CHADEMA mkoa wa Mara, kanda ya Serengeti waandaa report ya mauaji na uvunjifu wa demokrasia

The Palm Beach

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2015
Posts
4,249
Reaction score
11,592
➡Mwaka jana 2024 mgombea mmoja aliwekewa pingamizi na CCM kuwa si raia wa Tanzania bali ni wa Kenya. CCM waliambatanisha kitambulisho feki cha u - raia wa Kenya cha mwana CHADEMA huyo ili mradi tu wamtoe kwenye kinyang'anyiro. Viongozi wa CHADEMA mkoa waliiomba Serikali ya Kenya kudhibitisha uraia wa huyo mwananchi kama kweli ni wa Kenya. Serikali ya Kenya ilijibu na kusema hiyo National ID ni feki, sio kitambulisho chao.

➡Waliobambikizwa kesi watu 150....

➡Waliopigwa na polisi na kufanywa vilema kwa sbb ya uchaguzi ni 110...

➡Waliouwawa na jeshi la polisi ni zaidi ya 4 mwaka 2024....

#Matukio yote katika ripoti yameambatana na majina ya wahusika na picha zao pamoja na barua ya serikali ya Kenya kuthibitisha kuwa National ID ya kesho iliyotengenezwa na viongozi wa CCM ni feki, forger.

​
 
CHADEMA ni akili kubwa.

Watoe na nakala za kingereza.

Mikoa mingine iige hii kitu.
 
View: https://youtu.be/zBRteFZurBo?si=u8QzZjWBlpICMO1A
➡Mwaka jana 2024 mgombea mmoja aliwekewa pingamizi na CCM kuwa si raia wa Tanzania bali ni wa Kenya. CCM waliambatanisha kitambulisho feki cha u - raia wa Kenya cha mwana CHADEMA huyo ili mradi tu wamtoe kwenye kinyang'anyiro. Viongozi wa CHADEMA mkoa waliiomba Serikali ya Kenya kudhibitisha uraia wa huyo mwananchi kama kweli ni wa Kenya. Serikali ya Kenya ilijibu na kusema hiyo National ID ni feki, sio kitambulisho chao...

➡Waliobambikizwa kesi watu 150....

➡Waliopigwa na polisi na kufanywa vilema kwa sbb ya uchaguzi ni 110...

➡Waliouwawa na jeshi la polisi ni zaidi ya 4 mwaka 2024....

##Matukio yote katika ripoti yameambatana na majina ya wahusika na picha zao pamoja na barua ya serikali ya Kenya kuthibitisha kuwa National ID ya kesho iliyotengenezwa na viongozi wa CCM ni feki, forgery...

Gentleman,
ni muhimu zaidi pia wakajielimisha wao kwa wao dhidi ya tabia zao mbaya hususani za kujichukulia sheria mkononi kwenye masuala ya kifamilia, ardhi na wizi wa mifugo n.k kwani tabia hiyo imekatisha uhai wa maelfu ya wana Mara 🐒
 
Huyu mwenyekiti wa Mara yupo vizuri sana anautulivu halafu IQ yake iko sawasawa.

Mikoa yote ikiandaa ripoti kama hii itakuwa vizuri sana
 
ni mdogo wake heche John kabisa kabisa(tumbomoja)

Aliacha walimu akaona nikupoteza muda
 
➡Mwaka jana 2024 mgombea mmoja aliwekewa pingamizi na CCM kuwa si raia wa Tanzania bali ni wa Kenya. CCM waliambatanisha kitambulisho feki cha u - raia wa Kenya cha mwana CHADEMA huyo ili mradi tu wamtoe kwenye kinyang'anyiro. Viongozi wa CHADEMA mkoa waliiomba Serikali ya Kenya kudhibitisha uraia wa huyo mwananchi kama kweli ni wa Kenya. Serikali ya Kenya ilijibu na kusema hiyo National ID ni feki, sio kitambulisho chao.

➡Waliobambikizwa kesi watu 150....

➡Waliopigwa na polisi na kufanywa vilema kwa sbb ya uchaguzi ni 110...

➡Waliouwawa na jeshi la polisi ni zaidi ya 4 mwaka 2024....

#Matukio yote katika ripoti yameambatana na majina ya wahusika na picha zao pamoja na barua ya serikali ya Kenya kuthibitisha kuwa National ID ya kesho iliyotengenezwa na viongozi wa CCM ni feki, forger.

..hiyo ripoti iwafikie wazee wastaafu kama Mzee Butiku ambaye bado haamini kiwango cha uovu kilichoko Ccm.
 
Back
Top Bottom