Uchaguzi 2020 CHADEMA mkimsimamisha Lissu najiunga na chama chenu

Mshangai

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2008
Posts
468
Reaction score
1,086
Mimi ni mwanachama wa CCM. Sio mwanachama maslahi au mwanachama fuata upepo, la hasha bali mwanachama mwanzilishi hata kama nilijiunga 1978 mwaka mmoja tokea ianzishwe.

Ninafuatilia sana siasa za chama chetu, lakini niseme wazi kuwa tokea mwaka 2016 muda tuu baada ya awamu ya tano kushika hatamu CCM yetu imepotea na kuja kikundi cha aina fulani kuigeuza CCM yetu kutoka chama chenye heshima na utu na kuwa cha kihuni, uongo na tabia za kihalifu.

Shuhudia chaguzi za serikali yetu na sasa chaguzi zetu za ndani ya chama. Ni uhuni na rushwa ya hali ya juu haijapata kutokea tangu chama kianze.

Uongo ndio usiseme, ona tunabuni mpaka kupanga watu kutoa zawadi eti za jogoo njiani kwa Rais? Kweli Rais anaweza kupewa tuu barabarani jogoo na akampokea mikononi bila kujulikana usalama wa zawadi hiyo?

Sasa kwa ujinga unaoendelea kwa chama changu natangaza rasmi binafsi kujiunga na Chadema kama watamsimamisha Tundu Lissu kugombea Urais ili nimpe kura yangu.

Nategemea wengi ndani ya CCM wataniunga mkono kwa sababu za Lissu zifuatazo;

*Anaheshimu Katiba na Sheria.
*Sio muongo anapenda ukweli
*Ana uelewa mkubwa wa ndani na nje ya nchi.
*Anaheshimu Utu wa Mwanadamu
*Hana roho ya visasi.

OMBI;
Tanzania ni yetu, kuiacha tena miaka mitano mingine ipotee kama hii iliyopita ni kuitafuta laana ya vizazi vijavyo. Tuungane tufanye mabadiliko chanya, vyama ni vya kupita tuu lakini taifa lipo palepale. Chadema watuletee Lissu nasi tumpe kura.
Wasalaam aleikum!

IMG_20200731_090414.jpg
 
Umestaarabika ndugu. Mie niliondoka CCM baada ya kuona dalili za mambo ya ajabu mwaka 2017.
Nilijipa muda wa kuwasoma vizuri na nikajiridhisha kuwa chini ya sera za kijamaa kamwe hatuwezi pata maendeleo ya kweli ya watu na vitu. Ni ulaghai tu huku viongozi wakuu ndo wakijineemisha
 
Watakuita 'nyumbu' ccm wenzio sio watu wazuri.

Siwezi kushangaa maana kwa muda mrefu hata mie nimekuwa nikiwaita wapinzani nyumbu.

Hata hivyo sitasita kuwaita tena kama hawata jitambua na kumpa nafasi hiyo mtu makini kama Lissu.

Ukweli hawa CCM wengi waliojaa humu JF Sio CCM halisi Bali maslahi ndio maana hata chama chetu kinapokosea wao wanasahau Taifa na kutetea uozo
 
Hata hivyo sitasita kuwaita tena kama hawata jitambua na kumpa nafasi hiyo mtu makini kama Lissu.
Kila la heri mkuu.
Tahadhari: Unapohama au kuhamia chama chochote cha kisiasa fuata SERA. Watu huwa wanabadilika/kufa au kuhama.
Kwa sababu hii uliyoweka mbona utahama sana!
 
Sera za Chadema in nzuri na pengine zinazidi za ccm. Hilo hata marehemu baba wa Taifa aliliona na kulitambua.
Tatizo lao walikuwa hawajapata MTU sahihi.

Walijidanganya kuwa Dr Slaa alikuwa mtu makini lakini ukweli yule hakuwa kama walivyo kuwa wanamdhania, mtu yeyote anayeiacha huduma ya kanisa au msikiti na kuja siasani ni wa kumuangalia mara mbili utajuwa tuu ni mpenda ya dunia na sio mkweli.

Kwa Lowassa ndio usiseme kabisa, it was a big mistake. Lakini Lissu nadhani anamuacha mbali sana mgombea wetu wa CCM.
 
karibu sana chama la wana huku ndio kwenye fikra sahihi.
Nakuja kama tuu mtajitendea haki na kumuweka mgombea sahihi.
Na sio Mimi pekee, wenye kadi wengi za ccm lakini ni watumishi wa umma, wastaafu, wanafunzi na vijana wasomi walio maliza elimu za juu bila serikali hii kuwajali hakika KURA ZOTE KWA LISSU
 
Mimi ni mwanachama wa CCM. Sio mwanachama maslahi au mwanachama fuata upepo, la hasha Bali mwanachama mwanzilishi hata kama nilijiunga 1978 mwaka mmoja tokea ianzishwe.

