Wakuu
Mama yake na aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba (Humphrey Polepole) ameomba arudishiwe mwanawe akiwa mzima na kama lolote baya litamkuta huko alipo basi atajua cha kufanya.
Mama Polepole ameeleza kuwa lolote baya likitokea kwa mwanawe huko alipo basi kila aliyemgusa naye atakufa...
Palipo na Hazina ya MTU ndio Moyo wake ulipo
Nafaham tunao Wahanga wengi sana mamia Kwa maelfu.
Lakini ni lazima tuweke UPEKEE katika Uchaguzi wa Jina la Mfuko.
Mh Polepole alikua Mwana CCM, Mbunge, Mjumbe wa Tume ya Katiba ya Jaji Warioba, Katibu Muenezi wa CCM, na BALOZI Nchini Cuba...
Anna Mary ambaye ni Mama Mzazi wa Mwanasiasa Humphrey Polepole amefika katika Mahakama Kuu ya Tanzania Masijala Ndogo ya Dar es salaam asubuhi hii ambako inatarajiwa kuanza kusikilizwa kwa maombi ya kesi juu ya kutekwa kwake maombi ambayo yalipelekwa na Wakili Peter Kibatala kuiomba Mahakama Kuu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.