HOJA CHADEMA, mfukuzeni Lema mapema. Anakwenda kukimaliza chama

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Sina imani naye kabisa
 
Chadema isipokuwa makini mtaimaliza kwa kuwachonganisha. Naona mission inafanikiwa. Dada wa marekani yeye harakati anazipigia facebook ila yuko busy kuwakandia walioko ground. Anadhani kuwa ground mchezo.
Enzi za JK wakati watu hawapotei hovyo alikuja hapa akawekwa ndani alipopata nafasi aliondoka speed.
Chadema kuweni makini na hawa wanaharakati wa mtandaoni, kwa sasa ni liability wengi wamewehuka kila anayepishana nao kauli ni msaliti
 
Hah Hana ubavu huo kama nia yake ni iyo , hichi chama kina roho saba kama paka, siko tiyari muhukumu ila kama ndivyo atakufa na atakiacha, Mbowe pia msimuone amekaa kimiya sio mjinga, Zito Kabwe na nguvu aliokua nayo na Genge lake walishindwa, awe Lema? Dr Slaa japo amerudi chini ya Jpm alishindwa,
Sasa chama kipo mikononi wa aliekua diwani , Mbunge na mwenyekiti vijana mh Heche , anakijua vizuri chama ichi , Lema ni nani hata kama tuhuma zako zinaweza kuwa kweli ?

Chadema ya sasa mpaka mie naogopa ,imejaa kwenye nyoyo za wananchi so mtu mmoja hawezi kisumbua ichi chama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…