CHADEMA mfukuzeni Lissu mapema au mdhibitini la sivyo yaliyowakuta CUF yatawakumba na ninyi

Kiukweli home boy yupo vizuri na ni mzuri kujenga hoja na ni mwanasheria mzuri hata mkurugenzi wa jf bwana melo aliwahi kukubaliana na hilo

Shida iliyonifanya nianze kumkataa hana maneno ya staha kwa wengine, kibaya zaidi alipoulizwa msimamo wake kuhusu mashoga(upinde) akasema ni watu na wao wana haki inabidi waheshimiwe pale ndipo aliponishtua na kumuondoa kuwa kiongozi mkuu wa nchi. Kuruhusu hili niliona ni tatizo hatuwezi kukubaliana na hili katika jamii yetu tulipige vita
 
Andika tu kwa Kiswahili, utaeleweka kuliko kuharibu lugha za watu.
 
Huu mwandiko kama wa Msiba msemaji ikulu.
Lissu kamatia hapo hapo.
Kama kuna kitu tulikosea nchi hii ni kutumia hekima kwa ccm tukifikiri ni waungwana kumbi ni walaku na walafi wasio na hata tone la aibu linapokuja suala la madaraka.
Wataiba kuanzia pesa za hazina ya nchi hadi uchaguzi.
Hekima na ustaarabu ni kwa mstaarabu na sii vinginevyo.
 
🤓🤓🤣🤣
 
Wewe ni kilaza ,kwanza unakiri kuwa tundulisu ni mwanasiasa mzur ,ala chini unaandika pumba
 
unaona mbali kwa utulivu sana 🤝
 
Wewe ni kilaza ,kwanza unakiri kuwa tundulisu ni mwanasiasa mzur ,ala chini unaandika pumba
sure ni mzuri sana but hekima, utulivu na Busara bahati mbaya vimempitia pembeni huruma sana 🤔
 
Mmeshindwa kuwaangamiza na kuwashinda wakiwa wamoja, mnakuja na mbinu kumuinua mmoja dhidi ya mwingine. Mbinu zenu zote zinajulikana na kwa kuwa hamna jipya michezo yenu inatabirika sana, mmeacha makalio wazi.
Rudini mkajaribu kuongeza idadi ya bunduki, pia idadi ya mahabusu na magereza.
jaribuni michezo mingine, lakini hii ya kuwavurugua Mmeshapotea.
 
Na wamepotea kweli,wanapigwa za uso.
 
sure ni mzuri sana but hekima, utulivu na Busara bahati mbaya vimempitia pembeni huruma sana 🤔
Hauhitaji hekima yoyote ku deal na watu hawa. Lissu ana hekima sana, kilichotokea ni Mungu aliamua aendelee kuishi. Mbowe ana hekima sana, akaishia kupewa Makosa ya ugaidi na kufungiwa nyuma ya nondo.
Lowasa ana hekima yake aliishia kudharirishwa na kusumbuliwa sana.
Una lingine?
 
Alafu mukumbushe hivi ,kudeal na mpumpavu hakuitaji hekima wala busala,mbwai mbwai .
 
Siasa za Lissu zinahitajika sana nchini, hizo ndiyo zina wasanua watanzania. Kama siyo style ya siasa za Lissu upinzani ulikua umeshapotezwa nchini.
Lissu ndiyo amewainua akuna Wassira huko walikokua wanachoma mahindi na wajukuu.
Lissu ndiyo amesababisha CCM wanazunguka kila kona kujitetea, Lissu ndiye amesababisha watu waanze kuitikia mikutano ya CHADEMA pia ianze kupata mvuto.
Kinyume na hapo Dr. Slaa alishaanza kupata mvuto kuliko CHADEMA. CHADEMA ilishaanza kupauka akilini mwa watu. Zaidi CHADEMA ilijeruhiwa vibaya sana kwenye ule mkutano wake wa kwanza pale Mwanza kwa hotuba ya mwenyekiti wao.
 
Acha nikupe upeo kidogo Tundu Lisu hawezi kushinda uchaguzi 2025, but chadema itakua weak na taabani sana na isiyoaminika baada ya uchaguzi.

Freeman A Mbowe hawezi kushinda uchaguzi 2025 but chadema itakua moja strong na ya kuaminika.

In conclusion, hakuna mpinzani atakaefua dafu uchaguzi 2025.
Chama Kilichopo Madarakani kinaenjoy sana mparaganyiko, uhasama, ubinafsi, Tamaa na kukosekana dira na uelekeo miongoni mwa wapinzani. Na for sure mambo haya yatakiwezesha kusalia mamlakani kwa kipindi kirefu mno kijacho.

Shida ni hiyo tu.
Ndio maana ukikosoa au kushauri upinzani leo, ni anasa. Utaambulia Matusi na kuambiwa wew ni chama flani na flani but hiyo haisaidii chochote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…