CHADEMA mheshimuni Mbowe pamoja na udhaifu wake

vibesen xxx

JF-Expert Member
Joined
Jul 23, 2022
Posts
3,187
Reaction score
6,620
Msimtukane Mbowe

Mzee Mbowe ameifanyia makubwa chadema

Mbowe anamadhaifu mengi tu ila karba yake uko kwenu chadema sioni kiongozi anayemkaribia Mbowe hata nusu.

Wengi wanalilia uenyekiti chadema lkn wakipewa uenyekiti chadema haichukui mwaka inasambaratika

Hamuoni zito alilia uenyekiti wa chadema akashindwa akaenda kukizalisha chama kipya lkn chama kilipata umauti hakijakua kilikua kule kwenye ubaguzi wa utamaduni tu

Naamini kabisa mbowe anaweza akapewa chenji ya kula na mfumo lkn hawezi kukubali chadema ife

Ninaweza kumchagua mbowe aliyehongwa pesa kulko Msigwa ambaye hajulikani anapigania nini au Lissu

Muheshimuni mzee mbowe
 
Pumbavu anayemtukana Mbowe ni wewe na CCM yako
 
Kweli kabisa! Hata kama hawamtakai tena,wamwache aondoke yeye mwenyewe kista arabu!
 
Siku zote nilijua msigwa toka awe rafiki na israeli aliyemtuhumu kuwa jangili alipoteza uhuru wake
 
Mbowe ndio shida kuu ya chadema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…