GE2025 CHADEMA mjifunze demokrasia hii ya CCM upatikanaji wa wagombea

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

anthopody

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2024
Posts
262
Reaction score
183
Nimepitia baadhi ya majina yaliyopitishwa na CCM hakika chama kimeonesha ukomavu wa kidemokrasia wa hali ya juu na ya kupigiwa chapuo na kila mpenda demokrasia awaye yoyote.

Chama kimekomaa na ndio dhana kubwa kuwa CCM ni chama kikubwa ndani ya TZ Pamoja na nje ya bara la Africa na duniani kote,chama kinafanya maamuzi yasiyo na shaka kuanzia ngazi ya mtaa hadi taifa kwa manufaa ya wengi(Sio kama kule mwenyekiti anakimbiwa na wafuasi-demokrasia ya kusikilizwa hakuna-mwenyekiti ndio sheria)

Chama kimegatua madaraka Kila ngazi hadi shinani na Leo limedhihirika baada ya wajumbe kutoangalia umaarudi wa mtu bali utiifu kwa sera za chama,wajumbe wamepekenyua miongozo ya chama wakajadili Kisha wakafanya maamuzi kwa manufaa mapana ya chama kwa mustakabali wa chama na nchi.

Hili nasema hongereni wajumbe na CCM kwa kuwa na viongozi wenye kujali maslahi mapana ya taifa na sio ya mtu binafsi,mmeingiza watu wenye uwezo ,watendaji,wenye uthubutu na talanta,utashi na nia thabiti pia uchu wa kuishauri serikali na kuisaidia serikali kuletea watanzania maendeleo zaidi yaliyo bora na yanayoendana na mazingira ya sasa.

Yote haya tunayaandika ikiwa ni pongezi za mama Samia kwa kuwa Rais mwenye uthubutu na mwenyekiti wa Chama aliyekijenga chama katika kufanya maamuzi yenye maslahi mapana kwa mustakabali wa taifa lote.

Mama apewe Nini zaidi ya Tick October,ndio mama tumpe ushindi wa kishindo,amefanya tukaletewa wagombea wenye sifa,tuliowataka na wenye maono ya mama na chama pamoja na nchi anayoiongoza. Naona ushindi wa kishindo kuanzia katani,majimboni na hata wa Urais.

Huu si ushindi tu Bali ni shukrani za watanzania M60 zenye kutambua mchango wa Mh Rais na chama pamoja na wasaidizi wake.Wana CCM wenzangu tutembee kifua mbele hata Uchaguzi ukiwa Tarehe 1/8 kishindo cha ushindi ni kikubwa sana kwa 99.6% lakini tusubiri hio October Ili diaspora wake tushirikiane nao kukoleza ushindi wa kishindo zaidi ya hapo.

Mungu Ibariki Tanzania,mbariki Mh Rais, CCM wajumbe wote,wapiga kura ,watanzania wote ikiwamo na mimi mwandishi🙏🙏
 
Chama kimegatua madaraka Kila ngazi hadi shinani na Leo limedhihirika baada ya wajumbe kutoangalia umaarudi wa MTU bali utiifu kwa ser za chama,wajumbe wamepekenyua miongozo ya chama wakajadili Kisha wakafanya maamuzi kwa manufaa mapana ya chama kwa mustakabali ya chama na nchi.

Yote haya tunayaand8ka ikiwa ni pongezi za mama Samia kwa kuwa Rais mwenye uthubutu na mwenyekiti wa Chama aliyekijenga chama katika kufanya maamuzi yenye maslahi mapana kwa mustakabali wa taifa lote.

Huu si ushindi tu Bali ni shukrani za watanzania M60 zenye kutambuachango wa Mh Rais na chama pamoja na wasaidizi wake.Wana CCM wenzangu tutembee kifua mbele hata Uchaguzi ukiwa Tarehe 1/8 kishindo cha ushindi ni kikubwa sana kwa 99.6% lakini tusubiri hio October Ili diaspora wake tushirikiane nao kukoleza ushindi wa kishindo zaidi ya hapo.

Wajumbe wenyewe wa CCM bado hata hawajapiga kura
 
Yaani cdm waige utaratibu wa chama cha wazee? Yale matawi yenu 17 ndio yanapaswa kuiga nyie chama la majizi.
 
