Uchaguzi 2020 CHADEMA mkijiroga msipomsimamisha Lissu, nachana kadi yenu na sitawapigia kura daima

Uchaguzi 2020 CHADEMA mkijiroga msipomsimamisha Lissu, nachana kadi yenu na sitawapigia kura daima

Chadema hawana wanachama bali washabiki wanaoangalia upepo unaenda wapi sifa yao kubwa ni kumfata mtu wala sio sera hivyo sitakushangaa ukichana kadi
Maneno hayo nenda kamwambie Nassari,Silinde,Yule Mayor wa Arusha ndio wanaelewa vzr hahahah.
 
Ndivyo mnavyosemaga, mwenyekiti akisema huku mb.u.zi wote lazima waende.
 
Sio rais wa mioyo yenu Lowassa
Hahah.
tapatalk_1581511567658.jpg
 
Usitutishe chana tu kama unaweza usitupangie.
 
Umejiandaa kujiunga ccm au ACT ama utajiunga freemason tu
 
Wewe ni nani mpaka uwapangie wengine? Ina maana wewe ndo mwenye chama?
 
Mimi sio mshabiki Wa chama chochote, Ila namkubali lissu kwa uzalendo wake kwa taifa letu.asipopitishwa kugombea urais sipigi kura.Jpm amesaliti umoja Wa taifa letu kwa kuendekeza uvyama
Unamkubali Lissu kwa kuwa alijeruhiwa au kwa kuwa ana hekima na busara?
 
Mwaka 2015 mlipomsimamisha Edo, tuliwaacha tukijua jamaa anaushawishi sana, kiukweli niliipigia kura chadema kwanzia udiwani ubunge mpaka Uraiasi,

natoa taarifa sio ombi, msipomsimamisha Lisu nachana kadi yangu yangu ya CHADEMA na sitakua mwanachama tena wa CHAMA CHENU. na siko peke yangu tupo hapa wanachama nane tunasubiri kuchana!

Hatutaki kusikia chochote wala fyokofyoko yoyote


Kwaleo naishia hapo! nangoja maamuzi ya kamati kuu na mimi nifanye maamuzi ya kamati yangu
mkuu nimekuelewa sana but chadema wako makin sana lissu ndo ajae mfano wanawezaje kumkataa , ,nyandu anafaa but bado kwa kipindi hichi , nyarandu bado ana useminari sana asubiri kidogo wakati wake ukifika
 
Tanapa acheni kukitisha chama chenu kichovu,hakuna Alie juu zaidi ya chama
 
Kumbe ata usipo chana saivi haina faida kadi tofaut na kupigia kura

kila mtu anawaza ambacho hana ili akipate
 
Yaani ndio hivyo! Bila Lissu hatutawaelewa. Mpenzi Lissu nasi tumpe kura na kula! Anastahili, ana sifa za kutosha
Mwaka 2015 mlipomsimamisha Edo, tuliwaacha tukijua jamaa anaushawishi sana, kiukweli niliipigia kura chadema kwanzia udiwani ubunge mpaka Uraiasi,

Natoa taarifa sio ombi, msipomsimamisha Lisu nachana kadi yangu yangu ya CHADEMA na sitakua mwanachama tena wa CHAMA CHENU. na siko peke yangu tupo hapa wanachama nane tunasubiri kuchana!

Hatutaki kusikia chochote wala fyokofyoko yoyote


Kwaleo naishia hapo! Nangoja maamuzi ya kamati kuu na mimi nifanye maamuzi ya kamati yangu
 
Back
Top Bottom