Uchaguzi 2020 CHADEMA mkimsimamisha Lissu najiunga na chama chenu

Ha ha ha... Kama jiwe yumo humu, akisoma post Kama hi cjui kama anapata usingizi, ni full stress
 
Wewe ni muhenga humu JF bila shaka utatimiza adhma yako hii..

Kila la kheri!
Nafurahi kuwataarifu Watanzania wenzangu na wanachama wa CCM kuwa Leo nimetimiza azima niliyo ahidi kwa kujiunga rasmi na Chadema kupitia application ya Chadema Digital.
Nimejiunga baada ya wanachama wa Chadema kutuwekea mgombea (ambaye ndiye Rais ajaye) chaguo sahihi kabisa.
Naomba niwasalimie wanachama na wapenzi wote wa Chadema; PEOPLES!
#NIYEYE2020
 
Ulifanya maamuzi sahihi
 
Maumivu ya miaka hii 5 hayakubagua vyama, watu wote wako hoi kasoro wachache tu. Hata maisha ya wanahabari yamegeuka ya kuchekacheka tu hata kwa asichokipenda, watumishi ndo usiseme
 
Duuh ukweli ulioamua kukaa uchi huu
 
Aisee . hahaa
 
Nakuja kama tuu mtajitendea haki na kumuweka mgombea sahihi.
Na sio Mimi pekee, wenye kadi wengi za ccm lakini ni watumishi wa umma, wastaafu, wanafunzi na vijana wasomi walio maliza elimu za juu bila serikali hii kuwajali hakika KURA ZOTE KWA LISSU
Agiza Pepsi big mkuu
 
Ha haaaa yaani wewe unachekesha. 2025 utarudi hapa kusema unaondoka chadema kuelekea TLP
 
Karibu sana Mkuu, imekuwa kweli sala zetu wajumbe wamezifanyia kazi. #NiYeye2020
Yametimia sasa kazi kwako.......

VUA GAMBA VAA GWANDA
Tayari jiandae kumkata mkolonii
Ndugu Mshangai, Lissu kesha chaguliwa na ni Mpeperusha Bendera ya CHADEMA, Lini unajiunga na Chama
Umeshachukua kadi ?
MKuu najua ushajiunga, tuonyeshe kadi basi au hata screenshort kama umetumia chadema app online kujiunga.
Nipende kuwashukuru sana kwa makaribisho yenu.
Ña hiki chama ni cha kisasa kweli, nimejiunga Leo hii kwa kutumia Application yao ya Chadema Digital kwa ada ya shs 2,500/ tuu.
 
Mkuu uko very conscious ... Ubarikiwe ..yaani una mwaga points mpaka nakosa cha kuchangia
 
Hahaa dahh kwanini nilichelewa kuuona huu Uzi !!!!
 
Ungejuwa kuwa mwenyekiti wetu ni kilema zaidi ya kawaida nadhani usinge kufuru hivyo unavyo kufuru.
Wajua kwa nini hawezi kupiga picha za x-ray au Ultra sound?
Duuhh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…