Umeandika uchafu mtupu.
WanaCCM wenyewe wanashangaa nini hiki kinaendelea kwenye chama chao. Ni uhuni mtupu.
Waambieni tunashangilia CCM maslahi taifa,hao wengine labda ni CDM ndani nje CCM,lakini mwana CCM nje ndani Leo watu wanafurahi tu
 
Nimepitia baadhi ya majina yaliyopitishwa na CCM hakika chama kimeonesha ukomavu wa kidemokrasia wa hali ya juu na ya kupigiwa chapuo na kila mpenda demokrasia awaye yoyote.

Chama kimekomaa na ndio dhana kubwa kuwa CCM ni chama kikubwa ndani ya TZ Pamoja na nje ya bara la Africa na duniani kote,chama kinafanya maamuzi yasiyo na shaka kuanzia ngazi ya mtaa hadi taifa kwa manufaa ya wengi(Sio kama kule mwenyekiti anakimbiwa na wafuasi-demokrasia ya kusikilizwa hakuna-mwenyekiti ndio sheria)

Chama kimegatua madaraka Kila ngazi hadi shinani na Leo limedhihirika baada ya wajumbe kutoangalia umaarudi wa MTU bali utiifu kwa ser za chama,wajumbe wamepekenyua miongozo ya chama wakajadili Kisha wakafanya maamuzi kwa manufaa mapana ya chama kwa mustakabali ya chama na nchi.

Hili nasema hongereni wajumbe na CCM kwa kuwa na viongozi wenye kujali maslahi mapana ya taifa na sio ya mtu binafsi,mmeingiza watu wenye uwezo ,watendaji,wenye uthubutu na talanta,utashi na nia thabiti pia uchu wa kuishauri serikali na kuisaidia serikali kuletea watanzania maendeleo zaidi yaliyo bora na yanayoendana na mazingira ya sasa.

Yote haya tunayaand8ka ikiwa ni pongezi za mama Samia kwa kuwa Rais mwenye uthubutu na mwenyekiti wa Chama aliyekijenga chama katika kufanya maamuzi yenye maslahi mapana kwa mustakabali wa taifa lote.

Mama apewe Nini zaidi ya Tick October,ndio mama tumpe ushindi wa kishindo,amefanya tukaletewa wagombea wenye sifa,tuliowataka na wenye maono ya mama na chama pamoja na nchi anayoiongoza. Naona ushindi wa kishindo kuanzia katani,majimboni na hata wa Urais.

Huu si ushindi tu Bali ni shukrani za watanzania M60 zenye kutambuachango wa Mh Rais na chama pamoja na wasaidizi wake.Wana CCM wenzangu tutembee kifua mbele hata Uchaguzi ukiwa Tarehe 1/8 kishindo cha ushindi ni kikubwa sana kwa 99.6% lakini tusubiri hio October Ili diaspora wake tushirikiane nao kukoleza ushindi wa kishindo zaidi ya hapo.

Mungu Ibariki Tanzania,mbariki Mh Rais, CCM wajumbe wote,wapiga kura ,watanzania wote ikiwamo na mimi mwandishi🙏🙏
Kojoa ulale we lofa
 
Nimepitia baadhi ya majina yaliyopitishwa na CCM hakika chama kimeonesha ukomavu wa kidemokrasia wa hali ya juu na ya kupigiwa chapuo na kila mpenda demokrasia awaye yoyote.

Chama kimekomaa na ndio dhana kubwa kuwa CCM ni chama kikubwa ndani ya TZ Pamoja na nje ya bara la Africa na duniani kote,chama kinafanya maamuzi yasiyo na shaka kuanzia ngazi ya mtaa hadi taifa kwa manufaa ya wengi(Sio kama kule mwenyekiti anakimbiwa na wafuasi-demokrasia ya kusikilizwa hakuna-mwenyekiti ndio sheria)

Chama kimegatua madaraka Kila ngazi hadi shinani na Leo limedhihirika baada ya wajumbe kutoangalia umaarudi wa mtu bali utiifu kwa sera za chama,wajumbe wamepekenyua miongozo ya chama wakajadili Kisha wakafanya maamuzi kwa manufaa mapana ya chama kwa mustakabali wa chama na nchi.

Hili nasema hongereni wajumbe na CCM kwa kuwa na viongozi wenye kujali maslahi mapana ya taifa na sio ya mtu binafsi,mmeingiza watu wenye uwezo ,watendaji,wenye uthubutu na talanta,utashi na nia thabiti pia uchu wa kuishauri serikali na kuisaidia serikali kuletea watanzania maendeleo zaidi yaliyo bora na yanayoendana na mazingira ya sasa.

