CHADEMA mfukuzeni Lissu mapema au mdhibitini la sivyo yaliyowakuta CUF yatawakumba na ninyi

Kiukweli home boy yupo vizuri na ni mzuri kujenga hoja na ni mwanasheria mzuri hata mkurugenzi wa jf bwana melo aliwahi kukubaliana na hilo

Shida iliyonifanya nianze kumkataa hana maneno ya staha kwa wengine, kibaya zaidi alipoulizwa msimamo wake kuhusu mashoga(upinde) akasema ni watu na wao wana haki inabidi waheshimiwe pale ndipo aliponishtua na kumuondoa kuwa kiongozi mkuu wa nchi. Kuruhusu hili niliona ni tatizo hatuwezi kukubaliana na hili katika jamii yetu tulipige vita
 
Itakua manufaa kwa credible Chadema kama chama na hatari mno kwa CCM hata kama sio sasa but it will be a credit for and credibility for chadema as a party.
Na hata kama anayoyasema ni kweli ama si kweli Mbona hasemi strategical wayfoward au ni story tu.

Mbowe amekataa kutukana viongozi especially Rais,kweli au si kweli?

Unadhani ni nani anamlazimisha atukane viongozi? This man is intelligence [emoji851]

Huyo jamaa ni mwanasiasa Mzuri sana na mbobevu naweza msifia hivyo.
Kama haridhiki na yaliyojengwa na Mwenyekiti wake aanzishe chama chake tuone anakubalika ama laa
Andika tu kwa Kiswahili, utaeleweka kuliko kuharibu lugha za watu.
 
Huu mwandiko kama wa Msiba msemaji ikulu.
Lissu kamatia hapo hapo.
Kama kuna kitu tulikosea nchi hii ni kutumia hekima kwa ccm tukifikiri ni waungwana kumbi ni walaku na walafi wasio na hata tone la aibu linapokuja suala la madaraka.
Wataiba kuanzia pesa za hazina ya nchi hadi uchaguzi.
Hekima na ustaarabu ni kwa mstaarabu na sii vinginevyo.
 
🤓🤓🤣🤣
 
Mh. Tundu A. Lissu, homeboy ni mwanasheria mzuri na mwanasiasa machachari sana, hapa ninakiri kumkubali.

Kiongozi huyu anaewapeleka chadema kwa kasi ya 4g pasina kueleweka anako wapeleka. Kimsingi hatabiriki kesho atakuja na stori gani na dhihaka gani kwa viongozi walio hai na wasio hai japo yeye anaita ukosoaji.

Misingi ya maridhiano kupelekea Katiba mpya ni dhahiri shahiri haitambui na anapingana nayo vikali, haishii hapo anatofautiana hata na Mwenyekiti wake.

Hii ina maana kwamba angependelea Mh. Freeman A.Mbowe aendelee kusota na kuteseka magereza na mikutano ya vyama vya Siasa kuendelea kupigwa pini. I can predict hali hii ikiendelea Mwenyekiti na Makamu wake will not see eye to eye siku za usoni. Mark my words.

Wengi especially elite class na visionary politicians ndani ya Chadema wameanza kujiengua kimya kimya mapema kwasabb ya aina ya siasa za kibinafsi na zinazoshambulia zaidi utu binafsi wa watu anayoifanya Lissu.

Siasa zilizojaa dhihaka, dharau, udini, ubaguzi kijinsia, ukanda na kwakweli siasa za majigambo kwamba no one is powerful than him within chadema wether you like or not. And you can't do anything up on me.

Kutofautiana kwake na Mwenyekiti ni ishara tosha kua hadi tunafika October 2025, chadema itabaki na washangiliaji tu, wapiga kura watakua wameshachukua mirengo mingine.

Jambo muhimu kudhibiti mapambano na mgawanyiko wa mtazamo ktk mambo mbalimbali baina ya Mwenyekiti na Makamu wake nikwamba, ni vema kabla hawajaanza mikutano yao waketi chini pamoja na wakubaliene mambo ya kuzungumza kuliko hali ilivyo sasa.

Ni vigumu sana kwa elite class, religious class, political parties na civil groups kuvumilia ktk hali hii hali ya kua na wao wana malengo na matarajio yao kupitia Chadema. Therefore kujiasemble behind Tundu Lisu huyu alie kosa staha kabisa na asie tambua hata chembe ya mafanikio ya huyu Rais alioko Madarakani hali yakua viongozi wenzie wanayaona na kupongeza ni dhahiri hayuko pamoja na viongozi wenzake, he is one army and ideology.

