu kirahisi kwa sababu wanabana njia za kiuchumi kuhakikisha wakija na dau hata la Milioni moja mtu anacompromise,watu hata huko mikoani na kwenye vitongoji walipwe kidogo,wakiweka wazi bajiti zao na vile Pesa zinavyotumika naamini wapenda mabadiliko hawashindwi kuwachangia .Mabadiliko wanayopambania ni kwa Manufaa ya Watanzania wote hata CCM pia watafaidika nayo.
 
Lema ni team Mbowe, matendo yake na matamshi yake yanatia wasiwasi .

Kamponza Pambalu aje kwenye mkutano wake wa Arusha kuwa Tanzania ni salama, na serikali imemhakikishia usalama wake kama yeye aliyohakikishiwa aliporudi kutoka Canada.

Chadema isipokuwa makini na kuchukua hatua mapema, anakwenda kuirubuni Kamati Kuu na wajumbe wa Baraza Kuu baadaye iwe rahisi kukiteka chama kwa pesa za Abdul.

Chadema ni sikio la kufa.
Kwani Tanzania sio salama? Mbona ukifuata sheria na utaratibu usalama hupo..
 
Unalosema linaweza kuwepo au kutokuwepo. Cha kuzingatia ni kwamba chama tawala kinatumia mbinu yoyote kuhakikisha Chadema inasambaratika. Je, Chadema imejipangaje au kujiandaa na changamoto hizo?
 
Mbona unamwandama sana Lema,kwamba walioko ndani ya cdm hawaoni makosa yake ila wewe?

Nadhani cdm Wana utaratibu wao wa ndani ya chama namna ya kushughulikia mambo yao bila kupata shinikizo kutoka nje.

Kama wewe ni mwana cdm peleka ushahidi na maoni yako kwenye vikao vyenu vya chama.
 
Nchi inakwenda mbele, sawa huko mbele wapi? Usiongee kwa kukarir script zenu za kichawa. Hicho kichwa usikifanye mzigo kwa shingo, kitumie kufanya kazi yake.
mbele kwenye maendeleo, kwani kipi kimekwama tangu 2021? umewahi kusikia watumishi hawajalipwa mishahara? umesikia watumishi hawajapandishwa cheo? au uumekariri maneno ya heche akisema nchi haina maendeleo halafu anapita kwenye rami kutoka tarime hadi dar, akifika nyumbani kwake anawasha taa na tv na anatumia internet muda wote, au anasema nchi haina amani huku muda wote anmatembea nchi nzima kumsema samia au alitaka aolewe yeye na mzee hafidh?

siku ya 3 mnapiga kelele kwani Ruto hajawasikia au kawapuuza?
 
..peleka moto zaidi kwa Ccm kuliko kwa wanachama wa Chadema.
Wanachama wa CHADEMA wanaoifanyia kazi CCM ni hatari zaidi kwa CHADEMA sawa kabisa na hao CCM wenyewe au zaidi.
Kwa sababu kinachokula kikiwa nguoni mwako kinafanya uharibifu moja kwa moja.
 
mbele kwenye maendeleo, kwani kipi kimekwama tangu 2021? umewahi kusikia watumishi hawajalipwa mishahara? umesikia watumishi hawajapandishwa cheo? au uumekariri maneno ya heche akisema nchi haina maendeleo halafu anapita kwenye rami kutoka tarime hadi dar, akifika nyumbani kwake anawasha taa na tv na anatumia internet muda wote, au anasema nchi haina amani huku muda wote anmatembea nchi nzima kumsema samia au alitaka aolewe yeye na mzee hafidh?

siku ya 3 mnapiga kelele kwani Ruto hajawasikia au kawapuuza?
Nimeona maandishi yako mahali fulani ukinijibu , lakini sijakusoma.
Sasa nimeona takataka zako hapa, kumbe itakuwa ni kuppoteza muda tu kukusoma hata huko?

Hii akili ya kudhani maendeleo ni kuwa na vitu pekee hata wakati utu wako unanyanyaswa; hii ndiyo akili unayotaka nihangaike nayo mimi kukujibu?

Wewe utakuwa na tofauti gani na nguruwe anayeshibishwa na kutunzwa vizuri ili anone na mwisho wa siku awe kitoweo?

Hata hivyo vitu unavyodhani wewe kuwa ni maendeleo, unaweza ukajivunia hayo yaliyopo kwa uwiano wa mahitaji yanayotakiwa kuwepo hadi sasa?
Hiyo Reli pekee ujenzi wake umekwama. Tabora hadi Isaka ilikuwa ikamilike mwaka huu, na hivyo vipande vyote vingine vilivyobaki ujenzi wake umesimama au unasuasua.
Wewe kwa akili hii chafu unafikiri ndiyo maendeleo?
 
mbele kwenye maendeleo, kwani kipi kimekwama tangu 2021? umewahi kusikia watumishi hawajalipwa mishahara? umesikia watumishi hawajapandishwa cheo? au uumekariri maneno ya heche akisema nchi haina maendeleo halafu anapita kwenye rami kutoka tarime hadi dar, akifika nyumbani kwake anawasha taa na tv na anatumia internet muda wote, au anasema nchi haina amani huku muda wote anmatembea nchi nzima kumsema samia au alitaka aolewe yeye na mzee hafidh?

siku ya 3 mnapiga kelele kwani Ruto hajawasikia au kawapuuza?
Kumbe tatizo lako ni kubwa kuliko nilivyodhani. Pumzika kwanza
 
Lema ni team Mbowe, matendo yake na matamshi yake yanatia wasiwasi .

Kamponza Pambalu aje kwenye mkutano wake wa Arusha kuwa Tanzania ni salama, na serikali imemhakikishia usalama wake kama yeye aliyohakikishiwa aliporudi kutoka Canada.

Chadema isipokuwa makini na kuchukua hatua mapema, anakwenda kuirubuni Kamati Kuu na wajumbe wa Baraza Kuu baadaye iwe rahisi kukiteka chama kwa pesa za Abdul.

Chadema ni sikio

Lema anavyoshutumiwa hivi Bado ataendelea kutumikia hicho chama Cha wapumbavu walioshikiliwa akili na kina Mange? Basi atakuwa ni mpumbavu mara mia
 
Kuna siku nimesema humu, Lema na Mbowe hawajawahi kukwazana ..kilichofanya nikutaka kumbakiza Lema kwenye system ya CDM ili atoe taarifa...!. Lema ana roho ya wizi na kitapeli sana!.
 
Back
Top Bottom