Uchaguzi 2020 CHADEMA mkijiroga msipomsimamisha Lissu, nachana kadi yenu na sitawapigia kura daima

Mimi sio mshabiki Wa chama chochote, Ila namkubali lissu kwa uzalendo wake kwa taifa letu.asipopitishwa kugombea urais sipigi kura.Jpm amesaliti umoja Wa taifa letu kwa kuendekeza uvyama
 
Chadema hawana wanachama bali washabiki wanaoangalia upepo unaenda wapi sifa yao kubwa ni kumfata mtu wala sio sera hivyo sitakushangaa ukichana kadi
Maneno hayo nenda kamwambie Nassari,Silinde,Yule Mayor wa Arusha ndio wanaelewa vzr hahahah.
 
Ndivyo mnavyosemaga, mwenyekiti akisema huku mb.u.zi wote lazima waende.
 
Usitutishe chana tu kama unaweza usitupangie.
 
Umejiandaa kujiunga ccm au ACT ama utajiunga freemason tu
 
Wewe ni nani mpaka uwapangie wengine? Ina maana wewe ndo mwenye chama?
 
Mimi sio mshabiki Wa chama chochote, Ila namkubali lissu kwa uzalendo wake kwa taifa letu.asipopitishwa kugombea urais sipigi kura.Jpm amesaliti umoja Wa taifa letu kwa kuendekeza uvyama
Unamkubali Lissu kwa kuwa alijeruhiwa au kwa kuwa ana hekima na busara?
 
mkuu nimekuelewa sana but chadema wako makin sana lissu ndo ajae mfano wanawezaje kumkataa , ,nyandu anafaa but bado kwa kipindi hichi , nyarandu bado ana useminari sana asubiri kidogo wakati wake ukifika
 
Tanapa acheni kukitisha chama chenu kichovu,hakuna Alie juu zaidi ya chama
 
Kumbe ata usipo chana saivi haina faida kadi tofaut na kupigia kura

kila mtu anawaza ambacho hana ili akipate
 
Yaani ndio hivyo! Bila Lissu hatutawaelewa. Mpenzi Lissu nasi tumpe kura na kula! Anastahili, ana sifa za kutosha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…