Ninafuatilia sana siasa za chama chetu, lakini niseme wazi kuwa tokea mwaka 2016 muda tuu baada ya awamu ya tano kushika hatamu CCM yetu imepotea na kuja kikundi cha aina Fulani kuigeuza CCM yetu kutoka chama chenye heshima na utu na kuwa cha kihuni, uongo na tabia za kihalifu.

Shuhudia chaguzi za serikali yetu na sasa chaguzi zetu za ndani ya chama! Ni uhuni na rushwa ya hali ya juu haijapata kutokea tangu chama kianze.

Uongo ndio usiseme, ona tunabuni mpaka kupanga watu kutoa zawadi eti za jogoo njiani kwa Rais? Kweli Rais anaweza kupewa tuu barabarani jogoo na akampokea mikononi bila kujulikana usalama wa zawadi hiyo?

Sasa kwa ujinga unaoendelea kwa chama changu natangaza rasmi binafsi kujiunga na Chadema kama watamsimamisha Tundu Lissu kugombea Urais ili nimpe kura yangu.

Nategemea wengi ndani ya CCM wataniunga mkono kwa sababu za Lissu zifuatazo;

*Anaheshimu Katiba na sheria.
*Sio muongo anapenda ukweli
*Ana uelewa mkubwa wa ndani na nje ya nchi.
*Anaheshimu Utu wa mwanadamu
*Hana roho ya visasi.

OMBI;
Tanzania ni yetu, kuiacha tena miaka mitano mingine ipotee kama hii iliyopita ni kuitafuta laana ya vizazi vijavyo. Tuungane tufanye mabadiliko chanya, vyama ni vya kupita tuu lakini taifa lipo palepale. Chadema watuletee Lissu nasi tumpe kura.
Wasalaam aleikum!

View attachment 1522282
Karibu chama Cha watu wenye akili, wazalendo na wanaojitambua
 
Nakuja kama tuu mtajitendea haki na kumuweka mgombea sahihi.
Na sio Mimi pekee, wenye kadi wengi za ccm lakini ni watumishi wa umma, wastaafu, wanafunzi na vijana wasomi walio maliza elimu za juu bila serikali hii kuwajali hakika KURA ZOTE KWA LISSU
Ubarikiwe baba kwa maneno kuntu, kula bia nitakuja lipa
 
Mimi ni mwanachama wa CCM. Sio mwanachama maslahi au mwanachama fuata upepo, la hasha Bali mwanachama mwanzilishi hata kama nilijiunga 1978 mwaka mmoja tokea ianzishwe.

Ninafuatilia sana siasa za chama chetu, lakini niseme wazi kuwa tokea mwaka 2016 muda tuu baada ya awamu ya tano kushika hatamu CCM yetu imepotea na kuja kikundi cha aina Fulani kuigeuza CCM yetu kutoka chama chenye heshima na utu na kuwa cha kihuni, uongo na tabia za kihalifu.

Shuhudia chaguzi za serikali yetu na sasa chaguzi zetu za ndani ya chama! Ni uhuni na rushwa ya hali ya juu haijapata kutokea tangu chama kianze.

Uongo ndio usiseme, ona tunabuni mpaka kupanga watu kutoa zawadi eti za jogoo njiani kwa Rais? Kweli Rais anaweza kupewa tuu barabarani jogoo na akampokea mikononi bila kujulikana usalama wa zawadi hiyo?

Sasa kwa ujinga unaoendelea kwa chama changu natangaza rasmi binafsi kujiunga na Chadema kama watamsimamisha Tundu Lissu kugombea Urais ili nimpe kura yangu.

Nategemea wengi ndani ya CCM wataniunga mkono kwa sababu za Lissu zifuatazo;

*Anaheshimu Katiba na sheria.
*Sio muongo anapenda ukweli
*Ana uelewa mkubwa wa ndani na nje ya nchi.
*Anaheshimu Utu wa mwanadamu
*Hana roho ya visasi.

OMBI;
Tanzania ni yetu, kuiacha tena miaka mitano mingine ipotee kama hii iliyopita ni kuitafuta laana ya vizazi vijavyo. Tuungane tufanye mabadiliko chanya, vyama ni vya kupita tuu lakini taifa lipo palepale. Chadema watuletee Lissu nasi tumpe kura.
Wasalaam aleikum!

View attachment 1522282
Uko vizuri ndugu maamuzi yaliyo mema TL for presidency
 
Good riddance...
 
Mleta Ni like Chadema time la siku nyingi nalijua hili .Mada zake nyingi Ni za kusifia Chadema sio chama kingine kiwe CCM au chochote
 
Back
Top Bottom