Uchaguzi 2020 CHADEMA mkijiroga msipomsimamisha Lissu, nachana kadi yenu na sitawapigia kura daima

Uchaguzi 2020 CHADEMA mkijiroga msipomsimamisha Lissu, nachana kadi yenu na sitawapigia kura daima

😆😆😆chauma
😄😄😄Mkuu chauma safari hii hatutaki mchezo magufuri ajiandae kumkabidhi ikulu kiongozi wetu makini Hashimu Rungwe.Maana saa nne asubuhi tutakuwa tushashinda.
 
CDM wanalitambua hilo 100%, takwa la watanzania hapa kipande ya Tanganyika ni Lissu.
 
Back
Top Bottom