Chadema mkishinda uchaguzi ,watumishi wa umma waliostafu, wasirudishwe kazini tena!

Gabeji

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2024
Posts
2,174
Reaction score
3,156
Watumishi wanastastafu, lakini BAdo, CCM na serikali yake wanaendelea kuwakumbatia, wanaungeza gape ya uhaba wa ajira, kuna wafanyakazi tangu enzi NYERERE wapo BAdo serikalini.

Thinking tank ya CCM ,imekufa ndo maana watumishi wengi za serikali , walio stafu wanaogopa kusimama upande wa kutetea haki, wanasubili uteuzi, au watoto wao, wateuliwe, huo ni utumwa wa fikra.

Wanaogopa kuunga mkono No reforms No election. Mda si mrefu CCM inaenda kufa kiroho na kimwili.
Mungu ibariki CHADEMA ,Mungu ibariki Tanzania by mwinjilist wenu Gabeji.
 
Sio walip staafu tu kina vyeo vyakufuta kabisa kama RC DC nk futa na wabunge wale wa viti maalumu ondoa matumizi ya kununua ma v8 mwisho
 
Watumishi wanastastafu, lakini BAdo, CCM na serikali yake wanaendelea kuwakumbatia, wanaungeza gape ya uhaba wa ajira, kuna wafanyakazi tangu enzi NYERERE wapo BAdo serikalini.

Thinking tank ya CCM ,imekufa ndo maana watumishi wengi za serikali , walio stafu wanaogopa kusimama upande wa kutetea haki, wanasubili uteuzi, au watoto wao, wateuliwe, huo ni utumwa wa fikra.

Wanaogopa kuunga mkono No reforms No election. Mda si mrefu CCM inaenda kufa kiroho na kimwili.
Mungu ibariki CHADEMA ,Mungu ibariki Tanzania by mwinjilist wenu Gabeji.
Wakishinda uchaguzi gani huo wanaoshiriki?
 
Google mkuu
Bado haileti maana.
Screenshot_2025-07-08-18-55-40-295_org.mozilla.firefox.jpg
 
Back
Top Bottom