antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 47,274
- 126,778
Mkuu, hujafa hujaumbikaYaani tumekosa watz wa kuwapa kuongoza nchi mpaka tumpe mlemavu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu, hujafa hujaumbikaYaani tumekosa watz wa kuwapa kuongoza nchi mpaka tumpe mlemavu
Ha ha ha... Kama jiwe yumo humu, akisoma post Kama hi cjui kama anapata usingizi, ni full stressN
Naunga mkono hoja,Mh.Lissu for Presidency.Huyu ni aina ya Viongozi wabobevu na mwenye unyenyekevu lakini thabiti na imara katika maamuzi ya haki.Tunamhitaji kuja kuponya majeraha iliyoyapata Tanzania baada ya 5th Regimen kuingia madarakani kama alivyoyatibu matundu ya risasi >16.
Watanzania wengi wanamsubiri Mh.Lissu waonyeshe uwezo wa kura zao kwa mtu sahihi.Tukihitaji kuiondoa CCM madarakani ,mgombea wa Upinzani awe Mh.Lissu na wapinzani wote wa kweli wamuunge mkono.Wizi wa kura hauwezi kushindana na nguvu ya umma hata siku moja.CCM wamejipanga kushinda uchaguzi kwa kishindo wakitumia mbinu chafu kwa kutumia vyombo vya umma kama NEC,POLICE,TISS nk.Hawana hata haja ya kuwabembeleza wapiga kura bali wanawamuru cha kufanya.Aina hii ya demokrasia inapatikana Tanzania tu,wanaamini Watanzania ni wajinga?
Kila kura inatakiwa kuthaminiwa,tuachwe tuongee kupitia kura zetu na chaguo la wananchi liheshimiwe katika ngazi zote za uongozi na Mh.Lissu ni chaguo sahihi.
Ili msiojulikana muingie kazini kula kichwa?Weka jina lako mkuu na namba za kadi yako kama kweli wewe ni CCM
Ukiwa CCM unakuwa salama zaidiIli msiojulikana muingie kazini kula kichwa?
Nafurahi kuwataarifu Watanzania wenzangu na wanachama wa CCM kuwa Leo nimetimiza azima niliyo ahidi kwa kujiunga rasmi na Chadema kupitia application ya Chadema Digital.Wewe ni muhenga humu JF bila shaka utatimiza adhma yako hii..
Kila la kheri!
HahaaWatakuita 'nyumbu'. ccm wenzio sio watu wazuri.
Ulifanya maamuzi sahihiUmestaarabika ndugu. Mie niliondoka CCM baada ya kuona dalili za mambo ya ajabu mwaka 2017.
Nilijipa muda wa kuwasoma vizuri na nikajiridhisha kuwa chini ya sera za kijamaa kamwe hatuwezi pata maendeleo ya kweli ya watu na vitu. Ni ulaghai tu huku viongozi wakuu ndo wakijineemisha
Duuh ukweli ulioamua kukaa uchi huuSiwezi kushangaa maana kwa muda mrefu hata mie nimekuwa nikiwaita wapinzani nyumbu.
Hata hivyo sitasita kuwaita tena kama hawata jitambua na kumpa nafasi hiyo mtu makini kama Lissu.
Ukweli hawa CCM wengi waliojaa humu JF Sio CCM halisi Bali maslahi ndio maana hata chama chetu kinapokosea wao wanasahau Taifa na kutetea uozo
Aisee . hahaaSera za Chadema in nzuri na pengine zinazidi za ccm. Hilo hata marehemu baba wa Taifa aliliona na kulitambua.
Tatizo lao walikuwa hawajapata MTU sahihi.
Walijidanganya kuwa Dr Slaa alikuwa mtu makini lakini ukweli yule hakuwa kama walivyo kuwa wanamdhania, mtu yeyote anayeiacha huduma ya kanisa au msikiti na kuja siasani ni wa kumuangalia mara mbili utajuwa tuu ni mpenda ya dunia na sio mkweli.
Kwa Lowassa ndio usiseme kabisa, it was a big mistake. Lakini Lissu nadhani anamuacha mbali sana mgombea wetu wa CCM.
Agiza Pepsi big mkuuNakuja kama tuu mtajitendea haki na kumuweka mgombea sahihi.
Na sio Mimi pekee, wenye kadi wengi za ccm lakini ni watumishi wa umma, wastaafu, wanafunzi na vijana wasomi walio maliza elimu za juu bila serikali hii kuwajali hakika KURA ZOTE KWA LISSU
HahaaKwangu lissu akipitishwa kugombea urais nitamtafutia kura 5000...na za ukoo kwangu wote..