Mapendekezo:
Opposition Political parties, Religious Groups, Civil groups, Elite class, Citizens and everyone with good will for prosperity of Tanzanians Political, Social, Technological, Cultural and Economic development, let's us assemble behind this Patriotic and Statesman Freeman A. Mbowe, hakuna atakae juta baadae, whether atashinda au atashindwa. Taifa litapiga hatua kiasi kuliko vinginevyo.

That's my take.....
hope to learn from ur opinions....
Wewe ni kilaza ,kwanza unakiri kuwa tundulisu ni mwanasiasa mzur ,ala chini unaandika pumba
 
Kiukweli home boy yupo vizuri na ni mzuri kujenga hoja na ni mwanasheria mzuri hata mkurugenzi wa jf bwana melo aliwahi kukubaliana na hilo

Shida iliyonifanya nianze kumkataa hana maneno ya staha kwa wengine, kibaya zaidi alipoulizwa msimamo wake kuhusu mashoga(upinde) akasema ni watu na wao wana haki inabidi waheshimiwe pale ndipo aliponishtua na kumuondoa kuwa kiongozi mkuu wa nchi. Kuruhusu hili niliona ni tatizo hatuwezi kukubaliana na hili katika jamii yetu tulipiga vita
unaona mbali kwa utulivu sana 🤝
 
Wewe ni kilaza ,kwanza unakiri kuwa tundulisu ni mwanasiasa mzur ,ala chini unaandika pumba
sure ni mzuri sana but hekima, utulivu na Busara bahati mbaya vimempitia pembeni huruma sana 🤔
 
Mh. Tundu A. Lissu, homeboy ni mwanasheria mzuri na mwanasiasa machachari sana, hapa ninakiri kumkubali.

Kiongozi huyu anaewapeleka chadema kwa kasi ya 4g pasina kueleweka anako wapeleka. Kimsingi hatabiriki kesho atakuja na stori gani na dhihaka gani kwa viongozi walio hai na wasio hai japo yeye anaita ukosoaji.

Misingi ya maridhiano kupelekea Katiba mpya ni dhahiri shahiri haitambui na anapingana nayo vikali, haishii hapo anatofautiana hata na Mwenyekiti wake.

Hii ina maana kwamba angependelea Mh. Freeman A.Mbowe aendelee kusota na kuteseka magereza na mikutano ya vyama vya Siasa kuendelea kupigwa pini. I can predict hali hii ikiendelea Mwenyekiti na Makamu wake will not see eye to eye siku za usoni. Mark my words.

Wengi especially elite class na visionary politicians ndani ya Chadema wameanza kujiengua kimya kimya mapema kwasabb ya aina ya siasa za kibinafsi na zinazoshambulia zaidi utu binafsi wa watu anayoifanya Lissu.

Siasa zilizojaa dhihaka, dharau, udini, ubaguzi kijinsia, ukanda na kwakweli siasa za majigambo kwamba no one is powerful than him within chadema wether you like or not. And you can't do anything up on me.

Kutofautiana kwake na Mwenyekiti ni ishara tosha kua hadi tunafika October 2025, chadema itabaki na washangiliaji tu, wapiga kura watakua wameshachukua mirengo mingine.

Jambo muhimu kudhibiti mapambano na mgawanyiko wa mtazamo ktk mambo mbalimbali baina ya Mwenyekiti na Makamu wake nikwamba, ni vema kabla hawajaanza mikutano yao waketi chini pamoja na wakubaliene mambo ya kuzungumza kuliko hali ilivyo sasa.

Ni vigumu sana kwa elite class, religious class, political parties na civil groups kuvumilia ktk hali hii hali ya kua na wao wana malengo na matarajio yao kupitia Chadema. Therefore kujiasemble behind Tundu Lisu huyu alie kosa staha kabisa na asie tambua hata chembe ya mafanikio ya huyu Rais alioko Madarakani hali yakua viongozi wenzie wanayaona na kupongeza ni dhahiri hayuko pamoja na viongozi wenzake, he is one army and ideology.

Mapendekezo:
Opposition Political parties, Religious Groups, Civil groups, Elite class, Citizens and everyone with good will for prosperity of Tanzanians Political, Social, Technological, Cultural and Economic development, let's us assemble behind this Patriotic and Statesman Freeman A. Mbowe, hakuna atakae juta baadae, whether atashinda au atashindwa. Taifa litapiga hatua kiasi kuliko vinginevyo.

