gape ndio kitu gani?Watumishi wanastastafu, lakini BAdo, ccm na serikali yake wanaendelea kuwakumbatia, wanaungeza gape ya uhaba wa ajira,
Sio walip staafu tu kina vyeo vyakufuta kabisa kama RC DC nk futa na wabunge wale wa viti maalumu ondoa matumizi ya kununua ma v8 mwishoWatumishi wanastastafu, lakini BAdo, CCM na serikali yake wanaendelea kuwakumbatia, wanaungeza gape ya uhaba wa ajira, kuna wafanyakazi tangu enzi NYERERE wapo BAdo serikalini.
Thinking tank ya CCM ,imekufa ndo maana watumishi wengi za serikali , walio stafu wanaogopa kusimama upande wa kutetea haki, wanasubili uteuzi, au watoto wao, wateuliwe, huo ni utumwa wa fikra.
Wanaogopa kuunga mkono No reforms No election. Mda si mrefu CCM inaenda kufa kiroho na kimwili.
Mungu ibariki CHADEMA ,Mungu ibariki Tanzania by mwinjilist wenu Gabeji.
Wakishinda uchaguzi gani huo wanaoshiriki?Watumishi wanastastafu, lakini BAdo, CCM na serikali yake wanaendelea kuwakumbatia, wanaungeza gape ya uhaba wa ajira, kuna wafanyakazi tangu enzi NYERERE wapo BAdo serikalini.
Thinking tank ya CCM ,imekufa ndo maana watumishi wengi za serikali , walio stafu wanaogopa kusimama upande wa kutetea haki, wanasubili uteuzi, au watoto wao, wateuliwe, huo ni utumwa wa fikra.
Wanaogopa kuunga mkono No reforms No election. Mda si mrefu CCM inaenda kufa kiroho na kimwili.
Mungu ibariki CHADEMA ,Mungu ibariki Tanzania by mwinjilist wenu Gabeji.
Mtu anaekaribia kustaafu asipewe cheo na asirudishwe kaziniKabisa mkuu
ππππBado haileti maana.
View attachment 3398364
Mwaka 2025 unarudi mara mbili?2025, watashiriki, reforms zitafanyika