Yote haya tunayaandika ikiwa ni pongezi za mama Samia kwa kuwa Rais mwenye uthubutu na mwenyekiti wa Chama aliyekijenga chama katika kufanya maamuzi yenye maslahi mapana kwa mustakabali wa taifa lote.

Mama apewe Nini zaidi ya Tick October,ndio mama tumpe ushindi wa kishindo,amefanya tukaletewa wagombea wenye sifa,tuliowataka na wenye maono ya mama na chama pamoja na nchi anayoiongoza. Naona ushindi wa kishindo kuanzia katani,majimboni na hata wa Urais.

Huu si ushindi tu Bali ni shukrani za watanzania M60 zenye kutambuachango wa Mh Rais na chama pamoja na wasaidizi wake.Wana CCM wenzangu tutembee kifua mbele hata Uchaguzi ukiwa Tarehe 1/8 kishindo cha ushindi ni kikubwa sana kwa 99.6% lakini tusubiri hio October Ili diaspora wake tushirikiane nao kukoleza ushindi wa kishindo zaidi ya hapo.

Mungu Ibariki Tanzania,mbariki Mh Rais, CCM wajumbe wote,wapiga kura ,watanzania wote ikiwamo na mimi mwandishi🙏🙏
Una akili kweli?? Yaan watia Nia ishirin, Kamati wilaya inakata yenyewe, inabakiza watatu

Ndo Demokrasia??

Kwann watia wote ishirin wasipigiwe kura??.
 
Nimepitia baadhi ya majina yaliyopitishwa na CCM hakika chama kimeonesha ukomavu wa kidemokrasia wa hali ya juu na ya kupigiwa chapuo na kila mpenda demokrasia awaye yoyote.

Chama kimekomaa na ndio dhana kubwa kuwa CCM ni chama kikubwa ndani ya TZ Pamoja na nje ya bara la Africa na duniani kote,chama kinafanya maamuzi yasiyo na shaka kuanzia ngazi ya mtaa hadi taifa kwa manufaa ya wengi(Sio kama kule mwenyekiti anakimbiwa na wafuasi-demokrasia ya kusikilizwa hakuna-mwenyekiti ndio sheria)

Chama kimegatua madaraka Kila ngazi hadi shinani na Leo limedhihirika baada ya wajumbe kutoangalia umaarudi wa mtu bali utiifu kwa sera za chama,wajumbe wamepekenyua miongozo ya chama wakajadili Kisha wakafanya maamuzi kwa manufaa mapana ya chama kwa mustakabali wa chama na nchi.

Hili nasema hongereni wajumbe na CCM kwa kuwa na viongozi wenye kujali maslahi mapana ya taifa na sio ya mtu binafsi,mmeingiza watu wenye uwezo ,watendaji,wenye uthubutu na talanta,utashi na nia thabiti pia uchu wa kuishauri serikali na kuisaidia serikali kuletea watanzania maendeleo zaidi yaliyo bora na yanayoendana na mazingira ya sasa.

Yote haya tunayaandika ikiwa ni pongezi za mama Samia kwa kuwa Rais mwenye uthubutu na mwenyekiti wa Chama aliyekijenga chama katika kufanya maamuzi yenye maslahi mapana kwa mustakabali wa taifa lote.

Mama apewe Nini zaidi ya Tick October,ndio mama tumpe ushindi wa kishindo,amefanya tukaletewa wagombea wenye sifa,tuliowataka na wenye maono ya mama na chama pamoja na nchi anayoiongoza. Naona ushindi wa kishindo kuanzia katani,majimboni na hata wa Urais.

Huu si ushindi tu Bali ni shukrani za watanzania M60 zenye kutambua mchango wa Mh Rais na chama pamoja na wasaidizi wake.Wana CCM wenzangu tutembee kifua mbele hata Uchaguzi ukiwa Tarehe 1/8 kishindo cha ushindi ni kikubwa sana kwa 99.6% lakini tusubiri hio October Ili diaspora wake tushirikiane nao kukoleza ushindi wa kishindo zaidi ya hapo.

Mungu Ibariki Tanzania,mbariki Mh Rais, CCM wajumbe wote,wapiga kura ,watanzania wote ikiwamo na mimi mwandishi🙏🙏
Humo ama kujifunza utekaji,ufisadi,ulafi,uuaji,uchafuzi
 
Back
Top Bottom