Ha haaaa yaani wewe unachekesha. 2025 utarudi hapa kusema unaondoka chadema kuelekea TLPMimi binafsi nilikua mwana CCM 2015 nilipiga sana kampeni kuakikisha chama chetu kinashinda tangu jana baada ya kumpitisha Lisu nimehamia Chadema sababu kubwa ya kuhama ccm kwenda Chadema kuna sehemu niliachishwa kazi nimefanya kazi muda mrefu MWAKAJANA JANA nikajaza form ili nichukue mafao yangu nipate mtaji nijiajiri cha ajabu hadi leo hakuna hata mia nimewekewa kwenye acount yangu ni zaidi ya mwaka sijalipwa mafao yangu, Nakuomba Mh Lisu ukiingia ikulu akikisha tunalipwa pesa zetu kura yangu nakupa na familia yangu tutakupa
Karibu sana Mkuu, imekuwa kweli sala zetu wajumbe wamezifanyia kazi. #NiYeye2020
Yametimia sasa kazi kwako.......
VUA GAMBA VAA GWANDA
Tayari jiandae kumkata mkolonii
Ndugu Mshangai, Lissu kesha chaguliwa na ni Mpeperusha Bendera ya CHADEMA, Lini unajiunga na Chama
Umeshachukua kadi ?
Nipende kuwashukuru sana kwa makaribisho yenu.MKuu najua ushajiunga, tuonyeshe kadi basi au hata screenshort kama umetumia chadema app online kujiunga.
Mkuu uko very conscious ... Ubarikiwe ..yaani una mwaga points mpaka nakosa cha kuchangiaNdio akili za vijana wetu, nakuambia nimejiunga mwaka mmoja tokea CCM izaliwe yaani 1978 tena nikiwa JKT na kulikuwa na hekaheka za vita kule Kagera.
Pengine wewe ulikuwa hujazaliwa bado.
Unashangaa nini kukubali kwangu kumuunga mkono mgombea bora tokea chama kingine kama huyu tulie naye katuharibia chama?
CCM haikupaswa kuwa na propaganda za kitoto kama zilivyo sasa, ukatili kwa RAIA tunao uona ukifanyika, uongo wa kupitiliza hadi kutufanya wanachama tuonekane wajinga mbele ya jamii na kutoheshimu katiba na sheria.
Tanzania ni ya wote, na ninahakika Nyerere angekuwa hai asingekubali ccm iwe ilivyo na angeshindwa angeiacha.
Hata Kikwete kama mlimsikiliza Kyle Lupaso ni kuwa amechoka karibu atamwaga manyanga au kesha mwaga moyoni bali anaogopa akiwa wazi nini hatma yake? Na jee utawala nje ya ccm nao utakuwaje katika kuheshimu ulinzi wa katiba na kumuacha apumzike?
Nadhani Lissu na serikali yake haitaweka visasi, naye ajitokeze tuu kama Mimi na wengine
Kadi namba ngapi ?Nipende kuwashukuru sana kwa makaribisho yenu.
Ña hiki chama ni cha kisasa kweli, nimejiunga Leo hii kwa kutumia Application yao ya Chadema Digital kwa ada ya shs 2,500/ tuu.View attachment 1527938
Hahaa dahh kwanini nilichelewa kuuona huu Uzi !!!!Sidhani ndugu mkereketwa mwenzangu na mimi wa Lumumba.
Ukweli ni kwamba ndani ya chama kuna watu mioyo inavuja damu.
Ndugu zangu wanaCCM wenzangu tusidanganywe na utitiri wa watia nia udiwani na Ubunge. Ukweli ni kwamba asilimia 90% ya watia ni wasaka tonge, nothing more. Ukijaribu kuchunguza wengi wao mwaka 2015 walihama na Lowassa either physically au kimoyomoyo.
Mimi siondoki CCM nitabaki na kuwa mpinzani hukuhuku, haijalishi wataniita mhujumu na msaliti. Ila tutaambiana ukweli humu humu.
Buku saba sio saizi yangu, mali ya umma ni ya umma hauwezi itumia bila kufuata taratibu rasmi zilizowekwa.
Kauli mbiu kuelekea 28 October ni hii "#Where is 1.5 trillion?"
Nipende kuwashukuru sana kwa makaribisho yenu.
Ña hiki chama ni cha kisasa kweli, nimejiunga Leo hii kwa kutumia Application yao ya Chadema Digital kwa ada ya shs 2,500/ tuu.View attachment 1527938
DuuhhUngejuwa kuwa mwenyekiti wetu ni kilema zaidi ya kawaida nadhani usinge kufuru hivyo unavyo kufuru.
Wajua kwa nini hawezi kupiga picha za x-ray au Ultra sound?