That's my take.....
hope to learn from ur opinions....
Mmeshindwa kuwaangamiza na kuwashinda wakiwa wamoja, mnakuja na mbinu kumuinua mmoja dhidi ya mwingine. Mbinu zenu zote zinajulikana na kwa kuwa hamna jipya michezo yenu inatabirika sana, mmeacha makalio wazi.
Rudini mkajaribu kuongeza idadi ya bunduki, pia idadi ya mahabusu na magereza.
jaribuni michezo mingine, lakini hii ya kuwavurugua Mmeshapotea.
 
Mmeshindwa kuwaangamiza na kiwashinda wakiwa wamoja, mnakuja na mbinu kumuinua mmoja dhidi ya mwingine. Mbinu zenu zote zinajulikana na kwa kuwa hamna jipya michezo yenu inatabirika sana, mmeacha makalio wazi.
Rudini mkajaribu kuongeza idadi bunduki, idadi pia mahabusu na magereza.

Na wamepotea kweli,wanapigwa za uso.
 
sure ni mzuri sana but hekima, utulivu na Busara bahati mbaya vimempitia pembeni huruma sana 🤔
Hauhitaji hekima yoyote ku deal na watu hawa. Lissu ana hekima sana, kilichotokea ni Mungu aliamua aendelee kuishi. Mbowe ana hekima sana, akaishia kupewa Makosa ya ugaidi na kufungiwa nyuma ya nondo.
Lowasa ana hekima yake aliishia kudharirishwa na kusumbuliwa sana.
Una lingine?
 
Hauhitaji hekima yoyote ku deal na watu hawa. Lissu ana hekima sana, kilichotokea ni Mungu aliamua aendelee kuishi. Mbowe ana hekima sana, akaishia kupewa Makosa ya ugaidi ma kufungiwa nyuma ya nondo.
Lowasa na hekima yake aliishia kudharirishwa na kusumbuliwa sana.
Una lingine?
Alafu mukumbushe hivi ,kudeal na mpumpavu hakuitaji hekima wala busala,mbwai mbwai .
 
Siasa za Lissu zinahitajika sana nchini, hizo ndiyo zina wasanua watanzania. Kama siyo style ya siasa za Lissu upinzani ulikua umeshapotezwa nchini.
Lissu ndiyo amewainua akuna Wassira huko walikokua wanachoma mahindi na wajukuu.
Lissu ndiyo amesababisha CCM wanazunguka kila kona kujitetea, Lissu ndiye amesababisha watu waanze kuitikia mikutano ya CHADEMA pia ianze kupata mvuto.
Kinyume na hapo Dr. Slaa alishaanza kupata mvuto kuliko CHADEMA. CHADEMA ilishaanza kupauka akilini mwa watu. Zaidi CHADEMA ilijeruhiwa vibaya sana kwenye ule mkutano wake wa kwanza pale Mwanza kwa hotuba ya mwenyekiti wao.
 
Mmeshindwa kuwaangamiza na kiwashinda wakiwa wamoja, mnakuja na mbinu kumuinua mmoja dhidi ya mwingine. Mbinu zenu zote zinajulikana na kwa kuwa hamna jipya michezo yenu inatabirika sana, mmeacha makalio wazi.
Rudini mkajaribu kuongeza idadi bunduki, idadi pia mahabusu na magereza.
jaribuni michezo mingine, lakini hii ya kuwavurugua Mmeshapotea.
Acha nikupe upeo kidogo Tundu Lisu hawezi kushinda uchaguzi 2025, but chadema itakua weak na taabani sana na isiyoaminika baada ya uchaguzi.

Freeman A Mbowe hawezi kushinda uchaguzi 2025 but chadema itakua moja strong na ya kuaminika.

In conclusion, hakuna mpinzani atakaefua dafu uchaguzi 2025.
Chama Kilichopo Madarakani kinaenjoy sana mparaganyiko, uhasama, ubinafsi, Tamaa na kukosekana dira na uelekeo miongoni mwa wapinzani. Na for sure mambo haya yatakiwezesha kusalia mamlakani kwa kipindi kirefu mno kijacho.

Shida ni hiyo tu.
Ndio maana ukikosoa au kushauri upinzani leo, ni anasa. Utaambulia Matusi na kuambiwa wew ni chama flani na flani but hiyo haisaidii chochote.
 
Back
Top Bottom