CHADEMA / MISS SARUNGI anzisheni Mfuko wa Harambee Kwa MAMA POLEPOLE , Ndani yake ubebe na Wahanga wengineo ! Mlifanyeni hili haraka kabla ya MO29

CHADEMA / MISS SARUNGI anzisheni Mfuko wa Harambee Kwa MAMA POLEPOLE , Ndani yake ubebe na Wahanga wengineo ! Mlifanyeni hili haraka kabla ya MO29

Carlos The Jackal

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2017
Posts
29,314
Reaction score
93,919
Palipo na Hazina ya MTU ndio Moyo wake ulipo

Nafaham tunao Wahanga wengi sana mamia Kwa maelfu.

Lakini ni lazima tuweke UPEKEE katika Uchaguzi wa Jina la Mfuko.

Mh Polepole alikua Mwana CCM, Mbunge, Mjumbe wa Tume ya Katiba ya Jaji Warioba, Katibu Muenezi wa CCM, na BALOZI Nchini Cuba, achilia mbali sifa zake ya UZALENDO, USHUOAVU, UHODARI, UKWELI NA MTU WA HAKI MWENYE UWEZO MKUBWA WA AKILI !!.

Faida ya Kuanzisha Mfuko Huu wenye Jina la POLEPOLE Kwa LENGO la kumchangia Mama Polepole wakati huu ambao "Hana Kijana wa Kumpa hata kadoti ka kanga kama ambavyo Kijana wake Mzalendo Polepole alikua akimpa".

1-Harambee hii ya Kumchangia Mama Polepole, itasaidia sana kusambaza Taarifa zake zaidi na Kila siku zitakua zinasambaa Masikini ,Mioyoni na Akilini mwa WATANZANIA .... Hapa Si tu Kupata Pesa Kwa ajili ya Mama Polepole, BALI itaendeleza kusambaza habari ya UTEKAJI NA HASARA ZA UTEKAJI KWA WATANZANIA .

2-Kitendo Cha kuchangia Mia mia, kitaongeza Umoja, Mshikamano zaidi Kwa Watanzania , Kwa sababu Watatoa Kwa Moyo wakiambatanisha Huzuni zao na manyanyaso yao wanayopewa na Serikali hii , ni Kwa huyu Umoja, Maandamano yatafaana zaidi !!

3-WAZAZI WA WAHANGA na WATARAJIWA WA WAHANGA, Watajiona Wanathaminiwa na Watanzania na wako pamoja, maana yake ni kwamba, Hata yule ambaye bado anaogopa Kuandamana Kwa kutambua Kuna Mfuko huuu , hatokua na lakupoteza tena, Kwa sababu Nyuma yake Watanzania wataibeba Familia yake .... Hiii utafanya Maandamano kua yamoto kwelikweli !!.

4-MAMA POLEPOLE atajiona Kijana wake anaendelea Kuishi kwakua Nyuma yake Kuna Watanzania wenye kumpenda, kumthamini na kumjali na kwamba KIJANA WAKE ALIKUA SAHIHI KATIKA KUSIMAMIA HAKI ZA KIKATIBA ZA WATANZANIA

5- Kampeni hiii itaendelea kuwaanika Wanaccm na Genge lao yakua ,Haya yote ni matokeo ya Matukio ya Utekaji na Mauaji yanayofanywa na genge hili, Watu wamebakizwa wajane, hawana watoto, hawana baba, hawana Kaka Wala Mjomba n.k

FANYENI HIVO HARAKA SANA KABLA YA MAANDAMANO YA TAREHE MO29 .

Ina umuhimu mkubwa sanaaa sana na ikiwezekana kiasi Fulani cha Pesa kikabidhiwe Kwa Mama Polepole mbele ya Vyombo vyeti vya habari KABLA YA MAANDAMANO .

MWANADAMU NI HISIA ,HISIA NI MWANADAMU .
 
Heche alishasema huo mfuko utaanzishwa siku za usoni ndio maana hata ile milioni 10 iliyochangwa kuwapa pole waliopigwa mahakamani na vibaka wa policcm ilichangwa katika account binafsi ya Brenda Rupia maana hadi sasa account za chama hazifanyi kazi kutokana na ile kesi ya kubumba ili kuimaliza nguvu CHADEMA.
 
Hivi Mjane wa marehemu Mdude Nyagali Siji Mbugi chama huwa kinamjali kweli?
 
Back
Top Bottom